ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

True story kuhusu multiple IDs
Kuna mwana hapa jukwaani siwezi kumsahau😂😂🙌🏿 kama anasoma hii post anipe ishara ya 5 tu inatosha..
Huyu jamaa alikuwa na ID kama 10 hivi..! Mimi sikuwahi kujua kabisa

Sasa sijui alijuaje kama kipindi hicho nilikuwa na chenchi kidogo, basi kila week ilikuwa kuna ID ngeni 2 zinaniomba assist PM ya 5 to 10K❗

Mimi bila hiyana wala kinyongo nikawa narusha maana nayajua maisha ya mwanaume kuishiwa

Basi baada ya mwaka nikapata simu ngeni jamaa akanisalimia kwa furaha sana na kunishukuru sana.. Kisha akatuma msg kaka hii

Mshana kuna kipindi nilikuwa nimepigika mno.. Nilikula sana tano tano na kumi kumi zako kupitia ID mbalimbali

Sasa hivi niko Mwanza nataka nikutumie chochote kukushukuru😂😂😂 Je hii number inapokea miamala? Nikamwambia ndio..! Akasema nimpe dakika 5.. !!!

Mpaka Leo nasubiri huo muamala..! Yaani tapeli ni tapeli tuu..! 🙌🏿
Sorry kaka mshana mambo yaliingiliana . Naomba ni pm namba inayopokea muamala nitimize ahadi 🙃.

Apo ilikua akupige tena kizinga cha maana. Bahati wakubwa waliingilia kati 😁
 
Kuna watu humu wana id za kike na kiume anachat huku anajibembeleza kule 🤣🤣🤣
8e82743f-117d-4126-8e62-5e0b42bc6e0c.jpeg
 
Wanachama wazoefu wa JamiiForums huwa wanagundua au kuhisi mtu anatumia akaunti tofauti kwa kuangalia viashiria vifuatavyo:
  • Mfumo wa uandishi (Writing Style): Matumizi ya maneno yale yale ya siri, makosa ya kisarufi yanayofanana, au jinsi mtu anavyopangilia hoja zake.
  • Muda wa kuonekana mtandaoni: Akaunti moja inapoacha kuchangia, nyingine inaingia hapo hapo na kuendeleza uzi au kubishana na watu wale wale.
  • Kujibu hoja kwa niaba: ID nyingine inapoingia kumtetea mtu fulani kwa hisia kali sana kana kwamba ni mtu yule yule anayejishuku.
  • Kada na maoni: Akaunti zinazotetea au kushambulia upande fulani (kama vile siasa au mahusiano) kwa kutumia hoja na mifano inayofanana kkabisa
    image_9ff5009a.jpg
 
Back
Top Bottom