If Chadema change position it mustt apologize, unconditionally!

If Chadema change position it mustt apologize, unconditionally!

I do not see any reason whatsoever for CHADEMA to apologise to anybody.

The party made the right move and put national interests ahead of political egos and personal grudges. Here's why:

The whole world knows Jakaya Kikwete of CCM stole the election. The walkout staged by CHADEMA MPs when Kikwete was addressing Bunge helped to highlight the fact that the election was rigged and Kikwete was an illegitimate president, morally speaking.

The way forward: The law of the land states explicitly that once the National Electoral Commission (NEC) announces the presidential results, its final (One of the reasons why we need a new constitution). No one can challenge the results in the courts nor sue NEC for fraud, etc. In this situation, while there is clear evidence of vote rigging and grand fraud in the presidential election, Kikwete is the legally declared winner of the presidential election.

CHADEMA has to look at its broader agenda post election, which includes electoral reform and a new constitution. The party needs to sit down with the government and spell out its demands. If the government doesn't listen, then we the people, will support street protests, demonstrations, etc.

In order for CHADEMA to pave way for negotiations with the government, the party had to make the difficult decision of recognising Kikwete as president even though they have evidence to prove he stole the vote. CHADEMA did the right thing by giving dialogue a chance.

The walkout was important to highlight the fact that the presidential election was rigged. Now is the time to sit down at the negotiating table with Kikwete and discuss electoral reforms and a new constitution before 2015.

It was a very difficult decision to make, but it was the right move for CHADEMA to make.

SASA, Kikwete na CCM yake wakileta ubishi, CHADEMA itakuwa na kila haki ya kwenda mtaaani. Wananchi tuko tayari kwa mapambano tunasubiri viongozi wetu watoe tamko.

MUNGU IBARIKI CHADEMA, MUNGU IBARIKI TANZANIA!
 
Kwani MM baada ya CCJ kufutiwa usajili aliamia chama gani? je alipiga kura kwenye uchaguzi mkuu? tatu, sisi ndio tuliopigwa mabomu ya machozi wakati wao wanakula kuku tu huko Detroit USA, SWALI kama MM una mapenzi mema na CHADEMA, ilikuwaje Gret thinker kama wewe kudandia briefcase poritical party kama CCJ?

Nilikuwa navutiwa sana na Deodatus Balile alikuwa ananikuna kwa machapisho yake, na kuna mzee mmoja anaitwa Yusuf Halimoja, kwa kweli makala zao zilikuwa za kizalendo, lakini vipande vya pesa vimekuja kuwaalibu kabisa, SASA NAKUPA ANGALIZO MM, ni vizuri watu kuwa mtazamo tofauti, lakini lazima lizingatie maslahi ya Taifa. Wakati huu CHADEMA inapigwa vita na maadui zake kutoka kila upande na kwa kutumia kila silaha na halafu wewe unakuja na chapisho la sampuli hii, HATUKUELEWI.

Wewe una access ya kuongea na Dr Slaa na Mbowe, kwa nini hukuwapigia simu wakufafanulie kabla ya kuleta machapisho ya uchochezi hapa?

Kumbuka wewe unakaa Marekani sisi ndio tunaopata mateso ya CCM hapa nyumbani, kama na wewe umeshaonjeshwa asali sisi wengine hatuna bei yaani hatununuliki, MIMI KATI YA KIFO NA CCM, MIMI NITACHAGUWA KIFO. PERIOD

Nimekugongea thanks narudia tena ahsante sana kwa bandiko lako.

nilikata tamaa na mzee huyu anayejiita mwanakijiji tokea alipoandika kuwa watu wasitumie nguvu kupinga matokeo! alikuwa na point kidogo lakini alivyoandika alionyesha kabisa yuko upande wa pili zaidi yaani siyo mmoja wetu...siyo mpiganaji he is another Zii Too. leo yuko kwetu kesho kahama na nimechukia zaidi kwa kuwa anatumia advantage ya watu kumsikiliza or kumsoma kwa maana nyingine. kama nguvu isingetumika leo tusingekuwa na majimbo ya nyamagana,ilemela,kawe,arusha,ubungo n.k. kwa nini mtu anakuwa anawaonea huruma zaidi mafis Adi kuliko wananchi?

Kauli ya kupotosha kuhusu kumtambua rais ilianzia kwa chillli Source Gati na leo inaendelezwa kwa makusudi na MM,why?

mbona Slaa(pHD) amefafanua vizuri sana kuwa bado hawayatambui matokeo ya urais na kwamba rais anatambulika kwa sbb ya katiba mbovu tuliyonayo na hatuna la kufanya mpaka tupate mpya...sasa kosa la CDM ni nini mpaka MM aje na kauli kali kwao namna hiyo? Yaani anaongea kauli za akina Koo Mbania kuwa mpaka cHICHIEm waamue kwa hiari yao.....to hell na utulivu wenu,tutadai katiba kwa gharama yoyote ile.

Viva CDM! Viva Tanzania.
 
All I can say is that Chadema has lost validity and moral authority to be the champion of "revolutionary change" in Tanzania. They have simply compromise the integrity of welfare of Tanzanians to fight poor governance, corruption and injustice that has syphone every penny and every resource of our motherland.

Shame on them for beong two faced1 They are trully same like CCM, and I would not be suprised to find out someday that they are actually the CCM B!

Thanks Rev and Amen.

CDM plays politics na usisi wakati Watanzania wengi walikesha usiku kucha kuhakikisha matokeo yanatangazwa on time. Wapo wale ambao ni mawakala ambao hawakulipwa lakini walilinda mabox ya kura usiku kucha. Wapo wale waliopiga kampeni mlango kwa mlango bila kulipwa hata sumni. Wapo wale walikuwa wanatupasha habari sisi ambao tupo mbali na maeneo ya tukio 24 hours bila kuchoka. Leo hii hichi ndicho wanacho pata?

Sasa mbio zimebadilika na gumzo ni katiba mpya, tutapata vipi katiba mpya wakati tumeshindwa kuwasukuma CCM hata kwa siku 90. Uongozi wa CDM umepoteza nafasi muhimu sana ambayo sote tutajutia.

Self interest ndio zinatufikisha hapa tulipo. UCCM ndani ya vyama vya upinzani ndio wakulaumu. Narudia uongozi wa juu wa CDM umeshindwa kazi, please wapisheni watu wenye maono mbadala kwa maendeleo ya Tanzania.
 
I'm going to say this in very categorical terms. And I mean every single word here in: CHADEMA must apologize to President Kikwete, its members, supporters and all Tanzanians in general. Why you may ask:

a. For leading people to believe that the elections were somehow not as free or fair as expected.

b. By leading people to believe that the presidential election results were somewhat tampered with, sabotaged or somewhat were fraudulent.

c. By suggesting that the National Electoral Commission colluded with CCM to ensure that president Kikwete remain in power.

d. By making people believe that they were the victims of a corrupt political system.

e. For walking out of the parliament when President Kikwete was about to address the nation protesting the legitimacy of the electoral results that put Kikwete in power. We now know that this was a wrong decision bases on what the CC of Chadema has decided.

What does all this mean? It simply means that Chadema has lost the argument on the fairness of the elections. It has lost the argument that NEC somewhat conducted one of the worst elections ever in the United Tanzania. In a long run this is what is going to happen.:

a. CCM will NOT and I'm stating with sense of absolute certainty - WILL NOT initiate or even allow the process to write a new constitution. The best they are going to is a cosmetic amendments to the constitution. Specifically, just those areas that cover NEC.

b. Chadema will go to the next elections from a position of weakness compared to the position it founds itself in during the 2010 elections.

c. Chadema has taken a position of strategic postponement of its internal problems. Once again it seems there is a lack of leadership; while others see the recent moves within Chadema as the most "intelligent" or "strategic" I see them as decisions of political expediency. One, Chadema is not United not in leadership but in vision, decisions and political positions and secondly, they are still thinking in terms of being an opposition party. CCM will definitely will like to maintain that status quo.

In short, Chadema SHOULD apologize, initiate a process of self assessment, correction and rebuilding. Otherwise, LET IT continue to dig its its own grave of political oblivion. They asked the people to support them, they argued for change in their manifesto, but when push came to shovel, Chadema flinched and flinching they continue.

I'm done with one too. Sigusi tena and those are my points and I'm sticking to each one of them.

Either Freedom or Death,

MMM

MMM,

Let me put it plainly that there are many ways to skin a cat, CHADEMA made a right decision and should be commended for that. It seems we are loosing focus on the major issue (Tanzania) by dwelling on petty ones. Mind you, CHADEMA's mission is not to win the battle but rather to win the war. Last, your article appears to be too santimoniuos to borrow Obama's term.
 
ndicho ambacho wengine hawakijui ommy! Mbowe ni kiongozi wa cdm tena naweza kusema kiongozi mzuri tu, ila ijulikane kuwa hana mpango na issue zenu zozote zile -sijui katiba au nec-forgeet!!mpango wake ni kuendeleza biashara zake na ku-make money! Na hii ndio ommy anasema ujanjaujanja tu

slaa hivi karibuni amekuwa akieneza siasa za chuki tena za wazi dhidi ya zito na kila kinachotokea sasa slaa ni archtects.

Moto anaoupitia zito angekuwa ni slaa mngempoteza cdm, zito amevumilia mengi na sasa anaonyesha ni mtu mzima kamuacha mbali sana slaa. Kura ziliziopigwa bagamoyo juzi akina slaa na mbowe wanataka kusema hawahusiki! They were there!

Mpango uliopo ni clear kwa sasa, mbowe ameambiwa akae pembeni kwenye hili sakata awe observer na kuliko mbowe kumpoteza zito anaona bora slaa aondoke, lakini kesho mbowe uki-mkonvince kuhusu zito ataona zito bora aondoke, hana misimamo , yeye anakuwa na misimamo deal za hela zinapokuwa hazizai!!

Peeeeeeeeeeeeepooooooooooooooooooooooooooozz!!!!!!!

acheni upuuzi na kuzungumza msiyoyajua.
 
ZeMarcopolo,
Kama kuna upotoshaji wa of highest order umefanikiwa. Tafadhali nitumie mkanda mahali popote ambapo Dr. Slaa amenukuliwa na TBC akisema kuwa Chadema imegundua makosa iliyofanya! Correct record please of what was said and recorded!
 
MM: I have read your post a couple of times, I don't see a point that makes you want CHADEMA to apologise. I ask again, apologise for what?
Kujigeuka mkuu!! Leo wasema sipendi kabisa mchele kesho yake unatuambia wali mtamu?! Dr. unapaswa kujua kwamba joto la homa halipimwi kwa mkono, na watu hawakadiriwi upeo wa akili zao kwa elimu bali maarifa na fikra. je leo kama tunaowaheshimu kwamba watatuongoza kutoka sehemu A kwenda D wamekwama kwenye A hapohapo tutawaelewaje? Je hapo pana maendeleo? umeuliza kwa wakati muafaka, naomba kukuuliza kitu kimoja Dokta: Je nikikuamini kile uniambiacho leo, na kesho ukanijia na hadithi mpya unataka niamini kwa awali ama lile jipya? Na ikiwa hivyo ndivyo hebu fikiria kwenye halmashauri yangu ya chemshabongo nitakuweka fungu lipi baada ya kuchekecha bongo?
 
Nafikiri kutokulewana kwetu katika hii Thread kumechangiwa na mod kumerge thread mbili ambazo maudhui yanashabihiana lakini si asilimia zote, thread ya Chadema kumtambua Kikwete ilikuwa ni curent event na ile nyingine ilikuwa ni ya zamani kidogo ambazo kwa sababu za wakati haikupaswa kuzimerge, ndiyo maana tunachanganyana vichwa hapa.

Nikirudi katika mada, ni dhahiri Chadema wameshindwa kuwa na msimamo thabiti na kuutetea kwa nguvu zao zote, wamebaki na spinning tupu.
1) Kama wana ushahidi kwamba NEC wameharibu uchaguzi kwa nini wasiishitaki NEC mahakamani?
2)Kama Uchaguzi umeharibiwa na wanaushahidi kwa nini wasifungue kesi ya kikatiba juu ya kifungu kinachosema tangazo la NEC halipingwi mahakamani?.

Chadema wanasema Raisi ni legal lakini siyo legitimate, Legitimacy ni relative term na kila mtu ana definition yake ya legitimacy, kinachobind ni legality. je kwa mantiki hii Chadema wanadai slaa ndiye Legitimate lakini deemed Illegal?.
 
I do not see any reason whatsoever for CHADEMA to apologise to anybody.

The party made the right move and put national interests ahead of political egos and personal grudges. Here's why:

The whole world knows Jakaya Kikwete of CCM stole the election. The walkout staged by CHADEMA MPs when Kikwete was addressing Bunge helped to highlight the fact that the election was rigged and Kikwete was an illegitimate president, morally speaking.

The way forward: The law of the land states explicitly that once the National Electoral Commission (NEC) announces the presidential results, its final (One of the reasons why we need a new constitution). No one can challenge the results in the courts nor sue NEC for fraud, etc. In this situation, while there is clear evidence of vote rigging and grand fraud in the presidential election, Kikwete is the legally declared winner of the presidential election.

CHADEMA has to look at its broader agenda post election, which includes electoral reform and a new constitution. The party needs to sit down with the government and spell out its demands. If the government doesn't listen, then we the people, will support street protests, demonstrations, etc.

In order for CHADEMA to pave way for negotiations with the government, the party had to make the difficult decision of recognising Kikwete as president even though they have evidence to prove he stole the vote. CHADEMA did the right thing by giving dialogue a chance.

The walkout was important to highlight the fact that the presidential election was rigged. Now is the time to sit down at the negotiating table with Kikwete and discuss electoral reforms and a new constitution before 2015.

It was a very difficult decision to make, but it was the right move for CHADEMA to make.

SASA, Kikwete na CCM yake wakileta ubishi, CHADEMA itakuwa na kila haki ya kwenda mtaaani. Wananchi tuko tayari kwa mapambano tunasubiri viongozi wetu watoe tamko.

MUNGU IBARIKI CHADEMA, MUNGU IBARIKI TANZANIA!

My friend you either know little about CCM or you're underestimating the power of CCM.

What was the point of walkout if few days later you will acknowledge a fraud president? Tell me now, what make you believe that the battle of Katiba is on while CDM alredy throwed a towel.

CDM stretch themselves to thin now they're breaking apart. They overstated their political power, now it's a chaos. They failed to analyze their competetor and now we all look stupid.
 
Ndicho ambacho wengine hawakijui Ommy! Mbowe ni kiongozi wa CDM tena naweza kusema kiongozi mzuri tu, ILA IJULIKANE KUWA HANA MPANGO NA ISSUE ZENU ZOZOTE ZILE -sijui katiba au NEC-forgeet!!MPANGO WAKE NI KUENDELEZA BIASHARA ZAKE NA KU-MAKE MONEY! na hii ndio ommy anasema ujanjaujanja tu

Slaa hivi karibuni amekuwa akieneza siasa za chuki tena za wazi dhidi ya Zito na kila kinachotokea sasa Slaa ni archtects.

Moto anaoupitia Zito angekuwa ni Slaa mngempoteza CDM, Zito amevumilia mengi na sasa anaonyesha ni mtu mzima kamuacha mbali sana Slaa. kura ziliziopigwa bagamoyo juzi akina slaa na mbowe wanataka kusema hawahusiki! they were there!

Mpango uliopo ni clear kwa sasa, Mbowe ameambiwa akae pembeni kwenye hili sakata awe observer na kuliko Mbowe kumpoteza Zito anaona bora Slaa aondoke, lakini kesho Mbowe uki-mkonvince kuhusu Zito ataona Zito bora aondoke, hana misimamo , yeye anakuwa na misimamo deal za hela zinapokuwa hazizai!!

peeeeeeeeeeeeepooooooooooooooooooooooooooozz!!!!!!!
Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!!!! Waberoya ndugu yangu! Katika ukweli huu nitasimama nawe mpaka dakika ya mwisho. Ile saa ya ukombozi wa kweli... taa ya manjano imeshawaka. Makapi karibu yanatupwa kwenye moto na tutabaki na dhahabu safi. na dhahabu safi haipatikani ila imepita kwenye moto. Ni wachache sana wenye subira kama ile, ingelikuwa ni wao kama ubunge tu hawakupita wakahama je hili wangelimudu kulibeba? (Ila kiushabiki zaidi aaa anasifiwa ushujaa)

Wandugu hapa tatizo ni kuwa kuwaambia Chadema ama viongozi wake kuomba msamaha ni sawasawa na kusema kuwa Zitto alikuwa sawa na Dr Slaa na baadhi ya wabunge wa Chadema walikosea....Hilo linahitaji uungwana wa dhati ambao ukweli baadhi ya viongozi wetu hawana hulka hiyo na hawaamini katika umuhimu wake kwenye siasa.....

Kitendo wanachokifanya Dr Slaa katika mazungumzo yake na waandishi wa habari jana na humu ndani ndugu yangu Myika ni kitendo cha kuchakachua maamuzi ya Kamati Kuu yao na hivyo msimamo rasmi wa CHADEMA kuhusu URAIS wa Jakaya Kikwete.

Maoni yangu kwa ndugu yangu Mnyika....ahcna na hili gemu kwa faida ya hapo mbeleni. Waache makapi ya CCM wajimalize ili ninyi kizazi cha demokrasia muweze kuleta mabadiliko ya kweli huko tuendako. Kujinasabisha na Mbowe ambaye ni sura ya siasa za ujanjaujanja katika Chadema na hivi sasa Dr Slaa ambaye taratibu anajinasabisha na siasa za chuki Chadema ni kujimaliza wakati ndio kwanza kunakuchwa na hiyo ni dhambi kwa watanzania makin wenye kuamini kuwa mbadala makini unawezekana.....Chonde kaka
kwa wale wanaomuabudu Dk Slaa hayo maneno ni magumu sana kwao! namheshimu sana lakini ikumbukwe nilisema hapa "SIWAAMINI WOTE WALIOTOKA CCM KUJA UPINZANI NAMAANISHA WOTE HAKUNA ANAEFAA" ni sawa na nyanya mbovu kwenye tenga. heri ya samaki akioza unambanika! (mtaniwia radhi kwani huo ndio ukweli. wanako katabia wakishatoka huko watatafuta umaarufu na uongozi kwa hila zote na wakifanikiwa ndio mwanzo wa chama walichoenda kwenda mrama. je hamjui kwamba wakihama wanahama na wapambe wao? na je kazi za wapambe hamzijui kwamba ni kueneza majungu ili wapate mkate wao? Wakati wa vita baridi mzee Moi aliulizwa yeye na wakenya wako upande gani aliwajibu waandishi "VITA IKO NA WENYEWE.." ziara zilizofanywa mikoani kote na mh. Dr. Slaa zilikuwa za kummaliza Zito na ndio ujumbe aliorudi nao Dar akijua kazi imekwisha kimeo kinaondoka!! (Nilipata kuwauliza swali hapa na mpaka leo halijajibiwa. niliwauliza "Je mnajua kwanini Zito alizuiwa kugombea uenyekiti CDM na kwanini Dr. Slaa alikurupushwa kugombea urais?" sikujibiwa ila watu walifanya stihizai zao basi yakaisha. tatizo letu ni kutoangalia moyo wa jipu bali uvimbe wake!! Kwanini tunasadiki propaganda kuliko ukweli? ni kwa sababu tunapenda sana kusikia 'mazuri' tunayopenda kuliko yale mazuri ambayo si mazuri kwetu!!

KAMA KWELI TUNAHITAJI KUWA WANASIASA WA KIUKWELI TUKUBALIANE NA UKWELI.
Sishangai leo hii MM kuwa adui kwa sababu ya kusema kwake ile kweli. Napenda kukupongeza MM kwa sababu huo ndio ukomavu na uono mkubwa kwa kule tuendako. Usishangae kuitwa majina yoyote komredi ndio mapambano yenyewe hayo wewe si wa kwanza. Biig UP
 
MMM post yako inasikitisha na kutia kichechefu.
:teeth: hata akiuona mzoga asiseme kwa maana mtaona kichefuchefu? hebu tafakari kwanza na kisha pima. (si sasa hivi ukiwa kitandani pako fikiria zaidi jibu utakalopata ndilo sahihi si sasa):teeth:
 
Watu naona wanaitikia kwa haraka sana bila kutulia chini na kusoma hasa nimesema nini. Ninachosema ambacho labda inabidi nikifafanue ni kuwa Chadema wakisema "wanamtambua Kikwete kama Rais" au kutuambia kuwa kutoka kwao Bungeni hakukuwa na uhusiano wa kutomtambua Kikwete basi kuna matatizo. Nilichokisema based on a different thread (naamini labda ningeweka kwenye ile thread ningeeleweka kwa sababu wengine wamekuja na kuanzia hapa).

Kuna thread tulikoanzia ambayo ilikuwa na ujumbe huo kuwa "Chadema yamtambua JK"; Ilikuwa kutokana na hilo ndio maada hii ilipoanzia. kwamba hawawezi kubadilisha msimamo juu ya jambo kubwa kama hili na wakabakia bila ya kulipa gharama yake.

kwa mfano, Chadema wakisema:

a. Wanamtambua JK kuwa ni mshindi wa uchaguzi mkuu wa 2010 watakuwa wamebadilisha msimamo
b. Wanamtambua JK kwa sababu kura zinaonesha kuwa alishinda kwa haki wamebadilisha msimamo

Lakini wakisema (wote na ndio msimamo wa chama) kuwa:

Tume (chombo chenye mamlaka ya kumtangaza Rais) ilimtangaza JK kuwa ni Rais na hivyo JK ni Rais kwa sababu alitangazwa na Tume - watakuwa hawajabadili msimamo kwani wanaelezea a legal situation iliyopo.

Kwa hiyo, la msingi ni kujibu hilo swali. Na hapa niweke hili neno "kama" - kama msimamo wa Chadema wa kumtambua umebadilika kutoka ule wa awali ni lazima waombe msamaha. Lakini kama msimamo wao ni ule ule basi ni jukumu lao kusahihisha taarifa zinazoonesha au kuashiria kuwa wamebadilisha msimamo. Thats all I'm saying.
Kazi itakupata!! Wanasoma hawaelewi, wakielekezwa wanapinga!! na wanaopinga wanapingana!!!!! Sisi ndio watanzania... na hii ndio Tanzaniia yetu!!
 
Kuendelea kupinga matokeo ya urais wakati katiba haitoi nafasi ya kupinga ni utoto wa hali ya juu. Ni kwenye issue kama hizi wazungu wanasema cool heads ought to prevail na kuweka mbele interest za chama na taifa kwa ujumla. CHADEMA ingeweza kabisa kupoteza muda kwenye kupinga haya matokeo, lakini mwisho wa siku wangekutana na DEAD END "KATIBA." Mimi naamini maana ya uongozi ni kuchukua maamuzi mazito na wakati mwingine yasiyo na mvuto kwa watu wenye hisia za mob psychology. Siasa sio static bali dynamic, hivyo sio jambo baya kwa chama cha siasa kubadili mwelekeo kutokana condition on the ground za wakati husika.

Jamani siasa za kwenye mablog (nadharia) ni tofauti na siasa za ardhini.
 
I am moved to doubt that someone has stolen mwanakijiji's ID. It can't be for me to see this ID being plundered. I must trace the real Mwanakijiji simply because the way of constructing idea has been upsided and thinking is sinking. I am sure Mwanakijiji I know must have seen that CDM is still under construction and now has entered a new era of intensive and massive construction where iron ore is then melten highly to seperate slates from pure iron,even weak iron is thrown out to join its member slates. This process cannot happise the smithery, the grannery nor the market but the end user_citzen. For the Cdm presidential candidate,the words are the same and remain the same from Nov.that the outlived constitution is still at work and no way to challenge it. Mwanakijiji is aware of all. Otherwise I Pm him to justify the ID.
 
Feb 8, Bunge jipya litakapoanza wabunge wa CCM wakiwa wameunganishwa kwa lengo la kudhoofisha Chadema watatoa hoja rasmi ya kutaka wabunge wa Chadema kuomba radhi Bunge kwa kitendo chao cha kutoka Bungeni ambacho kilionekana kumdharirisha Rais, na kujenga picha mbaya kwa taifa. Watatakiwa waombe msamaha au watapigiwa kura ya kufungiwa watoke hadi watakapokuwa tayari kufanya hivyo. Hoja zitakazotolewa kwa kiasi kikubwa ni hizi hizi nilizozianisha.

a. Je, Wabunge hao wawe tayari kuomba msamaha ili waendelee kushiriki vikao vya Bunge
b. Je, Wakiambiwa watamke wazi kuwa JK ni Rais kwa sababu ni mshindi si kwa sababu ametangazwa na Tume watakuwa tayari?
c. Je, wakiambiwa watambue hayo yote unconditionally (yaani wasilalamikie kabisa uchaguzi)

Je wafanye hivyo? Je, mnafikiri watakuwa wamoja kukubali kuchukua msimamo wa pamoja?

Itakuwaje kama kundi moja ndani ya Chadema litakuja na kusema "tuombe tu msamaha ili tuyamalize" na kundi jingine likasema "hatuombi msamaha" halafu wabunge wa CCM wakasema wako tayari kutambua msamaha hata wa mbunge mmoja mmoja itakuwaje?

Kweli kabisa kuna watu wanafikiria kuwa CCM watawaacha wabunge wa Chadema warudi Bungeni na kuendelea na vikao bila kuwalipisha gharama?
 
Hakuna kuomba msamaha hata kwa Mbunge mmojammoja. Naona ndoto zako zimevuka mipaka.
 
Anachokisema Mwanakijiji sasa ndicho kile kile kimsingi nilichokisema mimi mwanzo kabisa, kwamba CHADEMA haina a mature strategy.

I don't know about apologizing, but certainly hawana strategy, na Mwanakijiji kawapa benefit of time pale mimi nilipoweza kujua hili bila kupoteza muda.
 
Feb 8, Bunge jipya litakapoanza wabunge wa CCM wakiwa wameunganishwa kwa lengo la kudhoofisha Chadema watatoa hoja rasmi ya kutaka wabunge wa Chadema kuomba radhi Bunge kwa kitendo chao cha kutoka Bungeni ambacho kilionekana kumdharirisha Rais, na kujenga picha mbaya kwa taifa. Watatakiwa waombe msamaha au watapigiwa kura ya kufungiwa watoke hadi watakapokuwa tayari kufanya hivyo. Hoja zitakazotolewa kwa kiasi kikubwa ni hizi hizi nilizozianisha.

a. Je, Wabunge hao wawe tayari kuomba msamaha ili waendelee kushiriki vikao vya Bunge
b. Je, Wakiambiwa watamke wazi kuwa JK ni Rais kwa sababu ni mshindi si kwa sababu ametangazwa na Tume watakuwa tayari?
c. Je, wakiambiwa watambue hayo yote unconditionally (yaani wasilalamikie kabisa uchaguzi)

Je wafanye hivyo? Je, mnafikiri watakuwa wamoja kukubali kuchukua msimamo wa pamoja?

Itakuwaje kama kundi moja ndani ya Chadema litakuja na kusema "tuombe tu msamaha ili tuyamalize" na kundi jingine likasema "hatuombi msamaha" halafu wabunge wa CCM wakasema wako tayari kutambua msamaha hata wa mbunge mmoja mmoja itakuwaje?

Kweli kabisa kuna watu wanafikiria kuwa CCM watawaacha wabunge wa Chadema warudi Bungeni na kuendelea na vikao bila kuwalipisha gharama?

Mwanakijiji, haki ya kutoa maoni ni RUKSA na hata ile ya kutofautiana. Lakini katu hakuna ruksa ya kuvaa SURA MBILI KWA WAKATI MMOJA uelewe vizuri kabisaaaa!!!

MMM, je unapoandika hapa juu sasa hivi tu ni kwamba unafanya hivyo kama msemaji rasmi wa CCM na mambo wanayoinuia kufanya mwakani au ndi kusema kwamba unasemaje hapa??? Man remember, YOU CAN ALWAYS CHEAT AROUND PEOPLE MOST OF THE TIME AND EVEN PLAY AROUND WITH THERE MINDS BUT YOU WILL NEVER EXCEL IN DOING SO ALL OF THE TIME. Think about it deeply and in private.

Kwanza hiyo mipango yenu ya kipindi kijacho, hebu tuombe tufike huko February 2011 salama sote. Kama hoja yenu huko upande wa pili ndio haya haya uliyoyaanzishia thread na kuendelea kuyapigania kufa na kupona, basi usubiri JIBU KAMILI huko huko bungeni kwamba wabunge CHADEMA watafanya nini.

Kamwe BUNGE haliongozwi kutokana na FEELINGS za mtu kama ambazyo unavyodhani. Vile vile wabunge wa Sisiem hata wangekua wengi kama mchanga baharini, kule bungeni kinachoongoza ni KANUNI ZA BUNGE na wala hata Spika hana madaraka juu ya misingi hiyo.

SPEAKER at best ni msimamizi tu wa vikao kwa misingi ya zana za bunge zinazoitwa KANUNI ZA BUNGE na wala si kwa kutegemea leo kaamkaje, NO!!
 
Back
Top Bottom