Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,216
- 113,519
Chadema walikuwa na nafasi ya kwenda mahakamani kuzuia tume isiendelee kutangaza matokeo kwa sababu ya injury ambayo they were likely to suffer; jibu tulilopewa tuliouliza wakati ule ni kuwa "sheria inakataza". Hadi hivi sasa sijajua ni sheria gani inakataza chama kuzuia matokeo mahakamani kabla hayajatangazwa.
Mtaalam wao wa sheria bw. Tundu Lissu hajaeleza ni sheria gani? Si tunaambiwa huyu bwana ni mahiri sana au....