icloud unlock for iphones

Atlast nimempata

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
282
455
Dear wana Jamii Forums,

Zaidi ya miaka mitatu hivi nilikuwa naondoa Lock za iCloud kwa asilimia zaidi ya 70%. Yaani ukiniletea simu 10 zenye iCloud basi 7 kati ya hizo nilikuwa naweza kuzifungua.

Lakini kuanzia mwezi wa 7 mwaka huu (2017), especially simu mpya kama iPhone 6s plus na 7 zimekuwa ngumu sana kuzifungua.

Je! kuna yeyote hapa tunaweza kushirikiana ujuzi na uzoefu wa jinsi ya kuzifungua?

Trust me, hii ni biashara nzuri sana kwasababu ni kilio Duniani ukiweza kufanikiwa kufungua angalau mbili kwa siku you will never be the same.

Njoo tuzungumze
 
Pamoja na security watu tumeendelea kuzifungua. Unajua kuna watu wengi sana wameuziwa simu kwa bei kubwa wanakuja kushtuka hawawezi kuzitumia. hapa Dar wapo kibao!
Mkuu inawezekanaje??? 5s kwa mfano sh ngapi

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Inawezekana sana mkuu. Simu ngumu ni 6 na 7 ambazo mpaka sasa nimeletewa 3 zinanitessa kuzifungua. kuhusu bei ni maelewano njooo whatsapp 0762516246
poapoa ngoja nitakutafuta

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
We Jamaa bora niwe Tomaso tu ..hadi sasa FBI wenyewe wameshindwa chomoa icloud labda kama unaongelea screen lock...sio vizuri kudanganya watu wazima

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna simu zinakubari chomoka aisee hata mimi nimeshuhudia sema sometimes inakuwa temporary uki update au ireset tu inajirudia kama awali
 
We Jamaa bora niwe Tomaso tu ..hadi sasa FBI wenyewe wameshindwa chomoa icloud labda kama unaongelea screen lock...sio vizuri kudanganya watu wazima

Sent using Jamii Forums mobile app
Zinafunguliwa labda kama unaamua kubisha. njia inayotumika ni cracking, bypass, hacking, and social engineering. Kama unaelewa hizi lugha utakubaliana na mimi. Ila ni probability ambayo mpaka sasa nasema ni 70%. kama unayo yenye icloud tuwasiliane
 
Kuna simu zinakubari chomoka aisee hata mimi nimeshuhudia sema sometimes inakuwa temporary uki update au ireset tu inajirudia kama awali
Nikiifungua inakuwa permanent. naondoa lock zote nikitumia hiyo simu ambayo inanipa rights na permission zote kusett upya simu kama mpya
 
Icloud haijawah kuwaacha watu salama....wenye mijikopo ya iphone na ipad tumieni tu bypass ili muingie hata jamii forums mpunguze machungu

Dis bypass..washa kaji wireless kutoka simu ingine au router kisha we nenda kwenye wireless setting set dns kwa kuweka 104.155.28.90 rudi nyuma weka password za wireless yako tumia..Instagram, Facebook, YouTube, Google na hata kuingia humu jukwaani kuliko kukaa na likopo.
 
Inawezekana sana mkuu. Simu ngumu ni 6 na 7 ambazo mpaka sasa nimeletewa 3 zinanitessa kuzifungua. kuhusu bei ni maelewano njooo whatsapp 0762516246

Unaanza kuongelea malipo wakati umesema huwezi kuzifungua, halafu unawaita watu chemba ukawapige, acha utapeli bana wee...

FBI wenyewe hawawezi kuondoa iCLOUD hata ya iPhone 4. We mchawi wa Kisarawe unaziondoa unaanzia wapi? Dauche bag!
 
We Jamaa bora niwe Tomaso tu ..hadi sasa FBI wenyewe wameshindwa chomoa icloud labda kama unaongelea screen lock...sio vizuri kudanganya watu wazima

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu kiongozi cmoney!
Nimeleta issue hii hapa kupata labda kama kuna wengine wanafanya icloud unlocking tushirikiane uzoefu. sikuja hapa kudanganya watu. mimi mwenyewe mtu mzima
 
Unaanza kuongelea malipo wakati umesema huwezi kuzifungua, halafu unawaita watu chemba ukawapige, acha utapeli wa kishenzi wewe....

kamba tupu, CIA hawawezi kuondoa iCLOUD hata ya iPhone 4. We mchawi wa Kisarawe unaziondoa unaanzia wapi? Dauche bag!
Lugha kali sana kiongozi!
 
Unaanza kuongelea malipo wakati umesema huwezi kuzifungua, halafu unawaita watu chemba ukawapige, acha utapeli wa kishenzi wewe....

kamba tupu, CIA hawawezi kuondoa iCLOUD hata ya iPhone 4. We mchawi wa Kisarawe unaziondoa unaanzia wapi? Dauche bag!
Mkuu iphone zenye processor za 32 zinakuwa bypassed kimbembe kiko kwenye 64 processors ambazo zinarun over ios 9
 
Back
Top Bottom