Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 10,805
- 15,902
Fafanua hiyo kauli vizuri sana maana supp ukifeli unaenda disco.Sio tu utapeli wa kifedha, hata wa kihisia?
Fafanua hiyo kauli vizuri sana maana supp ukifeli unaenda disco.Sio tu utapeli wa kifedha, hata wa kihisia?
Hujawahi kukutana hata na mganga fake?Fafanua hiyo kauli vizuri sana maana supp ukifeli unaenda disco.
Kwahiyo ukawapa😂Ila ID za JF..🙌🏿😃
Huyu alikuwa tapeli blazamen
By then nilikuwa naishi Mabaibo... Nikamvuta mpaka Loyola pale kuna pub
Akaja na story ndefu ya kufunguliwa vifungo vya laana za kifamilia.. Sasa yeye na Dada yake kuna mchungaji wa Moro walikuwa wamempata hivyo mizimu ya ukoo ilitaka pesa kiasi cha million 10 hivi... Sio kuzichukua bali kuzionesha na kuzirudisha🤣
Kwahiyo wao wana million 5 wamepungukiwa na 5M niwape wakaioneshe kisha wairudishe😀😀😀
Ukasema huyu ana kichaa cha jf😂Kati ya matapeli wote huyo ndio nilimuona boya kuliko wote😀
Kwamba Babu Elly hamjui mzee wa Assist?Dada Saint Anne atukumbushe nimemsahau
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ila ID za JF..🙌🏿😃
Huyu alikuwa tapeli blazamen
By then nilikuwa naishi Mabaibo... Nikamvuta mpaka Loyola pale kuna pub
Akaja na story ndefu ya kufunguliwa vifungo vya laana za kifamilia.. Sasa yeye na Dada yake kuna mchungaji wa Moro walikuwa wamempata hivyo mizimu ya ukoo ilitaka pesa kiasi cha million 10 hivi... Sio kuzichukua bali kuzionesha na kuzirudisha🤣
Kwahiyo wao wana million 5 wamepungukiwa na 5M niwape wakaioneshe kisha wairudishe😀😀😀
salimia zile id zako nyingineAliyekuharibu vibaya sana sehemu yako ya Haja Kubwa.
Hapana kabisa nisiisingizie JF, hakuna, hapana ,No.Hujawahi kukutana hata na mganga fake?
Hongera sana, ukiwa low key unajiepusha na mambo mengi sana!Hapana kabisa nisiisingizie JF, hakuna, hapana ,No.
C.c Tresor Mandala weekend hii View attachment 3668632
Weekend unalia home,mie Miguu tu hiyo nipe kazi ya ku massage tuC.c Tresor Mandala weekend hii View attachment 3668632
😅😅😅 haha! nilimpiga marufu kabisa kwenda kwa wamasai kuosha miguu sijui kuchaWeekend unalia home,mie Miguu tu hiyo nipe kazi ya ku massage tu
Unataka nichambwe 🤣Nikumbushe ni nani kumbe😀