ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

Full minuno🤣🤣,

Sema humu nikishamsoma mtu nakaanae mbali,,,Kuna mmoja anajifanyaga kichaa na ana kundi lake linamsapoti🤣🤣,alijifanya anaenijua mara ooh nadaiwa vicoba,ooh bwana ako bodaboda anajitungia,,niliruka nae vile alivyotaka,,nikamsanukia Hadi pm kwake,,na nilisha mwambia Hadi nimtie mikononi🤣🤣,,,nilimfunga mdomo Hadi pm akafunga Kwa muda,,,
833f8298-643a-4cfc-ad85-0b7a5c4da9c4.jpeg
 
Back
Top Bottom