Landcruiser
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,803
- 596
Unatangaza biashara tu isiowezekana..
Kwa iphone 7 port zimebadilika ni 9999Dear wana jamii forums. Zaidi ya miaka mitatu hivi nilikuwa naondoa lock za icloud kwa asilimia zaidi ya 70%. Yaani ukiniletea simu 10 zenye icloud, 7 nilikuwa naweza kuzifungua. Lakini kuanzia mwezi wa 7 mwaka huu 2017, especially simu mpya kama iphone 6s plus na 7 zimekuwa ngumu sana kuzifungua. Je! kuna yeyote hapa tunaweza kushirikiana ujuzi na uzoefu wa jinsi ya kuzifungua? Trust me. Hii ni biashara nzuri sana kwasababu ni kilio duniani ukiweza kufanikiwa kufungua angalau mbili kwa siku you will never be the same. Njoo tuzungumze
Jamaa unashika watu masikio humu, icloud hakuna anayeweza kuzitoa tofauti na iPhone wenyewe.
Wewe na kimeza chako unakiweka barazani kwenye frem ya mtu kwa kuomba, unajifanya unaweza kuondoa icloud
Yaani watu kama nyie mnajifanya mnajua mambo sana kumbe kichwani kweupe kabisa.
FBI, CIA wameomba poo, alafu wewe kinikia uweze?
Tutolee uongo wako hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
The mind is everything. What you think you become jaribu kufikiria namna inavyoweza fanyika.
kitu ambacho nimejifunza kutoka kwako unaamini kupita kiasi badilisha mfumo. asante
sina njaa nijinsi tu unavyofikiria
I am talking from experience. Nimenunu a iphone 6s icloud lock for experimental reasons. Nimeika ndani saiv. FYI the phone was reported lost/stolen and was erased. The same service kama hio ulotumia wewe mimi nimetumia pia. Hakuna email ilokuwa linked na hio device. Kwaio huna la kunidanganya mkuu. I know the tricks used to make people believe they are removing icloud. The only way you can remove icloud apart from given the password from the original owner ni hardware change tu, which is very complicated.like i said believe what you believe sasa kama unapata info za iPhone maana yake kila kitu kinakuwepo wewe unakuja sema eti email utapata wap tumia kidogo akili kufikiria na sio mdomo kuongea
Mkuu hio UDID nafikiri hao developers wenyewe wanaijua zaidi kuliko wewe.rafiki yangu hapo sikutumia imei no kuna inshu inaitwa UDID kama unajua basi usingeweza hata koment sema nini believe what you believe
Na siku wakiweza hii kitu sinunui tenaMkuu hio UDID nafikiri hao developers wenyewe wanaijua zaidi kuliko wewe.
Just to show you that i have been using izo services nakuekea screenshot.
Lazima ujue kama hii ishu ya kuondoa icloud watu wanaifanyia kazi kwa udi na uvumba, wanaishia bypassing tu.
Usidanganye watu
Fbi hawajawahi kuomba poo icloud,kilichokuwa kinatakiwa ni data za mmiliki wa simu,wakaomba apple wakanyimwa,wakazama chimbo iphone ikafunguka. apple wakataka kujua jamaa wamefunguaje nao wakakaza kusema walifanyaje.Jamaa unashika watu masikio humu, icloud hakuna anayeweza kuzitoa tofauti na iPhone wenyewe.
Wewe na kimeza chako unakiweka barazani kwenye frem ya mtu kwa kuomba, unajifanya unaweza kuondoa icloud
Yaani watu kama nyie mnajifanya mnajua mambo sana kumbe kichwani kweupe kabisa.
FBI, CIA wameomba poo, alafu wewe kinikia uweze?
Tutolee uongo wako hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntagunduaje iphone ina icloud wakati nanunua iwe dukani au kwa mtu kitu cha kukiangaliaFbi hawajawahi kuomba poo icloud,kilichokuwa kinatakiwa ni data za mmiliki wa simu,wakaomba apple wakanyimwa,wakazama chimbo iphone ikafunguka. apple wakataka kujua jamaa wamefunguaje nao wakakaza kusema walifanyaje.
So hata mimi leo nikitangaza natoa icloud lock jamaa wataniliwatanilipa,niwape ujanja waufix faster.
Mkuu hio UDID nafikiri hao developers wenyewe wanaijua zaidi kuliko wewe.
Just to show you that i have been using izo services nakuekea screenshot.
Lazima ujue kama hii ishu ya kuondoa icloud watu wanaifanyia kazi kwa udi na uvumba, wanaishia bypassing tu.
Usidanganye watu
Fbi hawajawahi kuomba poo icloud,kilichokuwa kinatakiwa ni data za mmiliki wa simu,wakaomba apple wakanyimwa,wakazama chimbo iphone ikafunguka. apple wakataka kujua jamaa wamefunguaje nao wakakaza kusema walifanyaje.
So hata mimi leo nikitangaza natoa icloud lock jamaa wataniliwatanilipa,niwape ujanja waufix faster.
Hakikisha unaiwasha,usiweke line.Ntagunduaje iphone ina icloud wakati nanunua iwe dukani au kwa mtu kitu cha kukiangalia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada una busara cjapata ona. Napenda unavojibu hizo negativity za watu juu yako. Angekuwa mwingine hapo naye povu lingeanza kumtoka na kurudisha mijitusi ya maanaSawa kiongozi "poor country poor mind" sasa niende kuhack NASA ili iweje? ntapata nini? lakini kwa iphone kwavile wengi tunazitumia na wengi wanapata shida kwanini nisitake my chances to solve them huku nikijipatia kipato? Hiyo imekaaje?
bei gan wa unlockDear wana jamii forums. Zaidi ya miaka mitatu hivi nilikuwa naondoa lock za icloud kwa asilimia zaidi ya 70%. Yaani ukiniletea simu 10 zenye icloud, 7 nilikuwa naweza kuzifungua. Lakini kuanzia mwezi wa 7 mwaka huu 2017, especially simu mpya kama iphone 6s plus na 7 zimekuwa ngumu sana kuzifungua. Je! kuna yeyote hapa tunaweza kushirikiana ujuzi na uzoefu wa jinsi ya kuzifungua? Trust me. Hii ni biashara nzuri sana kwasababu ni kilio duniani ukiweza kufanikiwa kufungua angalau mbili kwa siku you will never be the same. Njoo tuzungumze
nayo iphone 6 sasa tunaeza fanya kaziInawezekana sana mkuu. Simu ngumu ni 6 na 7 ambazo mpaka sasa nimeletewa 3 zinanitessa kuzifungua. kuhusu bei ni maelewano njooo whatsapp 0762516246
mimi nilishawaambia wakanibishia!!!!!!!!!!
Cjaelewa wakati inawaka tu inaandika hivyo auHakikisha unaiwasha,usiweke line.
Welcome logo then baada ya hapo,maandishi activate iphone.
Apple id.........
Password..........
Ujue imefungwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hapo ndio imewaka,inaomba hivyo ifungue home screen & so.