icloud unlock for iphones

icloud unlock for iphones

Zinafunguliwa labda kama unaamua kubisha. njia inayotumika ni cracking, bypass, hacking, and social engineering. Kama unaelewa hizi lugha utakubaliana na mimi. Ila ni probability ambayo mpaka sasa nasema ni 70%. kama unayo yenye icloud tuwasiliane

labda kwa social engineering, na kw ku hack...lakini kwa ku crack ni ngumu au ku baypass.
labda kama utueleze through cracking ume develop kitu gani ambacho kitatoa lile neno udhi
 
Kawaida apple wako smart sana na new release ya iOS zao. kabla ya ku-upgrade new firmware, inachunguza device yako kama inaweza kubeba hiyo new release iOS. kama inaweza itakuambia upgrade. kama haiwezi inakuambia. kwahiyo itategemea how addicted with iphone na mfuko wako ukoje ununue mpya au uendelee na hiyo uliyonayo. By the way iphone zote zinafanya vizuri mpaka sasa watu wanatumia iphone 4 sembuse wewe mwenye iphone6? Kiongozi huko juu!

Suala ni kwamba ios 11 ijatoka bado na itakubali kwa iphone 5s na kuendelea.
 
Mi nilifanikiwa mbili lakini the rest niligonga mwamba, hasa hivi ambazo zina iOS 10.3.3 ni ngumu sana maana hazikubali kudowngrade kwenda version za chini, ila ukibahatika ambayo ilikuwa na version 10.0 kushuka chini angalau sio ngumu kutoa

Acha uongo unadowngrade kama kushusha mchanga kwnye tipa.?? Toka icloud imetoka hakuna alieweza ifungua af wengine mlkikua mnajarib kwa kuchek email ya mtu sasa hv wanaweka kwa mf. *****@gmail.com sasa hapa unakua hujui email ya huyu inaitwaje
 
Look! iphone nyingi kwa uzoefu kuanzia iphone 5s downward zinafunguka. nyingi zitazingua lakini ukikomaa na ukawa na muda wa kucheza nazo zinafunguka. trsust me!

Acha uongo utakua ulikua unafungua za ma anti zako labda zile crone iphone sio cupertino
 
Kwa sisi tunaocheza na cracking, patching, reparking na SEO tunaamin hakuna linaloshindikana chin ya jua... Kama inawezekana kujailbreak iphone 7 kwann ishindikane kutoa icloud?... Ni vile tu haya mambo yanahitaj utundu mwingi

Ndo mana Tim cook aliwaachia mjailbreak ila sio kutoa icloud kujailbreak ni kama kunywa bia na bae tu hata mie naweza fanya ule ujinga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom