icloud unlock for iphones

icloud unlock for iphones

mimi nna 6s soon inatoka ila kupitia iphone wenyew kwa malipo yao
 
Apple iphone x eeeh hapa sasa nimewakubali mbaya ila bei yake sasa inaanzia $999
 
We ambae unasubiri noah ya makinikia ushawaitengeneza hata Kijiti cha kuchomea mishkak.
Ndugu naamini ni msomi Na mstaarabu. Si kila mtu apitaye humu ni shambenga au shabiki. Jaribu kutofautisha aina ya watu wa kujibishana nao Na aina ya matamshi ya kutumia.

Naamini wewe umewahi ponda vingi tu ambavyo huna uwezo wa kutengeneza. Mimi kutoweza hata tengeneza toothpick hakunifungi kutoa kasoro kwa vilivyokosa ubunifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani boss shikamoo kwanza yaishe samahani Baba angu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom