kashang123
Senior Member
- Nov 26, 2024
- 123
- 152
Ila watu jaman mbinguni ni mbali sanaHahahaha😂
Ila watu jaman mbinguni ni mbali sanaHahahaha😂
Yaani nilijichekea tu.Kwahiyo ukasuuzwa shorii🤣🤣
Humu watu wana vituko sana😂
Ulivyo sema nikakupotezea ajabu kinyamkela akanisanua chap Kwa haraka,alafu mbaya zaid jana umefungua Leo nakupa makavu🥱🥱🥱😂😂😂Kaka kumbuka siku ile nilikuambia kabisa ukae tayari kwa ujio wangu kupitia 🆔 nyingine, lakini nikatoka patupu aisee!
Yaani uluponinyima kwa hasira nikakutupa kwenye ignore list, jana ndo nimekufungulia 😂😂
🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️imagineIla Seran ulidhalilisha brand
Bahati nzuri nilimwambia Dogoli kuwa secretarybird yu aja kukupiga vizinga kwa id nyingine, cha kushangaza nilitoka nunge aisee 🥲secretarybird unatuhuma nzito sana hapa njoo uzikanushe shehe😂
Ndio na usiwe real acha uonekane shindikanaa tu, inasaidia, mtu anaogopa hata kukuletea mazoea ya kipumbavu! haya mambo ya kujifanya sijui cha upole mara sijui we wa tofauti sana utalika sana🤣Yaani acha tu...ila jifunze kutoa taarifa za uongo itakusaidia sana humu jf
Bora hata nisingekutoa kwe ignore. Ona sasa umeniumiza roho kwa kunichana ukweli.Ulivyo sema nikakupotezea ajabu kinyamkela akanisanua chap Kwa haraka,alafu mbaya zaid jana umegungua Leo nakupa makavu🥱🥱🥱😂😂😂
🤣🤣🤣🤣Sasa namimi ngoja nikachekee bafuni.
Kumbe watu mnapitia nyakati ngumu sana na hamsemi, mshajisogeza hadi kwenye madhabahu ya watumishi.
JF kiboko
🤣🤣🤣🤣🤣Ila ID za JF 😀🙌🏿🙌🏿 Niliwahi kutuma nauli na ya kutolea juu😂.. Hakuwahi kuja..🙆🏿♂ imagine mpaka mkongo na energy juu na panadol... Nyoko zako😎
Si utafute kwako! Unakaaje kwa mtu sasa🤦🏽♀️Vingi tu, mfano hela, matumaini, furaha na kadhalika.
Hiyo. Million 7 ulitoa???🤣🤣🤣 Hila jf🙌Usicheke mkuu 😂 😂
Uzuri wa JF ukidhaniwa kuwa tapeli lazima uanikwe 🔥Mi sijaumizwa
Sidhani km kuna aliofanikiwa kuwatapeli maana watu wnasanuana
Hahah
Sina shida na wewe, labda wewe ndiye mwenye shida na mimi.Kuna mtu kareact angry kwenye hii comment. Mna shida nae kwan?
Wengine ila wanakuja kistaarabu, unamuelewesha tu unapita kushoto😅Yaani nilijichekea tu.
Nilikuchungulia kwenye tunguli nikasema huyu hanipat ng'o😂😂Ulivyo sema nikakupotezea ajabu kinyamkela akanisanua chap Kwa haraka,alafu mbaya zaid jana umefungua Leo nakupa makavu🥱🥱🥱😂😂😂
Mimi sielewi kama weweEphen nipe maelekezo nini kinaendelea hapa tafadhali
Basi usilie toto zuriBora hata nisingekutoa kwe ignore. Ona sasa umeniumiza roho kwa kunichana ukweli.
Hivi haya mambo kweli yapo? Mimi huwa nahisi changamsha genge...kwamba mtu anaweza kutumia id nyingine kujisifia?Kuna zile za kujipigia promo..🙌🏿😂
Kwangu vitu hivyo havipatikani sasa 😂Si utafute kwako! Unakaaje kwa mtu sasa🤦🏽♀️