Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,768
- 4,909
Ikawaje mkuu 😂 😂Ila ID za JF ..🙌🏿 niliwahi kupewa dili ya kusafisha dollar kwa kemikali maalum.. Halafu yule mwana nilikuwa namheshimu sana😎🤣
Ikawaje mkuu 😂 😂Ila ID za JF ..🙌🏿 niliwahi kupewa dili ya kusafisha dollar kwa kemikali maalum.. Halafu yule mwana nilikuwa namheshimu sana😎🤣
Fanya kazi, aisee🤦🏽♀️Kwangu vitu hivyo havipatikani sasa 😂
Umepitia mengi brother 😁😁😁😁😁 dahh watu wakatiliTrue story kuhusu multiple IDs
Kuna mwana hapa jukwaani siwezi kumsahau😂😂🙌🏿 kama anasoma hii post anipe ishara ya 5 tu inatosha..
Huyu jamaa alikuwa na ID kama 10 hivi..! Mimi sikuwahi kujua kabisa
Sasa sijui alijuaje kama kipindi hicho nilikuwa na chenchi kidogo, basi kila week ilikuwa kuna ID ngeni 2 zinaniomba assist PM ya 5 to 10K❗
Mimi bila hiyana wala kinyongo nikawa narusha maana nayajua maisha ya mwanaume kuishiwa
Basi baada ya mwaka nikapata simu ngeni jamaa akanisalimia kwa furaha sana na kunishukuru sana.. Kisha akatuma msg kaka hii
Mshana kuna kipindi nilikuwa nimepigika mno.. Nilikula sana tano tano na kumi kumi zako kupitia ID mbalimbali
Sasa hivi niko Mwanza nataka nikutumie chochote kukushukuru😂😂😂 Je hii number inapokea miamala? Nikamwambia ndio..! Akasema nimpe dakika 5.. !!!
Mpaka Leo nasubiri huo muamala..! Yaani tapeli ni tapeli tuu..! 🙌🏿
Ndiyo,mwingine anakujia kama mwizi.Wengine ila wanakuja kistaarabu, unamuelewesha tu unapita kushoto😅
Hii inaitw ka unuke
Siku nyingine uwe na huruma mkuu. Kumbuka kutunga message ya kupiga mtu kizinga inahitaji sana creativity.Basi usilie toto zuri
Mbona nilituma ad risit ya malipo ndo mwana akaona aje na utambulisho mwingine anipe kizingaHiyo. Million 7 ulitoa???🤣🤣🤣 Hila jf🙌
Ntamfurumisha hatokaa akaamini aisee!Ndiyo,mwingine anakujia kama mwizi.
Watu wamepinda wanatapeli hadi wagangaIla ID za JF 😀🙌🏿🙌🏿 Niliwahi kutuma nauli na ya kutolea juu😂.. Hakuwahi kuja..🙆🏿♂ imagine mpaka mkongo na energy juu na panadol... Nyoko zako😎
😜😜😜Siku nyingine uwe na huruma mkuu. Kumbuka kutunga message ya kupiga mtu kizinga inahitaji sana creativity.
Hahaha 😂Fanya kazi, aisee🤦🏽♀️
Kweli kabisa jamaa alitoa milioni 7, baada ya dakika Tano tukawa tumejazana kwenye pm yake 😂Hiyo. Million 7 ulitoa???🤣🤣🤣 Hila jf🙌
Ila watu wa hivi mimi naona wako smart sana, mtu ana Id zaidi ya tatu na hachanganyi mafaili, kila ID ina personality yake 🤣🤣Siku moja nikaambiwa Jr.. Unajua mimi ni jeshi la mtu mmoja? Nina ID 15 kwa matumizi tofauti
Pesa ni kitu kingine bwana!
Mtoto halali na helaPesa ni kitu kingine bwana!