Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,302
- 150,706
Kwani Al Gore alipokubali uamuzi wa Supreme Court ina maana kuwa alitambua matokeo ya uchaguzi Florida? Kumkubali Rais hakuna maana ya kutambua matokeo.
Hilo la burden of proof linategemea mazingira. Kama wewe ni mtu unayehishimika katika jamii halafu mimi lofa nikautangazia umma kuwa una madawa ya kulevya, ukikaa kimya jamii itajuwa kuwa kuna jambo. Unachoweza kufanya ni kukaribisha watu waje nyumbani kwako na wapekuwe kila mahali ili kuthibitisha kuwa hauna madawa hayo au uniburuze mahakamani ambako nitalazimishwa kutoa ushahidi. Kwa upande mwingine ni kuwa mimi lofa inawezekana kuwa nilikuona ukiingiza madawa hayo lakini kwa ulofa wangu sikuweza kupiga picha au kuweka ushahidi wa aina yeyote ( hilo la sniffer dogs ndio kabisa!). Tactic yangu inawezekana ni kuku-provoke ili unipeleke mahakamani ambako nitaweza kuapa kuwa nilikuona ukiingiza mzigo na ambako nitaweza kudai hata nifanyiwe polygraph test kuthibitisha ukweli wa maneno yangu!
Amandla........
Al Gore alitambua matokeo ya uchaguzi Florida directly or by extension, bila hivyo asingetoa concession speech.
Hilo lingine la accused kutoa access kwa watu wengine waweze ku verify ni optional. Kama kila mtu angefungua milango ya nyumba yake ili kusudi tu a refute accusations za every Tom Dick and Harry basi watu wasingeweza hata kwenda kazini.
Bottom line ni, ushahidi wa CHADEMA uko wapi? Au ndizo zile excel spreadsheet ambazo zenyewe ni uchakachuaji wa kuchakachuliwa ?