ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

Ukamnyima mtumishi ulichopewa bure 🤣🤣🤣 dhambi hizo
a7640045-0b82-411a-aa3b-69b620607696.jpeg
 
True story kuhusu multiple IDs
Kuna mwana hapa jukwaani siwezi kumsahau😂😂🙌🏿 kama anasoma hii post anipe ishara ya 5 tu inatosha..
Huyu jamaa alikuwa na ID kama 10 hivi..! Mimi sikuwahi kujua kabisa

Sasa sijui alijuaje kama kipindi hicho nilikuwa na chenchi kidogo, basi kila week ilikuwa kuna ID ngeni 2 zinaniomba assist PM ya 5 to 10K❗

Mimi bila hiyana wala kinyongo nikawa narusha maana nayajua maisha ya mwanaume kuishiwa

Basi baada ya mwaka nikapata simu ngeni jamaa akanisalimia kwa furaha sana na kunishukuru sana.. Kisha akatuma msg kaka hii

Mshana kuna kipindi nilikuwa nimepigika mno.. Nilikula sana tano tano na kumi kumi zako kupitia ID mbalimbali

Sasa hivi niko Mwanza nataka nikutumie chochote kukushukuru😂😂😂 Je hii number inapokea miamala? Nikamwambia ndio..! Akasema nimpe dakika 5.. !!!

Mpaka Leo nasubiri huo muamala..! Yaani tapeli ni tapeli tuu..! 🙌🏿
😅😅😅
Subira yavuta heri
 
Sikutegemea mngetapeliwa kizembe hivyo
Unamkumbuka mzee wa assist? Alipiga kwa members aliowapm kama 350,000 hivi🤣🙌🏿

Tukajikuta kwenye thread moja kila mmoja anatoa yake ya moyoni.. Jamaa ile December ilikuwa njema sana kwake!
Nakumbuka kuna member yeye alimrushia 30,000 tasilimu

Jamaa alikuwa haombi kubwa ni 5000 ah 10,000😁
 
Huyu Baba jamani 😂😂😂😂😂😂😂🙌
Nilimuheshimu sana 💔
 
Back
Top Bottom