icloud unlock for iphones

icloud unlock for iphones

Jamani jamani jamani, nikiona Haya mambo natetemeka, kwa Mara ya kwanza maishan mwangu nililala sero, niliuziwa iPhone ikiwa icloud locked akasema inatoka mbele{nje) kumbe n ya mbio si wataalam waka i unlock, ile natia lain napiga simu siku hio hio Wale jamaa wa kolomijeee wasinitrack. Kwanza simu nilinunua 850k ikaenda, Sero nililala,TB ya bure nikaipataga mule ndani, M6 ikanitoka mana jamaa akadai kaibiwa na M6 japo ile mpaka polisi waliniambia hii M6 unaliwa ila hakukua na jinsi na mwisho akadai 500k ya usumbufu, kwa ufupi nilikula loss ya kama M8 iv . Yan asaiv naogopa hata USB sinunui kwa mtu. Mpk Leo nasema kama dhambi zinapangwa kubwa kwenda ndogo Natamani akishatoka muuaji ya pili iwe ya mwizi na tapeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani jamani jamani, nikiona Haya mambo natetemeka, kwa Mara ya kwanza maishan mwangu nililala sero, niliuziwa iPhone ikiwa icloud locked akasema inatoka mbele{nje) kumbe n ya mbio, ikafunguliwa, Wale jamaa wa kolomijeee wasinitrack. Sero nililala na M6 ikanitoka mana jamaa akadai kaibiwa na M6. Yan asaiv hata naogopa hata USB sinunui kwa mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole
 
Na kwa taarifa yako, mambo yote yanayohusu IT hayana 100% security. watu wanaiba pesa kwenye ATM machine. wanaingilia system ya uchaguzi marekani na hata juzi kenya? Sembuse mtu kafunga simu yake kwa kutumia email account na password watu washindwe kuifungua? for your information. icloud ni locking system inayofanywa na user kwa mwenyewe kuingiza any email account na password. akimuuzia mtu simu au akiipoteza bila owner kuingia kwa login credentials inakuwa useless. kwa wanaojua IT hapo ndo source code ya tatizo na kuna njia nyingi za kuifungua. nyingine zinakataa nyingine zinakubali

Alafu ni rais ata hao iphone wanafanya biashara so unakuwa unalipa pesa kwao na wanaitazama kama hio cm imeripotiwa kama haijaripotiwa wanaifungua tu na ndio maana kufungua icloud ni khali mnoo inaenda mpka $300 pamoja na ya fundi
 
Acha uongo unadowngrade kama kushusha mchanga kwnye tipa.?? Toka icloud imetoka hakuna alieweza ifungua af wengine mlkikua mnajarib kwa kuchek email ya mtu sasa hv wanaweka kwa mf. *****@gmail.com sasa hapa unakua hujui email ya huyu inaitwaje
Sio hivyo mkuu, nahisi unaweza kunifikiria kirahisi sana, ila mi nacheza sana OS mbali mbali, kwenye iOS nimekuwa nikijailbreak simu nyingi tu, nadowngrade iOS, pia na ku- bypass iCLoud server, ila sio kila ninachofanya nafanikiwa kwa 100%, nimefeli mara nyingi kuliko kufanikiwa na huwa sikati tamaa, na huwa nafanya hivi kwa hobby tu wala sio kama kazi. Natamani siku moja na mimi niwe Geek kama walivyo mageeks wengine duniani unaowasikia ama unawajua
 
Mfano ambao tuko kwenye beta program tunaotumia iOS 11 ikitoka gold master tuna update tena au wanna fix bugs tu
 
Jamani jamani jamani, nikiona Haya mambo natetemeka, kwa Mara ya kwanza maishan mwangu nililala sero, niliuziwa iPhone ikiwa icloud locked akasema inatoka mbele{nje) kumbe n ya mbio, ikafunguliwa, Wale jamaa wa kolomijeee wasinitrack. Sero nililala na M6 ikanitoka mana jamaa akadai kaibiwa na M6. Yan asaiv hata naogopa hata USB sinunui kwa mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Alafu ni rais ata hao iphone wanafanya biashara so unakuwa unalipa pesa kwao na wanaitazama kama hio cm imeripotiwa kama haijaripotiwa wanaifungua tu na ndio maana kufungua icloud ni khali mnoo inaenda mpka $300 pamoja na ya fundi

Hata kama haijaripotiwa find my iphone mnaiwekaje Off baada ya kuifungua au kubadili fingerprint mnawezaje???
 
Hapo sawa. Sasa kiongozi! nimefanikiwa kufungua iphone 6s moja tu kati ya nyingi nilizoletewa. iphone 6 na 7 zinakataa. kuna jamaa hapa bongo wananunua icloud locked iphone kutoka ebay na wanaziuza kama spare na wakikuta mtu hajui icloud wanampiga ndo wananiletea nizifungue. tunaweza kushare experience mzee
iphone 6s unaweza email wala password hazkumbukwi
 
Mkuu hizi service ndio unakuja kutuaminisha kuwa eti umetoa icloud lock 😀 😀 ebana mtawapata wasiojua iphone.

Kabisa hapo umeonesha kuwa kuwa service ulotumia ni ya kuchek info za icloud by imei 😀.... hujatoa lock hapo bado 😀 😀
rafiki yangu hapo sikutumia imei no kuna inshu inaitwa UDID kama unajua basi usingeweza hata koment sema nini believe what you believe
 
Mkuu unajua what you are talking about lakini? Utafanya vipi social engineering kwa email ambayo huijui kabisa? Ingekuwa laini saivi zingekuwa zinatolewa tu. Kuna services wanatoa icloud lakini sio simu ambazo zipo blacklisted. but not you my friend
like i said believe what you believe sasa kama unapata info za iPhone maana yake kila kitu kinakuwepo wewe unakuja sema eti email utapata wap tumia kidogo akili kufikiria na sio mdomo kuongea
 
Kama icloud email inakuja *******@gmail.com hyo icloud unaitoaje acha gahawa we baba kawashike wengine kwa njaa mlizonazo wabongo ungekua na goli kkoo unapiga pesa mana hzo sim za icloud zimejaa haswa kkoo kama uko dsm sema nikupeleke mahala ukazitoe me usinipe hata 100 gari angu chakula malazi kwangu tuwaambie dunia kua huku icloud tunatoa so nyie wakina Yves na tim cook n wapumbavu na Icloud yenu ..
 
The mind is everything. What you think you become jaribu kufikiria namna inavyoweza fanyika.
kitu ambacho nimejifunza kutoka kwako unaamini kupita kiasi badilisha mfumo. asante
 
Kama icloud email inakuja *******@gmail.com hyo icloud unaitoaje acha gahawa we baba kawashike wengine kwa njaa mlizonazo wabongo ungekua na goli kkoo unapiga pesa mana hzo sim za icloud zimejaa haswa kkoo kama uko dsm sema nikupeleke mahala ukazitoe me usinipe hata 100 gari angu chakula malazi kwangu tuwaambie dunia kua huku icloud tunatoa so nyie wakina Yves na tim cook n wapumbavu na Icloud yenu ..
sina njaa nijinsi tu unavyofikiria
 
Jamaa unashika watu masikio humu, icloud hakuna anayeweza kuzitoa tofauti na iPhone wenyewe.

Wewe na kimeza chako unakiweka barazani kwenye frem ya mtu kwa kuomba, unajifanya unaweza kuondoa icloud

Yaani watu kama nyie mnajifanya mnajua mambo sana kumbe kichwani kweupe kabisa.

FBI, CIA wameomba poo, alafu wewe kinikia uweze?

Tutolee uongo wako hapa

nimeipenda hii
 
Jamani jamani jamani, nikiona Haya mambo natetemeka, kwa Mara ya kwanza maishan mwangu nililala sero, niliuziwa iPhone ikiwa icloud locked akasema inatoka mbele{nje) kumbe n ya mbio, ikafunguliwa, Wale jamaa wa kolomijeee wasinitrack. Sero nililala na M6 ikanitoka mana jamaa akadai kaibiwa na M6. Yan asaiv hata naogopa hata USB sinunui kwa mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Similar Discussions

Back
Top Bottom