Yaani achilia mbali zile zenye ***** kuna nyengine hata email haiji kabisa, hizo service anazotambia ni za kucheck icloud info na status unaweza kupata hio huduma iphoneunlock.zone eti anakuja kutudanganya anatoa lock kwa kulipia kupata izo info.Well said
Katika youtube kuna majamaa wanajidai eti wanatoa icloud tena wanaonesha simu, kumbe simu zao wenyewe wanazilock, kisha wanazi unlock na kuaminisha watu inawezekana.....


