ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

Buda sio poa inashangaza tu gafla unaanza kupigwa na ballistic missile za kutisha kumbe ni mtu mmoja anafanya kuswitch id ila ni kipaji maana comment zinakuwa hazipishani muda 1min 2mn au 3min
hahahaha,aisee ni kipaji haswa ujue, mie nikiona kuna hatari ya shambulizi huwa fasta nakaa pembeni,mwepesi hasa wa kunusa hizo danger
 
Back
Top Bottom