mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,295
- 8,848
Tayari ameshaanza chokochoko ili akakodi majeshi yakeHata kwenye huu uzi kuna Id zinatamani vurugu itokee waje na backup zao😁😁
Tayari ameshaanza chokochoko ili akakodi majeshi yakeHata kwenye huu uzi kuna Id zinatamani vurugu itokee waje na backup zao😁😁
Semaaaa 😄😄...Au basi...🏃🏿
hahahaha,ya nini shida😁😁😁😁,umepoa.
Bestie yako kayakanyaga kusikokanyagika😂...Au basi...🏃🏿
Kaeni kwa tahadhariTayari ameshaanza chokochoko ili akakodi majeshi yake
Na tutamjuaLeo sijui katuoteaje kapotea! Nahisi anaandaa nyingine tusimuharibie kazi😂
Mimi mwenyewe naiweza hiyo kazi😂Kwanza humu watu wananusa😁😁😁,
Kuharibiana siku🤣🤣hahahaha,ya nini shida
😂😂😂😂😂 Heee sasa kulikuwa na haja gani kusema anataka kukulipa?
The Monk Njoo hapa nahisi kama jamaa yetu yupo humu, iweje anitext kuwa anataka kunilipa lile deni halafu apotee hadi leo?
Nilicheka sana ulivyoniambia subiri uone kama utalipwa 😅😭
Nilikuwa nasubiri ufungue usiingie dhambini jamani ushaanza kuandika neno ushenzi kabla ya saa 12😒Now u know 😄😄watu mkaombewa na kuombewa 🏃♀️🏃♀️🏃♀️😎
Utapeli na ushenzi...
Mbona hujaniita? 😄
Dadeq🤣🤣🤣🤣,nimebadili username,,,,,raia anakusanukia we Fulani😁Mimi mwenyewe naiweza hiyo kazi😂
😄😄😄yaani acha tuBabe kumbe watu wanakuzingua na huniambii nataka uwe na utulivu wa hali juu sitaki mtu akudisturb😁
😄😄😄pole sanaNilikuwa nasubiri ufungue usiingie dhambini jamani ushaanza kuandika neno ushenzi kabla ya saa 12😒
Mimi usinikumbushe machungu nilivyokuwa najiliza linanisikiliza kama mtu vile😏
kabisa kabisaKuharibiana siku🤣🤣
Basi ndomaana umemshangaa wapo wawili kabisa tunaaishi nao😀Yaan nashindwa kumuelewa
In Mchina Voice, Imagine toka nimejiunga Jf kwa mara ya kwanza nimepata Dislike 😂😂
Da!😄😄😄yaani acha tu
Kuna washenzi humu acha tu
Na sijui wanapata faida gani
Mpk wanafanya tuogope kuonana na watu wa muhimu kwa kuhofiwa kuchafuliwa