Mtanzania,
Lugha ya Kiswahili ni lugha inayojitegemea na maneno waliyoyasema kwenye Kiswahili yanajitosheleza. Lakini hebu tuangalie hiyo tafsiri yako ya Kiingereza na tuone kuwa walichokisema ndicho kilicho karibu zaidi katika Kiswahili katika hiyo tafsiri yako ya Kiingereza kwani mikutano ya CCM haiendweshwi kwa kiingereza na ninaweza kuona kuwa kwa kutumia katiba ya CCM ya kiingereza umeshindwa kuona uzito wa kipengele hicho.
Now let switch the language for a minute for it seems some of these concepts are well understood in English.
Obligations of Members:
15. Every member shall have the following
obligations:-
(1) To know that Chama cha Mapinduzi has
strength and capability which stem from the
unity of its members, CCM's correct
ideological line and its acceptability by the
masses.
So, to "know" that CCM has strength and capability, CCM's correct ideologojical line, and acceptability by the masses is paramount. Thus,
Therefore to defend and enhance
these qualities is the foremost obligation of
every member.
So, to defend this knowledge is the foremost obligation. What does this mean. It simply means if anything were to contradict the assumption i.e "CCM has the strength and capability that stem from the unity of its members, CCM's correct ideological line, and acceptability by the masses" that thing is wrong.
To a CCM member, if anybody were to suggest that CCM has wrong ideological line, if one were to propagate that CCM is not united or is not acceptable by the masses that person is wrong and its a duty and obligation of a CCM member to take that position. What does this really mean in actuality?
It simply means, anything contrary to that knowledge regardless of how true, reasonable or accepted that thing is, the CCM member has always to look at the first obligation, the foremost obligation.
Does that explain why CCM members seem to care more about CCM than anything else? the image of the party than anything else? I'm not the one spinning it is like that two rule of the boss
a. The boss is always right
b. If the boss is wrong look to rule number one
So in this case,
a. CCM is always right
b. If you think CCM is wrong look to a
c. If you suggest to bring any change to the country or society look to a
(2) To serve his or her country and all the
people by discharging his or her
responsibilities without fear, ill-will or favour
for his or her own self, friends or relatives.
The second part is very clear and has no bearing none whatsoever to number one.. this is a duty of every citizen but to a citizen who is a CCM member her/his responsibilty to the country should not contradict the truth acknowledged in Ibara ya 15.1
Q.M
hahaaha ndugu yangu naona umespin kinyumenyume..
a. Tunaishi katika nchi inaitwa Tanzania, na nchi hii ndio lengo, nia, kusudio, la shughuli zote za Mtanzania (no pun intended). Hivyo, maslahi ya chama, taasisi n.k ni katika kuhakikisha ustawi wa nchi hii iitwayo Tanzania na ustawi wa watu wake.
b. Hivyo basi, Polisi anapokula kiapo hali kiapo cha kulinda Jeshi la Polisi ili ailinde Tanzania, au Askari wa JWTZ hali kiapo cha kulinda mipaka ya JWTZ ili aweze kuilinda mipaka ya Tanzania. Polisi na Jeshi siyo lengo la Tanzania.
c. Chama cha siasa ni chombo cha kutekeleza makusudio ya kuitumikia Tanzania na kuistawisha. Unapokigeuza chama kuwa ndiyo lengo na hatima ya shughuli za wanachama unakuwa umepindua wazo zima la "nitaitumikia nchi yangu saa yoyote,siku yoyote, na mahali popote nitakapoamriwa".
d. Jaribu tena kusikiliza maelezo ya Msekwa akizungumza kwenye NEC utaona kuwa maazimio yote yamezunguka CCM na si Tanzania;
e. Kosa kubwa ambalo naamini lipo ni mawazo kuwa CCM na Tanzania ni synonymous, kuwa Ukiitumikia Tanzania unatumikia CCM na ukitumikia Tanzania unatumikia CCM. Mfano; waliochangia CCM mara wamechangia amani Tanzania, aliposhinda Richard kwenye BB, imeshinda Tanzania na CCM.
Hivyo utaona basi, tatizo siyo kuwepo kwa kipengele hicho kwani ni haki ya CCM kuwa nacho, tatizo ni kusema kuwa huo ndio "wajibu wa kwanza" wa mwanaCCM. Je ina maana gani?
Endapo chama cha mapinduzi kinajiandaa na uchaguzi na kinaweza kushindwa na mwana CCM yuko kwenye nafasi serikalini ambayo inaweza ikasaidia kupata fedha za "ziada" na anajua jinsi ya kufanya hivyo, je akisaidie chama chake na kudhuru serikali - Jibu ni ndiyo!
Je, mwana CCM anapoona kuwa tume ya uchaguzi inaboronga na inatishia chama chake kupoteza viti au hata ushindi na yeye ana nafasi ya kufanya mazingaombwe je akisaidie chama chake? - Jibu ni ndiyo!
Je, MwanaCCM anaposikia kuwa kuna watu wamekwama Mererani na yeye ana kikao muhimu Butiama ambacho kinaendelea, je wakatishe na kutoa pole kwa wahanga na kuagiza mara moja waendelee hata kuchelewesha kikao kumalizika je afanye hivyo? Jibu ni hapana, lazima aendelee na kikao na kwenda Mererani Jumatatu jioni baada ya kikao cha NEC..
Je, mwana CCM anapoona kuwa chama cha CUF kinaweza kuingizwa madarakani na hivyo kushirikiana katika kutawala visiwa vya Zanzibar na hivyo kuondoa ujiko wa chama kimoja je akubali kuungana na CUF? Je atumie mbinu za kuchelewesha maamuzi hayo ili asiondolee CCM ukiritimba wake wa kisiasa visiwani hata kama suala hilo linaweza kuzua mgogoro usio wa lazima? jibu ni ndiyo!
kwanini basi mwana CCM aitetee CCM bila kujali matokeo ya utetezi huo kwa Taifa? Jibu ni soma Ibara ya 15.
NB:
Why this thing turns out to be very personal?