Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,827
- 236,134
Kumbe ulishuhudia na wewe 😂😂😂😂😂😂😂🙌Usinikumbushe...
Watu wakaenda hadi Lugalo...
Wodi ya watoto waliongua wanaulizia hadi na picha wanaonesha mgonjwa hawamtambui🤣
Mimi nilishangaa, kwa mara ya kwanza nikaushuhudia utapeli kwa macho yangu.