Mwanakijiji, I as a reasonable person presume that you have seen the four corners of the class(you have gone to school). But your arguments raises reasonable doubt that you are part of the cluster of Mafisadi. Ni ukweli usiobishaniwa kuwa J Kiwete ni raisi halali ambaye yupo madarakani kwa mujibu wa katiba ya nchi. The disputable issue, Je JK ameingia madarakani kihalali? This is the stand of CDM. I hereinafter quote from the Mwananchi news paper of today 16th December 2010:
"Akizunguzia suala lililozua mjadala la uchaguzi mkuu, Dk Slaa alisema kamati kuu ilipokea taarifa ya matokea ya urais kujadili na kukubaliana kuwa matokeo yaliyompa ushindi Rais Jakaya Kikwete yalichezewa.
Alisema kutokana na sababu hizo, Chadema imependekeza kuundwa kwa kamati huru itakayochunguza matokeo hayo na kutoa taarifa itakayolenga kuweka wazi juu ya kila kitu kilichojiri kwa manufaa ya taifa.
"Ushahidi wa matokeo kutoka katika vituo kutofautiana na yale ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi; karatasi za matokea kufutwa ni vielelezo tosha kuwa matokea hayo yalichezewa," alisema Dk Slaa.
"Kisheria Tanzania ina rais na sisi Chadema tunasema nchi hii ina rais, lakini njia iliyutumika kumpata rais huyo si halali na hilo ndilo lililosababisha wabunge wa Chadema kutoka nje siku ya ufunguzi wa Mkutano wa Bunge," alisema Dk Slaa.
"Unajua hapa suala la kutambua au kutokumtambua rais siyo issue. Rais yupo na katiba inaelekeza kwamba rais akishachaguliwa huwezi kuhoji mahali popote na kwa maana hiyo rais yupo. Tatizo ni jinsi alivyopatikana."