I will miss Jamii Forum

wakuu,

takribani siku 30 zijazo sitakuwa na access na mitandao ya internet - naenda kwenye "retreat" parokiani kwetu - kabashana

kwa kipindi hicho chote itakuwa ni kufunga na kusali masaa 24.

Mungu awabariki nyinyi wote na familia zenu mmalize salama kipindi hiki cha sikukuu...

Tutawaombea

bon voyage bro
 
Baba Enock na wewe bana unaenda kwa 'retreat' parokiani na bilauri ya beer au ndiyo damu ya yesu madai yenu. Mungu wa rehema na hekima akutangulie na akulinde hata tuonane tena mtandaoni. Noeli Njema na Heri ya Mwaka Mpya.
 
hahahaha lol Rev umeanza uchokozi??

Vipi maandalizi ya siku ya kuzaliwa Bwana Wetu yanaendeleaje???
maana nahisi sasa utakuwa busy sana na mambo ya kanisa ..
au vipi??

Yaani wewe acha kabisa mikrismas tree imapanda bei sana! nimeshauri wanunue tarehe 26 bei itakuwa sawa na bure
 
Yaani wewe acha kabisa mikrismas tree imapanda bei sana! nimeshauri wanunue tarehe 26 bei itakuwa sawa na bure

hahahahahahhaahha lol REv wewe
unajua kunichekesha sina mbavu lol..

sasa hahahhah
we ndo Rev halafu unashauri kanisa lipabwe tarehe 26 na x-mass ni tarehe 25 hivi kweli hii inaendana ..
na zile sadaka waumni wanatoaga ziko wapi hahahahah lol

haki la walakhi umenichekesha sana..lol
 
uzuri huku juu kwetu jf ni 24/7...kila la heri baba-e, st. rr bado nipo nipo sana.
 
have a safe journey baba enock,,,, but dont 4gert meeeeee,,,,,,,,, i will miss you so much,,,,,i feel like to b with you there,,,,,,,,may allah bless you.
 
images
dah......... nice one kwa holiday season
 
Back
Top Bottom