ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

Why can't you just be real!? Woga wa nini sasa😀🙌🏿❗

ID mlima kama zinaleta pesa!?
You just can't hide your inner self...!
Your reaction...!
Your handwriting...!
Your cycles...!
Your puppetism...!

ID ya kusifu watu.
ID ya kutukana na kukashifu.
ID ya mizinga.
ID ya utakatifu feki🙌🏿🙆🏿‍♂
ID za uzinzi nknk..❗❗❗

Shida sio kuwa na ID nyingi kwakuwa sheria inaruhusu.. Shida ni je unazitumiaje?😂

Basi tu tunasitiriana na kupotezea maana tunatambua changamoto za maisha na afya ya akili vinavyotesa wengi

ID ni kinyago unaweza kukibadili lakini sio uhalisia wako❗
ID ZENYU TUNAZIJUA...😂View attachment 3667736
Mods watuwekee kitufe cha kuwafinya
 
Lamomy
Haya pita hapa
🤣🤣
Anaejifanya anakujua kapotea baada ya huu uzi
Tapeli la mjini
Eti anakujua unaishi buza , aisee ni huzuni
Hakuna hata anayenijua wanajichekesha tu!

Na huu mdomo wangu si wangeshanifungia sabufa wanisute hapa..!! 😹

Huyo anatafuta kiki, kuishi kwake Buza basi anajua wote wa buza wenzie..!! Malaya mchafu akajambe mbeleee huko..!!
 
Back
Top Bottom