Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 177,378
- 195,219
Kwamba awe na title kubwa ilhali hana hekima, busara, maturity na real life experiences that come with it.Nina ID 2, moja nimemfungulia mtoto wangu sababu nataka baadae yeye ndiye awe memba aliyejiunga miaka mingi nyuma aliye active
Nawewe bado unasubiri 🤣True story kuhusu multiple IDs
Kuna mwana hapa jukwaani siwezi kumsahau😂😂🙌🏿 kama anasoma hii post anipe ishara ya 5 tu inatosha..
Huyu jamaa alikuwa na ID kama 10 hivi..! Mimi sikuwahi kujua kabisa
Sasa sijui alijuaje kama kipindi hicho nilikuwa na chenchi kidogo, basi kila week ilikuwa kuna ID ngeni 2 zinaniomba assist PM ya 5 to 10K❗
Mimi bila hiyana wala kinyongo nikawa narusha maana nayajua maisha ya mwanaume kuishiwa
Basi baada ya mwaka nikapata simu ngeni jamaa akanisalimia kwa furaha sana na kunishukuru sana.. Kisha akatuma msg kaka hii
Mshana kuna kipindi nilikuwa nimepigika mno.. Nilikula sana tano tano na kumi kumi zako kupitia ID mbalimbali
Sasa hivi niko Mwanza nataka nikutumie chochote kukushukuru😂😂😂 Je hii number inapokea miamala? Nikamwambia ndio..! Akasema nimpe dakika 5.. !!!
Mpaka Leo nasubiri huo muamala..! Yaani tapeli ni tapeli tuu..! 🙌🏿
Nini hiki???
Lord VoldemortNini hiki???
Ila huu uzi!!! Hahaa
Ndonini tena hiki??? Wajua mie lasabaDLord Voldemort
My favourite character in Harry Potter...Ndonini tena hiki??? Wajua lasabaD mie
Asante kwa taarifaMy favourite character in Harry Potter...
Najua siyo vitu vyako sweetheart, hahahaAsante kwa taarifa
I'd yako nyingine ni ipi weye??Najua siyo vitu vyako sweetheart, hahaha
Toka nijiunge JF nina ID moja hii ya Smart911 tu sweetheart, siwezi kua na ID zaidi ya moja...I'd yako nyingine ni ipi weye??
Wewe ni mwamba!!Toka nijiunge JF nina ID moja tu sweetheart, siwezi kua na ID zaidi ya moja...
Wewe hata sikuulizi, hahahaWewe ni mwamba!!
Weee hujawahi pigwa lo????Wewe hata sikuulizi, hahaha
Humu usipokaa kiaskari utawasaidia watu wanaopaswa kukusaidia bila kujua.Sina jinsi bado nasubiri😀
duuhHumu usipokaa kiaskari utawasaidia watu wanaopaswa kukusaidia bila kujua.