If Only Mama Could See Me Now. I Miss Her So So Much Jamani.

If Only Mama Could See Me Now. I Miss Her So So Much Jamani.

Nafikiri nawe una kipaji kama cha kwangu, cha kuwagundua real and sweet people na fekeros. Unajua mtu akijifanya saint sana, tilia mashaka mara moja; yaani tunakuwa na maskeleton kibao makabatini mwetu lkn yule ambaye watu wengi wanamuona ni devil kwa nje mara karibu na zote she/he is sweet inside na ndio maana hatumii nguvu kuprove otherwise.

In this case mimi unaniweka group lipi? lol
 
Nafikiri nawe una kipaji kama cha kwangu, cha kuwagundua real and sweet people na fekeros. Unajua mtu akijifanya saint sana, tilia mashaka mara moja; yaani tunakuwa na maskeleton kibao makabatini mwetu lkn yule ambaye watu wengi wanamuona ni devil kwa nje mara karibu na zote she/he is sweet inside na ndio maana hatumii nguvu kuprove otherwise .

Kama mimi nilivyo sweetieee
 
Kipindi baba ametuchukua, tukawa tumeenda kwa bibi mzaa baba. SAsa tupo nje tunacheza mara tukamuona mama anatuchungulia kwenye fence. Akatuita tukamkimbilia. Akatuchukua tukaenda nae kwa bibi. Kumbe bwana ndio ametuiba hivyo. Huku nyuma kumbe kina bibi na shangazi wametutafuta weeee mpaka wakaenda polisi. Wamelia wee mpaka machozi yamewakauka. Watamwwambia nini baba? Mpaka baba alikuja kugundua tuliko siku zilikuwa zimeshapita sana na matangazo kutolewa. lol.
 
When we write and chat in a forum like this, what do you think everybody thinks? It is like everybody is fine where she is...kumbe wengine wamepasi mitahani na majanga yasiyoelezeka kama haya.
ahaaa Ndahani. Sasa nimekuelewa. Na hapo hujaniona.I am the sunny cheerful type. No one would believe I have shed so many tears in my past.
 
Last edited by a moderator:
Nimekosa hata cha kusema hapa,huenda labda baadae nitapata!
 
ahaaa Ndahani. Sasa nimekuelewa. Na hapo hujaniona.I am the sunny cheerful type. No one would believe I have shed so many tears in my past.

Ulikuwa unafikiria blind spot gani? Unajua ukishafanya trouble shooting ya engine na mazaga zaga mengine na kuita spana kwa tusi juu, halafu ukasoma, lazima uwe na furaha...you have the tricks to balance life....and you know for sure how best to respond to the challenges without living a lifeless life.
 
I used to be very close with my mama. Very very close. Sasa siku moja aliniambiaga ametafuta nyumba mahali na nisimwambie mtu. Akasema one day angetupeleka tukatembee. Sasa ilikuwaga weekend. Bibi anajua tupo kwa baba na baba anajua tupo kwa bibi ametukataza twende shule ili asitufate. Sasa bwana kumbe mama had not given up. Alitaka atulee pekee yake na sio kwa bibi wala baba. Akatupeleka kwake. Alikuwa amechukua chumba kwenye plot flani hivi ambayo walikuwa wanashare public toilet na bathroom pamoja na wapangaji wengine. SAsa bwana akawa ametuwekea housegirls wawili. Akawaaachia hela akaondoka. Aliniambia kuwa anaenda kufata nguo ameamua kuuza nguo. Sasa huku nyuma mara housegirl mmoja akakimbia. Yule mmoja tuliebaki nae alikuwa anshinda nyumba jirani kulikuwa na bachelors. Namshukuru Mungu sana kwa kunipa upeo nikiwa bado mdogo.Nikamkata mdogo wangu kwenda kwenye ile nyumba na nikamwambia kabisa ningemchapa. Hakuenda tena.
MAra bi dada akawa hapiki. Kisa? hela ya msosi aloachiwa imekata. Ila mtindo wa nywele anabadili kila siku. Siku moja tukawa tunazurura na mdogo wangu mtaani. MAra tumechoka, na njaa zetu tumelala chini ya bango kwenye highway. Bango lilikuwa limeweka kivuli aina flani so tumelala mpaka tumekoroma. Mara kushtuka tukamuona Daddy analia. Hiyo ilikuwa mara yangu ya kwanza kumuona baba analia. Akatubeba mikononi. Mie mgongoni mdogo wangu mkononi. Hatukurudi kwenye nyumba ya mama. Housegirl alitimuliwa na tulisikia baadae kuwa vitu vilinadiwa na mwenye nyumba. God knows best.
 
Ulikuwa unafikiria blind spot gani? Unajua ukishafanya trouble shooting ya engine na mazaga zaga mengine na kuita spana kwa tusi juu, halafu ukasoma, lazima uwe na furaha...you have the tricks to balance life....and you know for sure how best to respond to the challenges without living a lifeless life.
Ndahani, hata sikuwaza any particular blindspot. Nilikuwa tu sijaelewa what you meant. Yeah... life is good. Ups here, downs there..
 
Last edited by a moderator:
Naomba nivunje sheria cwezi jizuia kukupa pole kwani nimesikitka mno,pole mamii


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
In this case mimi unaniweka group lipi? lol

You real wanna a truth, l mean my truth ya jinsi ninavyokufikiria bila kuwa mnafiki????

He heee heee ....sounds scaring lol....
save for today...lol

i thought utani-dare. LOL
dont worry, kuliko kumwambia mtu maneno negative bora ninyamaze!

Aaah Kaunga acha undugunaizesheni, si kasema mwenyewe umwage Ugali?
Mimi je, lol?
 
Back
Top Bottom