If Chadema change position it mustt apologize, unconditionally!

If Chadema change position it mustt apologize, unconditionally!

I will tell you what I have been honestly thinking, Tatizo la Chadema ni kukosa uongozi makini. Wanatakiwa wareshuffle haraka sana system yao ya uongozi na kuna watu inabidi frankly waachie ngazi wao wenyewe otherwise they will lead this party to hell. Na next uchaguzi kama hawatafanya la maana hivi viti vingi vya ubunge watavipoteza sana. Nachelemea kuamini kuwa kuna tatizo kuwa la kimadaraka humo ndani na kuna watu wanadhani kuwa wanahodhi chama.

Huo uongozi makini unaokazania haushuki ghafla kutoka mbinguni. Kwa taarifa yako hao unaowaona sio makini ndio wamejenga CDM mpaka kikafika hapo kilipo. Ni vyama vingapi vimefia njiani??? Waacheni Chadema na utaratibu wao wa kuchagua viongozi wakati ukifika watabadilisha kwa mujibu wa katiba yao. Mnataka kuwalazimisha reshuffle ili mpandikize mamluki wa mafisadi humo ndani halafu wasambaratike sio?? Tumeshawashtukia.

Kama umejiunga CDM kwa mategemeo ya kufanya mapinduzi ya uongozi na kuvuna usichopanda, punguza munkari. Hizo tuhuma za uongozi mbovu bila ground yoyote zinatolewa na watu wasiokitakia CDM mema.
 
Wandugu hapa tatizo ni kuwa kuwaambia Chadema ama viongozi wake kuomba msamaha ni sawasawa na kusema kuwa Zitto alikuwa sawa na Dr Slaa na baadhi ya wabunge wa Chadema walikosea....Hilo linahitaji uungwana wa dhati ambao ukweli baadhi ya viongozi wetu hawana hulka hiyo na hawaamini katika umuhimu wake kwenye siasa.....

Kitendo wanachokifanya Dr Slaa katika mazungumzo yake na waandishi wa habari jana na humu ndani ndugu yangu Myika ni kitendo cha kuchakachua maamuzi ya Kamati Kuu yao na hivyo msimamo rasmi wa CHADEMA kuhusu URAIS wa Jakaya Kikwete.

Maoni yangu kwa ndugu yangu Mnyika....ahcna na hili gemu kwa faida ya hapo mbeleni. Waache makapi ya CCM wajimalize ili ninyi kizazi cha demokrasia muweze kuleta mabadiliko ya kweli huko tuendako. Kujinasabisha na Mbowe ambaye ni sura ya siasa za ujanjaujanja katika Chadema na hivi sasa Dr Slaa ambaye taratibu anajinasabisha na siasa za chuki Chadema ni kujimaliza wakati ndio kwanza kunakuchwa na hiyo ni dhambi kwa watanzania makin wenye kuamini kuwa mbadala makini unawezekana.....Chonde kaka
 
Please Apologize
Kwani MM baada ya CCJ kufutiwa usajili aliamia chama gani? je alipiga kura kwenye uchaguzi mkuu? tatu, sisi ndio tuliopigwa mabomu ya machozi wakati wao wanakula kuku tu huko Detroit USA, SWALI kama MM una mapenzi mema na CHADEMA, ilikuwaje Gret thinker kama wewe kudandia briefcase poritical party kama CCJ?

Nilikuwa navutiwa sana na Deodatus Balile alikuwa ananikuna kwa machapisho yake, na kuna mzee mmoja anaitwa Yusuf Halimoja, kwa kweli makala zao zilikuwa za kizalendo, lakini vipande vya pesa vimekuja kuwaalibu kabisa, SASA NAKUPA ANGALIZO MM, ni vizuri watu kuwa mtazamo tofauti, lakini lazima lizingatie maslahi ya Taifa. Wakati huu CHADEMA inapigwa vita na maadui zake kutoka kila upande na kwa kutumia kila silaha na halafu wewe unakuja na chapisho la sampuli hii, HATUKUELEWI.

Wewe una access ya kuongea na Dr Slaa na Mbowe, kwa nini hukuwapigia simu wakufafanulie kabla ya kuleta machapisho ya uchochezi hapa?

Kumbuka wewe unakaa Marekani sisi ndio tunaopata mateso ya CCM hapa nyumbani, kama na wewe umeshaonjeshwa asali sisi wengine hatuna bei yaani hatununuliki, MIMI KATI YA KIFO NA CCM, MIMI NITACHAGUWA KIFO. PERIOD
 
Ok mi nianze na msimamo wangu kama mpiga kura:

Kwanza naamini kabisa uchaguzi haukuwa wa haki na uhuru ulikuwa sio kamili. Nilikesha Loyola kuhakikisha hatufanyiwi fitina, na nilianzia kituo changu cha kupigia kura pale shekilango magorofani. Then mbunge wetu akashinda. Hilo sihitaji chadema wala nani kunisemea hali ya uchaguzi. Haya yalitokea pia majimbo mengine na hamna mtanzania asiyejua ila ni makusudi ya watu kusema tofauti na hatuwalazimishi kwani ni uhuru wao bali ukweli uko palepale kulikuwa na faulu kwenye uchaguzi kwa mfano Shinyanga mjini, segerea, arusha mjin, mbeya n.k. Kwahiyo kama mwananchi kwanza nina wajibu wa kuyapambanua mambo na kujua lipi la ukweli, nami najua ukweli.

Sasa kikatiba hatuna mgombea binafsi ambaye tungesema tunataka apeleke maswala yetu kwa vyombo vinavyohusika ili labda ukweli uwekwe wazi watu wasirubuniwe. Kwa mantiki hiyo either uwe na chama au usiwe na chama inabidi uagalie katika vyama nani anaweza kupeleka huu ujumbe mana chama ndo media pekee kwa tanzania kutupelekea ujumbe wa kuchezewa faulu. Basi wananchi wengi(milion mbili na zaidi-baada ya uchakachuaji) nikiwemo tuliona chadema wanaweza kufikisha huu ujumbe. Hapa ndipo tunaanza kuwapa lawama mana jukumu lao ni kuupeleka ujumbe na sio kuuedit au lolote.

Sasabasi kama yanayosemwa na vyombo vya habari ni kweli na hakuna upindishwaji(which is likely) then chadema wanatakiwa watupe maelezo ya undani nin maana ya hicho vyombo vya habari vinachokiongea. maana ujumbe wangu kama wananchi wengine ni kwamba rais aliyetangazwa kashinda hajashinda katika mazingira halali na hivyo ni rais kikatiba lakin kwa haki hajachaguliwa na wengi hivyo haki ya wananchi imekuwa violeted hivyo chadema kama muwakilishi wetu nenda umwambie huyo rais ni rais kikatiba lakin wananchi wanasema siyo kihaki. hivyo basi tunataka mfumo utakaohakikisha next time haki inatendeka.

Sasa, kama ujumbe unageuzwa geuzwa tuna haki ya kumuuliza mjumbe vipi mbona unasema sivyo!!!
Ila kuomba msamaha politically sio startegy nzuri ila a detailed info on this is well accepted only if hamna uchakachuaji wa hii habari.

nawakilisha
 
I'm going to say this in very categorical terms. And I mean every single word here in: CHADEMA must apologize to President Kikwete, its members, supporters and all Tanzanians in general. Why you may ask:

a. For leading people to believe that the elections were somehow not as free or fair as expected.

b. By leading people to believe that the presidential election results were somewhat tampered with, sabotaged or somewhat were fraudulent.

c. By suggesting that the National Electoral Commission colluded with CCM to ensure that president Kikwete remain in power.

d. By making people believe that they were the victims of a corrupt political system.

e. For walking out of the parliament when President Kikwete was about to address the nation protesting the legitimacy of the electoral results that put Kikwete in power. We now know that this was a wrong decision bases on what the CC of Chadema has decided.

What does all this mean? It simply means that Chadema has lost the argument on the fairness of the elections. It has lost the argument that NEC somewhat conducted one of the worst elections ever in the United Tanzania. In a long run this is what is going to happen.:

a. CCM will NOT and I'm stating with sense of absolute certainty - WILL NOT initiate or even allow the process to write a new constitution. The best they are going to is a cosmetic amendments to the constitution. Specifically, just those areas that cover NEC.

b. Chadema will go to the next elections from a position of weakness compared to the position it founds itself in during the 2010 elections.

c. Chadema has taken a position of strategic postponement of its internal problems. Once again it seems there is a lack of leadership; while others see the recent moves within Chadema as the most "intelligent" or "strategic" I see them as decisions of political expediency. One, Chadema is not United not in leadership but in vision, decisions and political positions and secondly, they are still thinking in terms of being an opposition party. CCM will definitely will like to maintain that status quo.

In short, Chadema SHOULD apologize, initiate a process of self assessment, correction and rebuilding. Otherwise, LET IT continue to dig its its own grave of political oblivion. They asked the people to support them, they argued for change in their manifesto, but when push came to shovel, Chadema flinched and flinching they continue.

I'm done with one too. Sigusi tena and those are my points and I'm sticking to each one of them.

Either Freedom or Death,

MMM

What to apologise for?
Can you please explain about?
 
"Be the change you want to see in Tanzania" tuachane na porojo....
 
sijakuelewa kwenye hizo sentensi naomba u-elaborate then tutakufundisha what is Free and Fair election!

Elections that are not free and fair are those that the losing party's agents do not sign election results at the polling/counting centres for serious irregularities. But when all CHADEMA's agents at polling/counting centres signed elections results, these elections can not be unfair and un-free to CHADEMA!

Mbona NEC na CCM ndiyo wanalaumiwa na CHADEMA na sijasikia CHADEMA wakiwalaumu mawakala wao waliokubaliana na matokeo kwenye vituo vya kupiga na kuhesabu kura na kusaini matokeo? The so called kupinga matokeo na kutomtambua Rais kikwete si chochote si lolote, ni mbinu tu za kuleta instability na kuanza kampeni za mwaka 2015.

Kwisha jua janja yenu!
 
Mh,mzee manakijiji kama ungefafanua kwa kiswahili ungeeleweka zaid na wote,but iz a good and critical post
 
a typical argumentum ad baculum ! such arguments in this home of great thinkers, mkuu, are wholly unwelcome and totally beyond the tenets of rational thinking.
 
It is better to declare, who are you serving and for whose benefits?

I have read a number of machapisho ya MMJ ya sampluli hii and if am not mistaken kwa akili yangu nimeweza muelewa thinking yake at times, yaani MMJ smt anaweza andika kitu ukaanza jiuliza maswali mengine ikiwemo yupo upande gani bt in short mm nadhani andika yake ya namna hii ni ktk kutaka wahusika wachukue hatua/action na sio tu kuongea yaani ni kama anawashtua watoke kwenye usingizi...

Ukirejea chapiso lake fulani la few wks ago kuhusu kuwataka wana ccm wawachukulia atua CDM kwa kuwasusia etc,ukisoma iyo habari unaweza dhani MMJ hana mapenzi mema na CDM bt for me it was like kuwachomekea CCM kiaina ili kuendeleza game lililokua limelala,bt all in all if my thinkin ni tofauti na MMJ anavyofikiria then hapo inabidi niende chimbo re think of his thinkin n his stand.

all in all hat amm kwa kiasi flani naweza unga mkono hoja y MMJ kama CDM waliwasha moto na hawawezi endelea upuliza uendelee kutupa mwanga na joto basi watuombe msamaha kwa kutuamasha then tuone tunafanyeje,bt mchezo unanoga ukiendelea at speed iliyoanza yaani at ths time mashabiki tunasema TUNATAKA GOLIIII GOLIII hapo ni dakika ya 90.
 
Hivi baada ya CCJ watu bado mnamchukulia serious Mwanakijiji? Acheni utana bana..
 
Wandugu hapa tatizo ni kuwa kuwaambia Chadema ama viongozi wake kuomba msamaha ni sawasawa na kusema kuwa Zitto alikuwa sawa na Dr Slaa na baadhi ya wabunge wa Chadema walikosea....Hilo linahitaji uungwana wa dhati ambao ukweli baadhi ya viongozi wetu hawana hulka hiyo na hawaamini katika umuhimu wake kwenye siasa.....

Kitendo wanachokifanya Dr Slaa katika mazungumzo yake na waandishi wa habari jana na humu ndani ndugu yangu Myika ni kitendo cha kuchakachua maamuzi ya Kamati Kuu yao na hivyo msimamo rasmi wa CHADEMA kuhusu URAIS wa Jakaya Kikwete.

Maoni yangu kwa ndugu yangu Mnyika....ahcna na hili gemu kwa faida ya hapo mbeleni. Waache makapi ya CCM wajimalize ili ninyi kizazi cha demokrasia muweze kuleta mabadiliko ya kweli huko tuendako. Kujinasabisha na Mbowe ambaye ni sura ya siasa za ujanjaujanja katika Chadema na hivi sasa Dr Slaa ambaye taratibu anajinasabisha na siasa za chuki Chadema ni kujimaliza wakati ndio kwanza kunakuchwa na hiyo ni dhambi kwa watanzania makin wenye kuamini kuwa mbadala makini unawezekana.....Chonde kaka

Ndicho ambacho wengine hawakijui Ommy! Mbowe ni kiongozi wa CDM tena naweza kusema kiongozi mzuri tu, ILA IJULIKANE KUWA HANA MPANGO NA ISSUE ZENU ZOZOTE ZILE -sijui katiba au NEC-forgeet!!MPANGO WAKE NI KUENDELEZA BIASHARA ZAKE NA KU-MAKE MONEY! na hii ndio ommy anasema ujanjaujanja tu

Slaa hivi karibuni amekuwa akieneza siasa za chuki tena za wazi dhidi ya Zito na kila kinachotokea sasa Slaa ni archtects.

Moto anaoupitia Zito angekuwa ni Slaa mngempoteza CDM, Zito amevumilia mengi na sasa anaonyesha ni mtu mzima kamuacha mbali sana Slaa. kura ziliziopigwa bagamoyo juzi akina slaa na mbowe wanataka kusema hawahusiki! they were there!

Mpango uliopo ni clear kwa sasa, Mbowe ameambiwa akae pembeni kwenye hili sakata awe observer na kuliko Mbowe kumpoteza Zito anaona bora Slaa aondoke, lakini kesho Mbowe uki-mkonvince kuhusu Zito ataona Zito bora aondoke, hana misimamo , yeye anakuwa na misimamo deal za hela zinapokuwa hazizai!!

peeeeeeeeeeeeepooooooooooooooooooooooooooozz!!!!!!!
 
Mkuu mwanakijiji'
Hoja yako ni sahihi, kwamba CHADEMA wamepoteza nafasi ya kuonyesha kwa nguvu zao zote kwamba hawakubaliani na matokeo ya urais.
Lakini umetumia lugha ambayo wengi wa wachangiaji hawajaielewa na wanadhani unawashutumu bure CHADEMA.
Nakushauri u edit hii topic kwa lugha rahisi (simaanishi usiandike kwa kimombo, bali lugha isiyozunguka direct meaning).
Ila sikubaliani na hoja ya serikali ya mseto, kwani hapo hamna demokrasia tena. Maana viongozi wa Ki afrika wanakimbilia kuvuruga uchaguzi ,ili baadaye mcompromise kwa kuunda serikali ya umoja wa kitaifa ambayo tumeona jinsi ambavyo huko Zimbabwe inavyokuwa ngumu kuindesha.
Pia, naomba utoe hoja, ni kwanini unaamini katiba haiwezi kuandikwa upya ndani ya miaka hii mitano?
Mwisho naomba ufafanuzi wa sentensi ya ko ya mwisho "Either Freedom or Death"....una maana twende msituni?
 
Dr. Slaa nakuona online hapo. Please my personal request; mkumbuke kuwa nyuma yenu iko public yenye hamu kubwa na hamasa ya juu ya mabadiliko chanya mimi nikiwa mmoja wao. Lakini pia kuna propaganda za kisiasa zinazoweza potosha mawazo sahihi au hata tafsiri amabayo siyo rasmi. Fanyeni utaratibu wa ku inform public (more frequently) your strategies ili kuwe na consistence na vision moja ya hoja za mageuzi chanya. Vinginevyo ni confusion ambayo itasababisha wengi kukata tamaa na kujustify mawazo hasi yatakayo sababisha migawanyiko. Kwakuwa wengi wetu wapenda mabadiliko tumewaamini basi bebeni hiyo dhamana kwa uaminifu na ustahimilivu mkubwa. Hata hivyo tunawashukuru kwa utayari wenu.
 
Hatujasema tunamtambua, tumesema kwamba ametambuliwa na Tume na Katiba ambayo inakataza matokeo yake yasipingwe mahakamani; akitangazwa ametangazwa. For us Kikwete is legal but illegitimate president!

Suala la kutambua ama kutomtambua sio letu, kwa kuwa limeshapatiwa majibu na mfumo uliopo; logically, ukiyakataa matokeo umemkataa na aliyetokana na matokeo hayo! Tulimsusia kwenye hotuba ya kuzindua bunge ili kufikisha ujumbe kuwa tunataka tume ya uchunguzi na kuanza kwa mchakato wa katiba mpya ambayo pamoja na mambo mengine italeta tume huru ya uchaguzi. Msimamo huu uko pale pale na tunapaswa kuunganisha nguvu ya umma kuudai!

JJ
1. This strengthen my political know how regarding type of leadership Chadema has. I once said this three weeks before election day that there are two types of leaders.

1.0 POLITICAL LEADER
2.0 ANALYTICAL LEADER

CHADEMA is typically LED by type 2 leadership i.e ANALYTICAL LEADERS - especially Dr. Slaa and Mbowe. And normally analytical leaders do Blunders + Bloodshed. In this you need a clear vision Political Leader like Zito to counter attack analytical leadres ambition since they are very dangerous to the Party itself and the Nation as a whole. Critically you can say that Zito is a traitor but in actual sense He is a healer!
 
Ndicho ambacho wengine hawakijui Ommy! Mbowe ni kiongozi wa CDM tena naweza kusema kiongozi mzuri tu, ILA IJULIKANE KUWA HANA MPANGO NA ISSUE ZENU ZOZOTE ZILE -sijui katiba au NEC-forgeet!!MPANGO WAKE NI KUENDELEZA BIASHARA ZAKE NA KU-MAKE MONEY! na hii ndio ommy anasema ujanjaujanja tu

Slaa hivi karibuni amekuwa akieneza siasa za chuki tena za wazi dhidi ya Zito na kila kinachotokea sasa Slaa ni archtects.

Moto anaoupitia Zito angekuwa ni Slaa mngempoteza CDM, Zito amevumilia mengi na sasa anaonyesha ni mtu mzima kamuacha mbali sana Slaa. kura ziliziopigwa bagamoyo juzi akina slaa na mbowe wanataka kusema hawahusiki! they were there!

Mpango uliopo ni clear kwa sasa, Mbowe ameambiwa akae pembeni kwenye hili sakata awe observer na kuliko Mbowe kumpoteza Zito anaona bora Slaa aondoke, lakini kesho Mbowe uki-mkonvince kuhusu Zito ataona Zito bora aondoke, hana misimamo , yeye anakuwa na misimamo deal za hela zinapokuwa hazizai!!

peeeeeeeeeeeeepooooooooooooooooooooooooooozz!!!!!!!

1. This strengthen my political know how regarding type of leadership Chadema has. I once said this three weeks before election day that there are two types of leaders.

1.0 POLITICAL LEADER
2.0 ANALYTICAL LEADER

CHADEMA is typically LED by type 2 leadership i.e ANALYTICAL LEADERS - especially Dr. Slaa and Mbowe. And normally analytical leaders do Blunders + Bloodshed. In this you need a clear vision Political Leader like Zito to counter attack analytical leadres ambition since they are very dangerous to the Party itself and the Nation as a whole. Critically you can say that Zito is a traitor but in actual sense He is a healer!
 
I'm going to say this in very categorical terms. And I mean every single word here in: CHADEMA must apologize to President Kikwete, its members, supporters and all Tanzanians in general. Why you may ask:

a. For leading people to believe that the elections were somehow not as free or fair as expected.

b. By leading people to believe that the presidential election results were somewhat tampered with, sabotaged or somewhat were fraudulent.

c. By suggesting that the National Electoral Commission colluded with CCM to ensure that president Kikwete remain in power.

d. By making people believe that they were the victims of a corrupt political system.

e. For walking out of the parliament when President Kikwete was about to address the nation protesting the legitimacy of the electoral results that put Kikwete in power. We now know that this was a wrong decision bases on what the CC of Chadema has decided.

What does all this mean? It simply means that Chadema has lost the argument on the fairness of the elections. It has lost the argument that NEC somewhat conducted one of the worst elections ever in the United Tanzania. In a long run this is what is going to happen.:

a. CCM will NOT and I'm stating with sense of absolute certainty - WILL NOT initiate or even allow the process to write a new constitution. The best they are going to is a cosmetic amendments to the constitution. Specifically, just those areas that cover NEC.

b. Chadema will go to the next elections from a position of weakness compared to the position it founds itself in during the 2010 elections.

c. Chadema has taken a position of strategic postponement of its internal problems. Once again it seems there is a lack of leadership; while others see the recent moves within Chadema as the most "intelligent" or "strategic" I see them as decisions of political expediency. One, Chadema is not United not in leadership but in vision, decisions and political positions and secondly, they are still thinking in terms of being an opposition party. CCM will definitely will like to maintain that status quo.

In short, Chadema SHOULD apologize, initiate a process of self assessment, correction and rebuilding. Otherwise, LET IT continue to dig its its own grave of political oblivion. They asked the people to support them, they argued for change in their manifesto, but when push came to shovel, Chadema flinched and flinching they continue.

I'm done with one too. Sigusi tena and those are my points and I'm sticking to each one of them.

Either Freedom or Death,

MMM

Its too late to save argentina
 
Mwanakijiji na wengine wana CDM why tumekuwa wandamu so hard to understand and very easy to forget? why MMM..?

Mimi, wewe na wengine hapa JF ni mashahidi jinsi vote rigging how was done, election was openly not free & fair, sasa malalamiko yote ya nini? Na sheria ya uchaguzi iliyopo hairuhusu kupinga matokeo ya uchaguzi wa Rais mahakamani, unalijua hili wazi, sasa CDM ifanyaje? What are ur alternatives? Na CDM wapo wazi kupata new constitution na NEC huru, ok tuseme hawamtambui JK tumshitaki wapi?

Mimi naona umesahau haraka hata matokeo ya kura yalivyochakachuliwa, na ndivyo wanadamu tulivyo. JE Dr Slaa kama kura hazikuchezewa angekuwa rais wetu mpendwa je leo position yako ni ipi? MMM kwa hili u r wrong, very wrong, CDM we are still bold & united period
 
Back
Top Bottom