Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,762
- 40,985
that the first responsiblity of a CCm member is CCM, then the country comes next. ha ha ha!
Fikra sahihi za CCM.....hivi kwa nini wanapenda sana hii dhana ya 'fikra sahihi'? Hizo 'fikra sahihi' ni fikra gani hizo?
Uuuhuuuu! but wajibu wa pili ni..
Obligations of Members:
15. Every member shall have the following
obligations:-
(1) To know that Chama cha Mapinduzi has
strength and capability which stem from the
unity of its members, CCM's correct
ideological line and its acceptability by the
masses.
Therefore to defend and enhance
these qualities is the foremost obligation of
every member.
(2) To serve his or her country and all the
people by discharging his or her
responsibilities without fear, ill-will or favour
for his or her own self, friends or relatives.
Bora umewakata ngebe hawa maana siku zote nasema CCM ni ya kwanza then Tanzania watu wananiona nasagia mno CCM.Now here we are .Semeni sasa .
Mkuu Lunyungu,
Na wewe usijiangushe bure kujifanya hujui maana sahihi ya hicho kipengere.
Mambo kama haya ndio yanatisha Watanzania wengine. Ukiwa na watu kama akina mwanakijiji serikalini, wanaweza kuwa wabaya kuliko akina Rweyemamu.
kwi kwi kwi Mtanzania,
Kama mwanakijiji ni kama zaidi ya Rweyemamu basi tumekwisha..lol
Yule baba kwa spin zote hizi bado hafui dafu kwa mkjj? BTW, hiyo tafsiri yako ya kiingilishi ni yako au ni ya chama?
Mwafrika wa Kike,
Hii ya Mwanakijiji leo yaani nimecheka kweli kweli. Ninajua Mwanakijiji
anavyojua ku SPIN lakini sikufikiria kafikia kiwango hicho.
Tumwombee ndugu yetu aendelee kuwa mwandishi na kupambana na mafisadi. Akiingia kwenye siasa Mwanakijiji, nakuhakikishia haiwezi kupita miaka miwili, atakuwa kwenye kundi la mafisadi hata kama haibi.
Hiyo tafsiri ni ya CCM wenyewe. Nimeitoa hapa:
[media]http://www.ccmtz.org/Katiba_ya_CCM____ENG_2005_.pdf[/media]
Dada Tina aliituma juzi.