If Chadema change position it mustt apologize, unconditionally!

If Chadema change position it mustt apologize, unconditionally!

Chadema (CDM) made some strategic mistakes. They let their "emotions" override their better judgement. Chadema was fooled to believing that the support they were receiving from the masses would continue. Sadly they failed to figure that Tanzania is not really a politically emotional country. Once the elections was over not many people were ready to take the protests a step farther. Could it be they did all this thinking that people will be so emotional over the results that they thought Tanzanians would be willing to do anything?

Sadly Chadema has taken one step forward then took three steps back. Surely they must have known that they won't win the elections. These elections should have been used to be their launching pag going forward and preparing the next generation of it's leaders like John Mnyika, Halima Mdee et al.

What is shocking about Chadema is that the election conditions they are complaining of after the elections are the same ones that existed before the elections. They knew NEC was led by presidential appointees. They knew everything. So why act now? It is like entering a match where u know the referee is biased but you chose to play it out any way and complain after the match.

Right now what Chadema is doing is just contradicting themselves. First they said they don't recognize the president. Then they decide to recognize the president but not the elections that got the president into power??? First Chadema MP's boycott the president's speech but at the same night they attend a party hosted by the president to welcome new MPs???

Ukweli ndiyo huo kwamba Chadema had a legitimate shot at transforming their party into a genuine political powerhouse and by this I mean a party that can actually win the elections and just not merely contest for the second position. But now it seems they have been making all the wrong moves. Someone within the ranks of the party needs to step up because Mbowe doesn't seem to be doing his job. Even Dr. Slaa who I saw as the party's "spiritual leader" seems to not know the right way forward.
 
Halo MM
Ifu yu wantedi tu bi fea fo oolu Tanzaniani yu wili raiti yua thoo in Kiswahili.
I traidi tu ridi yua essei sevelo taimzi bati ai stili donti sii whati yu sei Ai shuldi sii o ozas sei thei sii.
Blaza! Ai traidi weeee bati whea!
keni yu plizi transileti it in Madafu langweji?

thenki yuu

mi Madela
 
Hii ni siasa.

Ni wale wenye thubutu tu ndo wanijimwaga ulingoni.

Leo hii wote tumesahau maovu ya CCM na kuwageuzia kibao CDM.

Watu wengu duniani ni wasahaulifu, lakini sisi Watanzania tumevunja rekodi kwa kasi yetu ya kusahau maumivu.

CDM imo ndani ya Mapambano ya ndani na ya nje.

CCM wanajiimarisha Kufisadi nchi kwa staili mpya kabisa. Kwa mtaji huu na mwelekeo huu sioni nini kitamzuia Edward Lowassa kuwa Rais wa Tanzania 2015.
 
Mkuu mwanakijiji,

Nadhani uzi huu umeutundika ukiwa na hasira na kutojua ni kwa nn CDM wamefikia uamuzi waliofikia. Kwamba "CDM wamekosa kuungana ktka uongozi na maono" hiyo ni speculation tu.

Kwa hakika inaweza kuwa vigumu kujua next move ya CDM, lakini hii hainipi uhalali wa kuamini kile unachotaka tuamini. Nafikiri ungevuta subira kwanza uone kuna maono gani ktk uamuzi huu wa CDM.

At this point, its hard to promise kwamba hauungi na wala hautounga mkono maamuzi yalotolewa au yatakayotolewa na CDM. To prove my words, I will wait for you at the other end.

Do not promise anything when you are either too sad/angry or too happy/excited.
Lets wait for what will come next.
 
Mkuu MMM, leo umekuwa mkali sana, najua umeudhika shortly siku hazifanani, then ukapost thread ukiwa na hasira, toa shaka,
John Mnyika kashajibu kwa kujitahidi, uliyoyasema some yana ukweli hasa hili la kumtambua JK, ila kumbuka ndio CDM sasa inajikita vema
kuweka na kuwafunda watu mikoani, wilayani, na wananchi watelewa kumbe CDM ndio chama pekee kitakacho waletea maendeleo, na usisahau
kama Dr Slaa anaendelea na operation zake za mikoani, trust me, 2015 ni kilio kwa CCM, amini mkuu, na katiba mpya tutapata, NEC huru tutapata,
ila tumsisitize DR Slaa aendelee na operation za mikoani, utaniambia, kumbuka alikuwa na muda mdogo sana kutambulishwa kipindi cha uchaguzi na bado akashinda, ila ndio hivyo vote rigging caused by NEC, hivyo usikate tamaa, safari ndio inaanza na nani ndefu kidogo ila tutafika, mafanikio
hayaji ghafla, juhudi sana using brain plus patience = mafanikio, tuko pamoja naamini
 
hamjaelewa kwa nini cdm wameamua kufanya hivyo, let vme explain; kwa kuwa serikali imetoa kauli kuwa ipo tayari kukaa meza moja, hawakuwa na budi kubadilisha mwelekeo ili mradi wayamalize 'diplomatically' yaani kwa mazungumzo. kitu kingine ni kwamba cdm walisema awali kuwa hawatambui matokeo yaliyo tumika kumuweka raisi madarakani na si kuwa hawamtambui raisi; hivi viwili magazeti ya ccm yamefanikiwa kuwachanganya wasioweza kufuatilia mambo ya siasa
 
MM: I have read your post a couple of times, I don't see a point that makes you want CHADEMA to apologise. I ask again, apologise for what?
 
Crap
jamani tulete hoja tulizofanyia utafiti siyo kukurupuka
naomba msinipe BAN tafadhari ila kila nikisoma post ya MMM naona kama namsoma MS... naona kama nasoma gazeti la udaku
 
Haya ndio matunda ya kupigana vita vya mbali. Easier said than done! Watu walitaka chadema ijitangazie rais? Mzee wa kijiji usiwe kama shabiki wa mpira
 
Mwanakijiji,

Vitu vingi ulivyosema ni vya kweli kama tungekuwa tunaishi katika ulimwengu wa nadharia. Ni lazima mtu atambue ya kuwa uchaguzi wa Rais ukishamalizika hakuna mtu wala chombo kinachoweza kupinga matokeo yaliyotangazwa na NEC. Kwa hiyo, hata kama CDM wangeendelea kushikia msimamo wao hakuna jambo ambalo lingebadilika. CHADEMA wamejua njia pekee ya kupambana na hawa CCM ni kwa kwenda bungeni na kufichua maovu na kudai katiba mpya. Kutoitambua serikali ingekuwa ni sera ambayo isingesaidia CHADEMA na taifa kwa ujumla. Mimi nawasifu uongozi wa CHADEMA kwa kuangalia picha kubwa na kuweka maslahi ya taifa mbele.

Hizi ndo siasa zinazofanana na za Zitto. Ndo maana watu kama akina BBC wana wataalamu wa siasa za tanzania, east african na kadhalika.

Jana nilimsikia Slaa akisema wanatumia njia za kisiasa. What are they?
 
MWANAKIJIJI MKUU WANGU,
huwa nakuheshimu sana siku zote,na uwezo wako mkubwa wa kufikiri nauheshimu pia,

LAKINI KWENYE HILI......!no way!

una mission ''uncompletede'' na CHADEMA,this is what i can see.

swala zima la ''uchakachuliwaji'' wa matokeo halikufanywa liaminiwe na CHADEMA......hiki ni kitu ambacho kila mtu aliyekuwa anafuatilia na kufikiria kidogo tu alikuwa analing'amua.....!hili ni swala ambalo wananchi wenyewe TULILIONA NA SIO CHADEMA WALITUFANYA TUAMINI

mimi najua unajaribu kuipindisha press conference ya dkt slaa jana,nalijua hilo

lakini kaa ukijua kuwa tumeshakujua kuwa una mission ''UNCOMPLETED'' na watazania na chadema yao!tunajua unaishabikia timu gani
 
MWANAKIJIJI MKUU WANGU,
huwa nakuheshimu sana siku zote,na uwezo wako mkubwa wa kufikiri nauheshimu pia,

LAKINI KWENYE HILI......!no way!

una mission ''uncompletede'' na CHADEMA,this is what i can see.

swala zima la ''uchakachuliwaji'' wa matokeo halikufanywa liaminiwe na CHADEMA......hiki ni kitu ambacho kila mtu aliyekuwa anafuatilia na kufikiria kidogo tu alikuwa analing'amua.....!hili ni swala ambalo wananchi wenyewe TULILIONA NA SIO CHADEMA WALITUFANYA TUAMINI

mimi najua unajaribu kuipindisha press conference ya dkt slaa jana,nalijua hilo

lakini kaa ukijua kuwa tumeshakujua kuwa una mission ''UNCOMPLETED'' na watazania na chadema yao!tunajua unaishabikia timu gani

Mkuu mpaka leo umeingia humu kweli umehalifika hata mm siamini haya maneno kama yametoka kwa mkubwa.......siasa bana mh......sometimes bora kukaa kwenye jukwa letu lile la kuimarisha serikali za famila zetu. Juzi tu tumegundua kuwa Obama ambaye dunia ilisheherekea kuchaguliwa kwake kuwa ni lishushu la kimataifa na lilikaa kwenye mapango ya Afganistan sijui na Pakistan, na amewekwa na USA kwa madhumuni maalumu kudadadadeki twende kwenye jukwaa letu bana
 
In that case MBOWE should stay aside and remain as an MP and let those capable of leading to LEAD....and he will leave a similar legacy like MAKANI and his inlaw MTEI...they all humbly stepped aside..otherwise the party will simply disappear in his hands
 
Don't trust anybody in this crazy world ! Alwayz watch your back !
 
Hizi ndo siasa zinazofanana na za Zitto. Ndo maana watu kama akina BBC wana wataalamu wa siasa za tanzania, east african na kadhalika.

Jana nilimsikia Slaa akisema wanatumia njia za kisiasa. What are they?


That is exactly problem here, people dont know politics but they pretend they do!

wanataka MMJJ akiwasifia chadema basi asije kuwakosoa????
 
wanachadema bwana yaani mmeishamuona mwanakijiji naye haaminiki? mtaanza kusema kila neno hapa, eti amenunuliwa na RA, EL ...ili mradi hamko tayari kuukubali ukweli, sit down read this carefully, fanyeni survey hata mitaani wengi hawaielewi chadema!! real
 
Back
Top Bottom