icloud unlock for iphones

Icloud haijawah kuwaacha watu salama....wenye mijikopo ya iphone na ipad tumieni tu bypass ili muingie hata jamii forums mpunguze machungu

Dis bypass..washa kaji wireless kutoka simu ingine au router kisha we nenda kwenye wireless setting set dns kwa kuweka 104.155.28.90 rudi nyuma weka password za wireless yako tumia..Instagram, Facebook, YouTube, Google na hata kuingia humu jukwaani kuliko kukaa na likopo.

Hapo unakua umejifurahisha ujafungua nikimanisha huwezi kupiga sim na hata ukiweza toa activation lock inakua ipod
 
Wazoefu wa iphone naomba msaada. Kuna Iphone 4s ina mfuniko wa nyuma umevunjikavunjika. Simu hii ukiiwasha ina search network hadi chaji inaisha (haisomi mtandao) pia hii iphone 4s ina sehemu ya kuweka memory card. Je hii simu ni orijino? Je mfuniko wa nyuma una uhusiano na network?
 
Hiyo siyo yenyewe bro.
 
Dear wana jamii forums. Zaidi ya miaka mitatu hivi nilikuwa naondoa lock za icloud kwa asilimia zaidi ya 70%. Yaani ukiniletea simu 10 zenye icloud, 7 nilikuwa naweza kuzifungua. Lakini kuanzia mwezi wa 7 mwaka huu 2017, especially simu mpya kama iphone 6s plus na 7 zimekuwa ngumu sana kuzifungua. Je! kuna yeyote hapa tunaweza kushirikiana ujuzi na uzoefu wa jinsi ya kuzifungua? Trust me. Hii ni biashara nzuri sana kwasababu ni kilio duniani ukiweza kufanikiwa kufungua angalau mbili kwa siku you will never be the same. Njoo tuzungumze

Miezi kama 8 hivi kuna jamaa humu alinitolea icloud kwenye ipad mini yangu. Mimi nipo nje ya nchi na jamaa yupo Dar. Tulikubaliana ataondoa icloud lock kwa kumpa serial no iliyopo nyuma ya ipad. Sikumlipa pesa yake mpaka nilipohakikisha ipad ipo unlocked na hadi muda huu bado naitumia.
 
Lazma kuna details kama email ako ulimpa au email iliokua locked kwa icloud na useme ilkua na iOs gan.?
 
Sikumpa details zangu zozote apart from ile serial no iliyopo nyuma ya ipad. Ipad nilinunua sunday market na owner ali report lost mara tu baada ya kuunganisha na wifi. Ilikuwa ios 9 ambapo ni ya mwisho huwezi ku update zaidi ya hapo kwa hizi ipad mini first generation. Ila sina hakika kama unaweza kufungua iPhone yoyote yenye icloud.
 
Miezi kama 8 hivi kuna jamaa humu alinitolea icloud kwenye ipad mini yangu. Mimi nipo nje ya nchi na jamaa yupo Dar. Tulikubaliana ataondoa icloud lock kwa kumpa serial no iliyopo nyuma ya ipad. Sikumlipa pesa yake mpaka nilipohakikisha ipad ipo unlocked na hadi muda huu bado naitumia.
Watu ni ubishi tu! Icloud inaondolewa vizuri sana!
 
Mkuu umerudi! Mm naomba unijibu tu swali moja umewezaje ku"unlock" iphone 6s na ukashindwa iphone 6.
Hilo tu mkuu naomba unijibu.
Zote nazifungua! Sometimes nyingine zinachukua muda mfupi nyingine nashindwa naiweka pembeni naendelea na nyingine alafu nairudia mpaka inakubali
 
Lakini katika maelezo yako ya mwanzo umesema iphone 6 na 7 zimekushinda ila umeweza iphone 6s! Sasa nikashangaa inawezekaneje ku"unlock" iphone 6s na iphone 6 ikushinde ili hali 6s ni bora zaidi kuliko 6?!
 
Sikumpa details zangu zozote apart from ile serial no iliyopo nyuma ya ipad. Ipad nilinunua sunday market na owner ali report lost mara tu baada ya kuunganisha na wifi. Ilikuwa ios 9 ambapo ni ya mwisho huwezi ku update zaidi ya hapo kwa hizi ipad mini first generation. Ila sina hakika kama unaweza kufungua iPhone yoyote yenye icloud.
Bro naomba adreess yake nna simu nimesahau details zake please.
 
Mkuu msaada apa
Icloud haijawah kuwaacha watu salama....wenye mijikopo ya iphone na ipad tumieni tu bypass ili muingie hata jamii forums mpunguze machungu

Dis bypass..washa kaji wireless kutoka simu ingine au router kisha we nenda kwenye wireless setting set dns kwa kuweka 104.155.28.90 rudi nyuma weka password za wireless yako tumia..Instagram, Facebook, YouTube, Google na hata kuingia humu jukwaani kuliko kukaa na likopo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom