ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

Hii picha imenikumbusha Behaviourist
Sijui amepotelea wapi huyu jamaa
Katoweka yeye na johnthebaptist
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila angalau hata huyu anaomba ,hata kama ni kwa watu wengi.
Kuliko anayetumia picha za watoto wa watu wodini kutapeli watuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mzee wa assist πŸ™ŒπŸΏ ..! Mkuu hebu fanya assist ya 10 walau nami nifurahie Xmas😁
 
Mko vizuri πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
a7640045-0b82-411a-aa3b-69b620607696.jpeg
 
Back
Top Bottom