Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,781
- 9,391
Kumbuka mtumishi naye ni binadamu!Hii ni uongo!
Hakuna mchungaji anayeshinda selfika kuchungulia vishuzi vya kondoo😁
Kumbuka mtumishi naye ni binadamu!Hii ni uongo!
Hakuna mchungaji anayeshinda selfika kuchungulia vishuzi vya kondoo😁
Nikumbushe tena ile ID ile mkuu, mbona unaiminyia sana mzee😬😬Burudani za JF kuna siku chamdeko aka log in na ID nyingine😂🙌🏿🤣
Mmeamua kutufungia kaziNi leo tu mpaka mwakani tena😂
Yaani huwezi amini namna nimecheka, uliombewa kabisa..😬😬😬😬Sasa hapo unafurahia nini we mzee🙄
Kaa malishoni uchunge Kondoo, huku kwenye mbuzi unakuja kutafuta nini!Kumbuka mtumishi naye ni binadamu!
NIamini nakuambia! Na alikua ana mzigo afu kaenda hewani.Hii ni uongo!
Si ndio!😅Mmeamua kutufungia kazi
🤣🤣🤣🤣 Kuna mmoja anamwaga dislikeMimi nipo ndani nacheka kama mwehu na mafua yangu😂😂
Uzuri siko pekeangu victims hapa wapo wengi i just dare to talk, we acha tu kuutafuta wokovu si mchezo!Yaani huwezi amini namna nimecheka, uliombewa kabisa..😬😬😬😬
Niue tu ila siwezi kuamini😅NIamini nakuambia! Na alikua ana mzigo afu kaenda hewani.
😁😁 Mbavu zinavunjikaMimi kilichoniuma ni kuamini yule mpuuzi ni mchungaji na nikashare naye mambo yangu na tukafanya maombi lisaa nikaanza kulia🤣🤣🤣
Hata sio kazi sema tu tunakupuza! Kuna muda unajitukana mpaka nasema ila hii dunia ina watu🤣Haya wataalamu wa kutambua id mpya niambieni mimi nani
Mnakuwa mnapigiana simu na baba mchungaji ili upate baraka? Hahahaha maniner!!Uzuri siko pekeangu victims hapa wapo wengi i just dare to talk, we acha tu kuutafuta wokovu si mchezo!
Yaani tuwe makini tu.Aisee ni noma! Tuchagueni watu kwa umakini wa hali ya juu😅
Usinambie we ndio psl god😂🤣🤣🤣🤣 Kuna mmoja namwaga dislike
We hujui tu inavyouma🥲😁😁 Mbavu zinavunjika
Ndio hafu mwisho wa vyote ba mchungaji anaomba kyumer🙃Mnakuwa mnapigiana simu na baba mchungaji ili upate baraka? Hahahaha maniner!!