ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

Hizi picha unzitoaga wapi mkuu
9b679475-ab04-48b0-b2d1-753ec9beee1e.jpeg
 
Ndio na usiwe real acha uonekane shindikanaa tu, inasaidia, mtu anaogopa hata kukuletea mazoea ya kipumbavu! haya mambo ya kujifanya sijui cha upole mara sijui we wa tofauti sana utalika sana🤣

Ukiwa mwanza sema Uko dar, ukiwa dar sema uko njombe, ukienda moshi sema uko abroad😂
Mi niko katavi jmn
Haha
 
Hapa sasa tunaongea lugha moja 😂🤣
 
Back
Top Bottom