icloud unlock for iphones

icloud unlock for iphones

Dear wana jamii forums. Zaidi ya miaka mitatu hivi nilikuwa naondoa lock za icloud kwa asilimia zaidi ya 70%. Yaani ukiniletea simu 10 zenye icloud, 7 nilikuwa naweza kuzifungua. Lakini kuanzia mwezi wa 7 mwaka huu 2017, especially simu mpya kama iphone 6s plus na 7 zimekuwa ngumu sana kuzifungua. Je! kuna yeyote hapa tunaweza kushirikiana ujuzi na uzoefu wa jinsi ya kuzifungua? Trust me. Hii ni biashara nzuri sana kwasababu ni kilio duniani ukiweza kufanikiwa kufungua angalau mbili kwa siku you will never be the same. Njoo tuzungumze

Natumia iPhone 6 iOS 11 nakula raha tu
 
Icloud haijawah kuwaacha watu salama....wenye mijikopo ya iphone na ipad tumieni tu bypass ili muingie hata jamii forums mpunguze machungu

Dis bypass..washa kaji wireless kutoka simu ingine au router kisha we nenda kwenye wireless setting set dns kwa kuweka 104.155.28.90 rudi nyuma weka password za wireless yako tumia..Instagram, Facebook, YouTube, Google na hata kuingia humu jukwaani kuliko kukaa na likopo.
Kumbe zinakuwaga makopo ndio Nimejua Leo. Android wakopoa sana. Haya makitu hayapo Kule
 
Na kwa taarifa yako, mambo yote yanayohusu IT hayana 100% security. watu wanaiba pesa kwenye ATM machine. wanaingilia system ya uchaguzi marekani na hata juzi kenya? Sembuse mtu kafunga simu yake kwa kutumia email account na password watu washindwe kuifungua? for your information. icloud ni locking system inayofanywa na user kwa mwenyewe kuingiza any email account na password. akimuuzia mtu simu au akiipoteza bila owner kuingia kwa login credentials inakuwa useless. kwa wanaojua IT hapo ndo source code ya tatizo na kuna njia nyingi za kuifungua. nyingine zinakataa nyingine zinakubali
kweli na mm kuna jamaa alinunua iphone 5 akaangaika sana ikashindikana kuna mpakistani akasema yeye anafunguaga mi nikamwambia hizo simu wameshindwa FBI itakuwa yeye katoka kashmir huko....kwa sababu alikuwa jamaa yangu akamwambia ampe akiwa free atamfungulia within a week jamaa akairudisha simu kaifungua....simu zinafunguka ila haina guarantee kama samsung yaani ni lazima ifunguke
FBI hawakushindwa kufungua simu..bali walitaka data na vitu vilivyomo kwenye simu visipotee,,,nadhani wengi wanaofungua data nyingi zinapotea
 
tena ikiwa iko report stolen au lost inakuwa nirashi sana kumdanganya unaetaka kufanya social engineering kwake yaani kama unapiga maji vile laini icloud inatoka sio kila mwajiliwa wa apple ni mtiifu na kazi yake kivipi mtu anapata info za iPhone. hapo ndio utajua kuwa kutoa icloud ni possible.
Mkuu unajua what you are talking about lakini? Utafanya vipi social engineering kwa email ambayo huijui kabisa? Ingekuwa laini saivi zingekuwa zinatolewa tu. Kuna services wanatoa icloud lakini sio simu ambazo zipo blacklisted. but not you my friend
 
Well said
 
kweli na mm kuna jamaa alinunua iphone 5 akaangaika sana ikashindikana kuna mpakistani akasema yeye anafunguaga mi nikamwambia hizo simu wameshindwa FBI itakuwa yeye katoka kashmir huko....kwa sababu alikuwa jamaa yangu akamwambia ampe akiwa free atamfungulia within a week jamaa akairudisha simu kaifungua....simu zinafunguka ila haina guarantee kama samsung yaani ni lazima ifunguke
FBI hawakushindwa kufungua simu..bali walitaka data na vitu vilivyomo kwenye simu visipotee,,,nadhani wengi wanaofungua data nyingi zinapotea

Hata uwe unataka data au hutaki hiyo kitu haipo haiwezekani
 
rafiki yangu hapa siongelei mipesa au kuwa nini

Your unlock code has been successfully calculated.

=================================
IMEI : 013846007573695
Unlock code : 013846007573695 85602a22e9e526b3f29594b05b3988cf34f49603 Pod Last Name DSID Email Address City/State/Zip Country View DS account for Nikolina Racunica View account for Nikolina Racunica Nikolina 1492052167 nracunica@hotmail.com vancouver, British Columbia V6B 1K3 CAN nracunica@hotmail.com604-3234195
Orders details
Service Name : Check iPhone/iPad iCloud iD Info By Imei +UDID ( Name + Mail + Phone) [Warranty 3 Days]
Credit : 11
UDID : 85602A22E9E526B3F29594B05B3988CF34F49603
i hope ipo siku utaelewa kama hakuna kitu inashindikana hapa dunian huyo alikuwa victim wangu na nilishafungua simu yake kwahiyo tuliza akili yako kwa vitu ambvyo kwko ni impossible tuache tunao geuza impossible kuwa im' possible
Mkuu hizi service ndio unakuja kutuaminisha kuwa eti umetoa icloud lock 😀 😀 ebana mtawapata wasiojua iphone.

Kabisa hapo umeonesha kuwa kuwa service ulotumia ni ya kuchek info za icloud by imei 😀.... hujatoa lock hapo bado 😀 😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom