Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,350
- 42,232
Mnawezaje kufungua ad nyingi nyingiNaam kaka, nataka nizidi kuongeza IDs zingine kaka.

Huwezi kuwaza maisha at the same time id zako zote zifanye kazi ngumu hiyo kama unalipwaNadhani hio inaweza kuwa sababu
Hapana, hiyo si yangu. Huyu mdogo wangu PSL god anapenda wowowo si mchezo.Usikute na hii ya psl god ni yako maana ni kama mtu kalog in chachap kunikomesha! Mtu akijihisi kuzidiwa kete huwa naona rahaaa💃🏽
Mtu ana act kama kapanga chumba humu tusemeje?hahahahahaha,kwamba humu ndio kula kwao?
😁😁 wakati wa vita unakuta id zote zinatumia ballistic missile zinazofanana ila unabadili position ya manenohahahaha,aisee ni kipaji haswa ujue, mie nikiona kuna hatari ya shambulizi huwa fasta nakaa pembeni,mwepesi hasa wa kunusa hizo danger
Uko Right kabisaHuwezi kuwaza maisha at the same time id zako zote zifanye kazi ngumu hiyo kama unalipwa
Watu huwa hawaamini kwenye id moja mimi huwa wanaforce sana niseme nina ids nyingine wakati sina hata huo muda, hii tu ishanizalishia mengi nikatafute nyingine tena, huo msalaba aisee!Mimi na ID moja tuuu sijawai kuwa na I'd yoyote ingine
Am 4 real kama jina langu
We una ngapi?Hata ukizijua👌👌👌👌
Story imeisha kwa kuniumizaTrue story kuhusu multiple IDsp
Kuna mwana hapa jukwaani siwezi kumsahau😂😂🙌🏿 kama anasoma hii post anipe ishara ya 5 tu inatosha..
Huyu jamaa alikuwa na ID kama 10 hivi..! Mimi sikuwahi kujua kabisa
Sasa sijui alijuaje kama kipindi hicho nilikuwa na chenchi kidogo, basi kila week ilikuwa kuna ID ngeni 2 zinaniomba assist PM ya 5 to 10K❗
Mimi bila hiyana wala kinyongo nikawa narusha maana nayajua maisha ya mwanaume kuishiwa
Basi baada ya mwaka nikapata simu ngeni jamaa akanisalimia kwa furaha sana na kunishukuru sana.. Kisha akatuma msg kaka hii
Mshana kuna kipindi nilikuwa nimepigika mno.. Nilikula sana tano tano na kumi kumi zako kupitia ID mbalimbali
Sasa hivi niko Mwanza nataka nikutumie chochote kukushukuru😂😂😂 Je hii number inapokea miamala? Nikamwambia ndio..! Akasema nimpe dakika 5.. !!!
Mpaka Leo nasubiri huo muamala..! Yaani tapeli ni tapeli tuu..! 🙌🏿
Tuko 'kimkakati'.Kumiliki IDs nyingi nako kipaji, huko ku log in na out mda wote mbona kipengele sanaa??
Kutojiamini au nini? Siweziii kwa kweliii.
Yani unakuja zako unaandika ujinga unapita hivi mwenzio anaishi nao ka mjinga😅Inasikitisha sana , watu wameifanya JF kama ugali
KubabakeTrue story kuhusu multiple IDsp
Kuna mwana hapa jukwaani siwezi kumsahau😂😂🙌🏿 kama anasoma hii post anipe ishara ya 5 tu inatosha..
Huyu jamaa alikuwa na ID kama 10 hivi..! Mimi sikuwahi kujua kabisa
Sasa sijui alijuaje kama kipindi hicho nilikuwa na chenchi kidogo, basi kila week ilikuwa kuna ID ngeni 2 zinaniomba assist PM ya 5 to 10K❗
Mimi bila hiyana wala kinyongo nikawa narusha maana nayajua maisha ya mwanaume kuishiwa
Basi baada ya mwaka nikapata simu ngeni jamaa akanisalimia kwa furaha sana na kunishukuru sana.. Kisha akatuma msg kaka hii
Mshana kuna kipindi nilikuwa nimepigika mno.. Nilikula sana tano tano na kumi kumi zako kupitia ID mbalimbali
Sasa hivi niko Mwanza nataka nikutumie chochote kukushukuru😂😂😂 Je hii number inapokea miamala? Nikamwambia ndio..! Akasema nimpe dakika 5.. !!!
Mpaka Leo nasubiri huo muamala..! Yaani tapeli ni tapeli tuu..! 🙌🏿
Mie napandisha moli kama Masai,nampangua na I'd zake zote.hahahahahaha,hapo lzm utulie kwanza
Daah.True story kuhusu multiple IDsp
Kuna mwana hapa jukwaani siwezi kumsahau😂😂🙌🏿 kama anasoma hii post anipe ishara ya 5 tu inatosha..
Huyu jamaa alikuwa na ID kama 10 hivi..! Mimi sikuwahi kujua kabisa
Sasa sijui alijuaje kama kipindi hicho nilikuwa na chenchi kidogo, basi kila week ilikuwa kuna ID ngeni 2 zinaniomba assist PM ya 5 to 10K❗
Mimi bila hiyana wala kinyongo nikawa narusha maana nayajua maisha ya mwanaume kuishiwa
Basi baada ya mwaka nikapata simu ngeni jamaa akanisalimia kwa furaha sana na kunishukuru sana.. Kisha akatuma msg kaka hii
Mshana kuna kipindi nilikuwa nimepigika mno.. Nilikula sana tano tano na kumi kumi zako kupitia ID mbalimbali
Sasa hivi niko Mwanza nataka nikutumie chochote kukushukuru😂😂😂 Je hii number inapokea miamala? Nikamwambia ndio..! Akasema nimpe dakika 5.. !!!
Mpaka Leo nasubiri huo muamala..! Yaani tapeli ni tapeli tuu..! 🙌🏿
Kabisa, ukiwa busy huwezi fanya vitu vya hovyoUjobless na kukaa kwa shemeji muda mwingi wanakuwa sebleni😁