Atlast nimempata
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 585
- 1,164
- Thread starter
- #21
Kweli wewe Tindikali. Mbona hoja hapa ya kawaida tu? Unaongea hadi povu linakutoka? kama huna iphone si useme? acha wenye issue zao waongee kwa hojaUnaanza kuongelea malipo wakati umesema huwezi kuzifungua, halafu unawaita watu chemba ukawapige, acha utapeli wa kishenzi wewe....
kamba tupu, CIA hawawezi kuondoa iCLOUD hata ya iPhone 4. We mchawi wa Kisarawe unaziondoa unaanzia wapi? Dauche bag!