ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

Unataka nichambwe 🤣
bf34f200-e015-4448-ab08-56694a6f69ce.jpeg
 
Ila ID za JF..🙌🏿❗

Enzi za mada maalum ya nagari ikafikia mahali tukawa na group la WhatsApp la magari

Sasa yule mwana mmoja alikuwa active Sana JF na kwenye group.. Akasema yeye ni dereva wa IT na coaster za kukodi

Basi muda mwingi akawa ni mtu wa kupost matukio ya safari za usiku.. Hasa kupeleka misiba ama IT

Yani 24/7 yuko barabarani.. Sasa ikabidi watu waanze kuhoji anapumzika saa ngapi? Na anawezaje kupost JF na kwenye group wakati anaendesha?

Kidogo akapunguza ila akaja sasa kutupiga kipigo kitakatifu.. Akatutangazia msiba msiba wa mwanae pekee wa kike aliyekuwa Mombasa na mama wa jambo
Akatupiga fix mtoto kauliwa na huyo mama! Tukatumiwa na picha ya mtoto akiwa hai ..ILA
Picha za msiba hakuna
Picha za jeneza bilabila
Picha za kaburi bilabila🙌🏿🙆🏿‍♂😃
Kumbukeni hapo kwenye group tumeshamchangia sana na JF pia🤣

Alikuwa na watu wake wa kumtetea sana! Mmoja (mdada) alikuja kuomba radhi baadae baada ya jamaa kukaribishwa kwake akapewa pombe kidogo ndio vituko halisi vikajidhihiri😀
Baada ya ishu ya msiba feki wa mtoto kubumbuluka jamaa aliingia mitini na group likawa bye! Bye..!😀
 
1789147263190.gif
 
Kuna mtu muhuni Huku huwa natamani kumlipua ila namsitiri, nilimsaidia pesa zangu aise, tapeli Mkubwa, ngoja nimsitiri, nimejua mpaka ID yake ya kweli na Jina halisi na anakaa wapi, njaa mbaya sana, naomba niendelee kuwa na uvumilivu.

Ni vyema wanaume kusitiriana!
 
Ila ID za JF....❗🙌🏿❗

Kwenye ishu za meditation.. Wakati huo tunaandika sana.. Kuna huyo mwana ana madini balaa kwenye ishu za meditation 🙌🏿

Basi mambo yalipopamba moto..! Wahitaji wa meditation na mambo ya kiroho wakawa wengi
Mwana akaiona fursa akatengeneza group la kwanza.. Kiingilio 20 000.. Group likajaa.. Akatengeneza la pili..😃 mambo yalikuwa faya sana

Sasa akaanza michezo ya town.. Anaweka bonge la mada lenye part nyingi.. Akifika panaponoga anadai hawezi kuendelea bundle limekata.. Watu idadi isiyojulikana wanatuma tano tano na kumi kumi za bundle..,🤣

Nadhani mnaijua JF fika.. Watu wakaanza kuhoji mengi... Akaanza kuwaleftisha wote wanaohoji.. Mambo yaliishia hapo🙌🏿🤣
 
Kuna mtu muhuni Huku huwa natamani kumlipua ila namsitiri, nilimsaidia pesa zangu aise, tapeli Mkubwa, ngoja nimsitiri, nimejua mpaka ID yake ya kweli na Jina halisi na anakaa wapi, njaa mbaya sana, naomba niendelee kuwa na uvumilivu.

Ni vyema wanaume kusitiriana!
JF kupitia hizi ID bandia imepitia mengi sana😃
 
Back
Top Bottom