Apple kwenye IOS 16 Kuna maajabu gani?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Mtu yeyote mwenye iphone mfukoni muda sio mrefu mtafurahia sana huduma mpya ya iOS16 itaposhuka baadaye mwaka huu.

Kupitia mikutano wanayofanya kila mwaka ya World wide developer conference (WWDC) wametuletea vitu vingi vya kushangaza kwenye vifaa vyao.

Leo nakujuza feature mpya kwenye iOS 16

New lock screen

Mfumo mpya kwenye lock screen kupitia iOS ya 16 utaweza kuona jinsi ulivyo wa kipekee utaweza kubadilisha fonts pamoja na color kwenye date na time , kuweka widget unazopenda kwa mara ya kwanza, notification utapata kwa chini kupitia lock screen.

Ivyo utaweza kuchagua themes,wallpaper font pamoja na color kuendana na jinsi mtumiaji anavyotaka.

Smoother message management
Mfumo mpya kwenye upande wa kutuma message utaweza kuzuia kwa haraka kutuma ujumbe huliokosewa na kuweza kuediti ujumbe wako au unataka kuongeza jambo bila kukopi unabonyeza tu kwenye message una editi nk.

Fuss-free family sharing
Utaweza kuwazuia watoto kufanya mambo mbalimbali kupitia vifaa vyao vya IOS najua watumiaji wengi wa iOS walikua wanasubiria sana hii feature utaweza kuchagua ni aina gani ya vizuizi vya kumuwekea mtoto wako ili kujua tabia zake kuanzia kwenye apps, Books , Tv show , movies nk

Utaweza mpaka kuweka screen limit unampa muda wa kioo Cha simu , tablet au laptop yake kiwake pia hata kumuongezea dakika kama kwenye mpira uwanjani.

Photo sharing
Kwa watumiaji wa iOS 16 kushare picha mlizopiga na familia , marafiki ni rahisi sana kuliko IOS zingine zilizowahi kutokea kwani badala ya kutuma picha individual kupitia icloud shared photo library.

Utakua na uwezo wa kuwatumia watu wote kwa pamoja na hivyo wao watakua na machaguo Yao kama kuediti kuchukua au kufuta vitu wanavyotaka.

CarPlay will take over your car

Kupitia carplay utaweza kuona vitu vingi sana kukupa maelezo muhimu kuhusu speed , engine revs, akiba ya mafuta (ikiwa unaendesha gari linatumiq mfumo wa gesi au makadirio ya masafa Utaweza kupiga simu au kupokea, kupata message , kusikiliza kitu nk.

Wale wanangu wa iOS 16 iPhone 6S, iPhone 6S Plus, iPhone 7, iPhone 7 Plus and the first generation iPhone SE hamtapata hii feature kwa kweli muwasamehe tu Apple .

#apple #bongotech255


ios-16-update.jpg
 
umesahau swala muhimu.

simu zitakazopokea ios 16 ni iphone 8 kwenda juu.

ila kwa mtizamo wangu iphone 7+ bado ilikuwa simu inayostahili update kuliko hata 8
 
umesahau swala muhimu.

simu zitakazopokea ios 16 ni iphone 8 kwenda juu.

ila kwa mtizamo wangu iphone 7+ bado ilikuwa simu inayostahili update kuliko hata 8

I concur with you.... some times i can not differentiate btn ipho 5s with iphone 8! To me phone7 still fovourite and deserve update than 8
 
ni umasikini pia kudhani kumiliki simu latest ni kuwa njema kiuchumi.

Anthony Mackie yule Actor Wa Movie “Outside The wire” na hii Captain America Winter soldier

anatumia iphone 6 kwahiyo haya mambo ni machaguo tu japo kwa baadhi ya watu na sio watu wote
 
I concur with you.... some times i can not differentiate btn ipho 5s with iphone 8! To me phone7 still fovourite and deserve update than 8
Chip ya iPhone 8 huwezi kulinganisha na chip ya iPhone 7, kumbuka iPhone 8 inatumia chip ambayo iPhone X inatumia
 
😂😂😂😂😂😂😂iphone 7 znashuka tena bei
Masela tuwah ndo mida yetu
Ois 15 bado dili tu mbn
 
iOS 16 mabadiliko yake makubwa sasa hivi wanethubutu zaidi naona wanawatishia Android
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom