ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

Shenzi tabia za watt wa miaka 15 wanaobalehe mtu mzima haoni aibu
Sijui anapata faida gani
Tumuweke kwenye maombi huenda ni pepo hakuna mtu wa kawaida wa hivi! Hawa ndio wale wanaishi jf hawezi kupumua bila hii forum😂
Btw , wanaokula humu wako kimya ht hawana kelele 😎🏃‍♀️😄
Ila ambao hawapewi full kelele
Mshenzi tu ameshataja watu kibao huko vichochoroni na taarifa zinatuurudia anahisi yuko pluto anajiongelesha ka mpuuzi!
 
Why can't you just be real!? Woga wa nini sass😀🙌🏿❗

ID mlima kama zinaleta pesa!?
You just can't hide your inner self
Your reaction..
Your handwriting..
Your cycles..
Your puppetism..

ID ya kusifu watu
ID ya kutukana na kukashifu
ID ya mizinga
ID ya utakatifu feki🙌🏿🙆🏿‍♂
ID za uzinzi nknk

Shida sio kuwa na ID nyingi kwakuwa sheria inaruhusu.. Shida ni je unazitumiaje?😂

Basi tu tunasitiriana na kupotezea maana tunatambua changamoto za maisha na afya ya akili vinavyotesa wengi

ID ni kinyago unaweza kukibadili lakini sio uhalisia wako
ID ZENYU TUNAZIJUA...😂View attachment 3667736
Cc GENTAMYCINE
 
😄😄😄😄atakua ninyeye
Si alisema ana biashara ya madini?
Mara mil 100🙌🙌
🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Kuna siku nilimkuta anamwmabia Binti wa zamani sijui ampeleke wapi ana kama mil 200 hivi hazina kazi nikamsanua chapchap ndio akamshtukiaga, kuna mtu naye nilimsanua nusu aliwe saiz eti kanigeuza adui ila jf🙌🏾😂
 
Tumuweke kwenye maombi huenda ni pepo hakuna mtu wa kawaida wa hivi! Hawa ndio wale wanaishi jf hawezi kupumua bila hii forum😂

Mshenzi tu ameshataja watu kibao huko vichochoroni na taarifa zinatuurudia anahisi yuko pluto anajiongelesha ka mpuuzi!
Sina muda wa kumuombea tapeli 😄😄
Niache kuombea mambo yangu yakae sawa nihangaike na tapeli
 
Kuna siku nilimkuta anamwmabia Binti wa zamani sijui ampeleke wapi ana kama mil 200 hivi hazina kazi nikamsanua chapchap ndio akamshtukiaga, kuna mtu naye nilimsanua nusu aliwe saiz eti kanigeuza adui ila jf🙌🏾😂
😄😄😄noma
Ulifanya vzr ht wakikuchukia cha msingi ndani yako hukua na hila na Mungu anajua
So chill
 
Back
Top Bottom