ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 20,588
- 75,635
Nisamehe tu utaniuaSiku moja inatakiwa nikutandike makofi pm
Nisamehe tu utaniuaSiku moja inatakiwa nikutandike makofi pm
MnoooIla watu jaman mbinguni ni mbali sana
Humu tuko macho. Tukijua tu una pesa hata ukitukanwa na member mwingine basi huyo memba tutamshambulia kwa makombora ya kibalistiki ili bosi usiumie kisaikolojia.Labda zilikuwa za kinyamkela🤣🤣
Nakwambia na simuomi na ile id 🤣🤣atarudi kivingineUzuri wa JF ukidhaniwa kuwa tapeli lazima uanikwe 🔥
Mkuu, hii simu yako ndio umesema madogo huwa wanaishika? 😊
Kwa haya mapicha picha madogo watakuwa na ha
Haha yani kama yesu ananyaona haya atakuwa anacheka tuu huko alipoMnooo
Imagine anawaombea kabisa watu wanatoa shida zao
Wale wazee wetu wa mwaka 47 ndio walikuwa wanasema pesa nyingi nibaya, Leo hii hata wao wanaitafuta kwa tochi.Sio kweli pesa chache ndio mbaya
🤣🤣🤣🤣 Ila weweHumu tuko macho. Tukijua tu una pesa hata ukitukanwa na member mwingine basi huyo memba tutamshambulia kwa makombora ya kibalistiki ili bosi usiumie kisaikolojia.
Mnavimbiana wenyewee.!Usinihusishe na takataka
Ila Mungu ana kaziHaha yani kama yesu ananyaona haya atakuwa anacheka tuu huko alipo
Mimi nilishakwambia sitaki kunilinganisha na Takataka, kaa nazo mwenyeweMnavimbiana wenyewee.!
Assume mimi tu pekee nilituma IDs zaidi ya tano, hapo sijazungumzia wengine ambao lazima walikwenda kumsabahi jamaa.Sasa ulijuaje kama na wengine wameenda 😁
Salute afandeMimi nilishakwambia sitaki kunilinganisha na Takataka, kaa nazo mwenyewe
Ety anaombea mpaka watu duu,, mtumishi wa jfAssume mimi tu pekee nilituma IDs zaidi ya tano, hapo sijazungumzia wengine ambao lazima walikwenda kumsabahi jamaa.
Hapo kwenye kuombea watu sasa 🙌Nakwambia na simuomi na ile id 🤣🤣atarudi kivingine
Anaombea mpk watu jmn
Eti mtumishi
Ooh my bad mkuu🙏No vayolensi today😆View attachment 3668020
Inauma sana mkuu.Walitupanga sana🥵🤬