ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

Kama chokoraa🤣
Ila wanawake tunavumiliaga mengi sana 😆 😂
not funny nba GIF.gif

Kuna mwingine huyo ni mtu namheshimu, nimerudi JF nikagundua ID yake ya pili, kutwa yuko selfika anawaomba picha nyie wadada mnaopitaga naked, nikajisemea yani mijitu ya humu ni 🚮 🚮 🚮
 
Ila wanawake tunavumiliaga mengi sana 😆 😂
View attachment 3667816

Kuna mwingine huyo ni mtu namheshimu, nimerudi JF nikagundua ID yake ya pili, kutwa yuko selfika anawaomba picha nyie wadada mnaopitaga naked, nikajisemea yani mijitu ya humu ni 🚮 🚮 🚮

Waokoe wenzio, utawaepusha na mabalaa zaidi.
 
Haha hapana huyu ni tapeli wala sio wa JF he used to be a friend, alikuwa nje akanitext kuwa amefata mzigo wa simu, na nilikuwa nataka simu nikamtumia hela 3.4M akapotea nayo mazima. Nikamdai kama wiki hivi akasema amepata shida migration sijui nini nini nikatemana nae.

Umepita kama mwaka akanitext kuwa anataka tuonane anilipe hela yangu tufungue ukurasa mpya blah blah. Nikamjibu hii namba uliyonitext nayo tuma hiyo hela hamna haja ya mimi na wewe kuonana.

Nikascreenshot msg nikamtumia The Monk, Huyu ni legend anaelewa mambo yalivyo akaniambia don’t be delusional, mtu mwenye nia ya kulipa asingetuma hiyo msg, nikakaa nikasubiri weeeee mwezi karibu wa 4 huu hajanitafuta tena.

Sasa nimesoma hiyo comment ya mshana kuwa tapeli alimtext kumshukuru na kutaka kulipa fadhila halafu akapotea nikakumbuka situation yangu . 😅
Hivi nguvu ya kumtumia mtu hela online hua mnazipatia wapi watanganyika wenzangu.

Mi nikitoa nipate na chotaka hapohapo. Huna iyo bidhaa mtasubiri waliyonayo walete ninue kitu nachoona.
 
Sasa waambie waheshimiwa majaji kwamba na mimi aliniingiza king, kidogo nivurugane na wife najua nna rescue mwamba kumbe naingia mkenge.(Ila wanawake mmepewa namna ya kutambua hatari na michongo feki) niliambiwa kabisa mbona huyu mtu kama mission town? Ntasikia sasa.
Husikii huambiwi nusu uvunje account ya Dola 😂😭
 
Ila wanawake tunavumiliaga mengi sana 😆 😂
View attachment 3667816

Kuna mwingine huyo ni mtu namheshimu, nimerudi JF nikagundua ID yake ya pili, kutwa yuko selfika anawaomba picha nyie wadada mnaopitaga naked, nikajisemea yani mijitu ya humu ni 🚮 🚮 🚮
Kumekucha
Uwe unatusanua wenzio jmn
 
Back
Top Bottom