I will miss Jamii Forum

ata hawazi aniwazisha mie hebu nenda kamchek kwenye thred ya malavidavi,,,ye na afrodenzi waekeana miadi wakutane uchi kwenye mbele ya draja,,,kawasome ubaki hoi shost mikono leo iendelee kubaki juu tuu
Pole aisee yani nakuona hapo unawaza na kuwazua polee mwayego
 
ata hawazi aniwazisha mie hebu nenda kamchek kwenye thred ya malavidavi,,,ye na afrodenzi waekeana miadi wakutane uchi kwenye mbele ya draja,,,kawasome ubaki hoi shost mikono leo iendelee kubaki juu tuu

najuta mwana wa mwenzio mie.....
 
ata hawazi aniwazisha mie hebu nenda kamchek kwenye thred ya malavidavi,,,ye na afrodenzi waekeana miadi wakutane uchi kwenye mbele ya draja,,,kawasome ubaki hoi shost mikono leo iendelee kubaki juu tuu

hahaha nilham nawe kumbe una vituko mwe! Umenichekesha asubuhi hii. Baba Eno safar njema
 
Wakuu,

Takribani siku 30 zijazo sitakuwa na access na Mitandao ya Internet - Naenda kwenye "Retreat" Parokiani kwetu - Kabashana

Kwa kipindi hicho chote itakuwa ni kufunga na kusali masaa 24.

Mungu awabariki nyinyi wote na familia zenu mmalize salama kipindi hiki cha sikukuu...

Tutawaombea

safari njema mkuu, wasalimie wote huko kabashana!!!!!!!
 
Maneno yoko hayaendani na avatar yako, ushindwe na ulegee, chukua laptop na modem yako.' u will be online 24/7
 
safari njema,nasi tupo wote ktk sala,je Enock naye ana kwenda? na mama yake?
 
Ndiyo najiaanda na awamu ya pili ya usafiri wa kunifikisaha huko ninakokwenda, nimepata hapa Internet Cafe nikaamua kuchungulia kidogo JF!

Nawashukuruni wote kwa maneno mazuri yanayotia moyo - Mungu ni mwema sana

ezan & WIRELESS samahani kwa kuwa kwaza - avatar!

Bwana awabariki
 
Ni wakati mwingine wa mwaka Baba_Enock kwenda kwenye RETREAT huko Kabashana... Ni vyema kuacha safari za kwenda kwenye sehemu za starehe anglau kwa mwezi mmoja ndani ya mwaka mmoja na kukaa karibu na wale uwapendao au kuiweka vizuri wale ambao watakuwa wanakupeleka haja endapo "mambo yakiharibika"

Panapo majaliwa nikirudi natumaini Mgao wa GIZA utakuwa umemalizika na Ujenzi wa Taifa utaendelea kama kawaida ...

Mwenyezi Mungu awabariki sana...

See You:A S 103:
 
Ahsante Mkuu uende na kurudi salama. Kila la heri na wasalime wote kule Kabashana :)

:A S 103:
 
Wakuu,

Takribani siku 30 zijazo sitakuwa na access na Mitandao ya Internet - Naenda kwenye "Retreat" Parokiani kwetu - Kabashana

Kwa kipindi hicho chote itakuwa ni kufunga na kusali masaa 24.

Mungu awabariki nyinyi wote na familia zenu mmalize salama kipindi hiki cha sikukuu...

Tutawaombea
Asante kwa maombi.mubarikiwe
 
safari njema ndugu!
Katuombee na sisi pia.
Usisahau kumwombea Ngeleja na Jk kwa moyo wako wote!
Mungu akutangulie!
 
Wakuu,

Takribani siku 30 zijazo sitakuwa na access na Mitandao ya Internet - Naenda kwenye "Retreat" Parokiani kwetu - Kabashana

Kwa kipindi hicho chote itakuwa ni kufunga na kusali masaa 24.

Mungu awabariki nyinyi wote na familia zenu mmalize salama kipindi hiki cha sikukuu...

Tutawaombea

baba enock ulibakiza siku 10 tu uwe YESU maana takribani siku 30 za kufunga na kusali 24 hrs/30 days... wow.. kweli roho wa mungu alikuwa pamoja nanyi otherwise mngekufa
 
will miss yah kwa kweli....pry 4 me eeeh....merry xmas and happy new year

pray 4 yourself...........................nobody should or ought to do it 4 u..if you are lazy to pray 4 yourself then you are doomed period...................kaput no way out baby.......................
 
Back
Top Bottom