I will miss Jamii Forum

Ruta hata kuombewa/ kuombeana ipo, ingawaje inabid kujiombea mwenyewe zaid.
 
kuna kifaa kinaitwa dongle-2011 FTA Receiver inabidi uende nacho ili kikufariji huko kwenye mfungo.......................lakini kumbuka ya kuwa ...................though the self-imposed religion, the false humility and the neglect of the body like fasting have an appearance of wisdom but always remember that they have no deterrent influence against the indulgences of the flesh.....................colossians 2:23
 
Mkuu that was then 22nd December 2010
This is now 2011
huenda alishaenda na kurudi
 
Ni wakati mwingine wa mwaka Baba_Enock kwenda kwenye RETREAT huko Kabashana... Ni vyema kuacha safari za kwenda kwenye sehemu za starehe anglau kwa mwezi mmoja ndani ya mwaka mmoja na kukaa karibu na wale uwapendao au kuiweka vizuri wale ambao watakuwa wanakupeleka haja endapo "mambo yakiharibika"Panapo majaliwa nikirudi natumaini Mgao wa GIZA utakuwa umemalizika na Ujenzi wa Taifa utaendelea kama kawaida ...Mwenyezi Mungu awabariki sana...See You:A S 103:
wewe ni mtu wa pili ndan ya Jf kuukimbia mgao.safari njema.wasalimie ndugu zetu,sisi tuko nyuma tunakuja.
 
Back
Top Bottom