WAZO2010
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,610
- 3,738
Ni takribani miezi 2 baada ya Watanzania kulalamika juu ya kasi ya matumizi ya bando. Waziri wa Habari Nape Nnauye aliongelea pia suala hilo na matumizi ya bando za Internet na hali ili rejea kama kawaida.
Ila hivi karibuni kwa muda wa wiki 2 hivi nimekuwa nikifuatilia matumizi ya Bando za internet licha ya bei kuwa juu na uchumi kuwa mbovu, mitandao ya simu hasa VODACOM wamerejesha wizi wa data kwa ku BOOST data Usage (speed ya data leakage). Mfano, Kifurushi cha siku 7, cha MB 800, lazima kiishe ndani ya masaa 24 hata kama hu download vitu. Ni kama vile kuna settings wame command.
Pia kuna tabia ukiwa na data za nyuma mf, 3 GB za zamani kabla ya kuunga kifurushi kipya. Zile za zamani wana zifanya ziwe Dormant. Ukiangalia salio data ipo. Ila hazifanyi kazi hadi, uunge kifurushi kipya.
Lawama zangu ziende kwa awamu yote ya 6. Imekosa ueledi ktk kusimamia sheria, na kanuni mbalimbali nchini. Pili, ulegevu wa viongizi ktk kusimamia utendaji na uwajibikaji wa watumishi wao. Hii inachangiwa sana na rushwa. Binafsi nina wasiwasi kama TCRA hawahusiki ktk hili suala kwa kupokea rushwa. Badala ya kuwa watetezi wa Watanzania, wao TCRA wamekuwa watetezi wa Wakezaji (Makaburu). PCCB chunguzeni TCRA, VODACOM, AIRTEL, nk.
Iki bainika kuna mchezo, kampuni ipigwe faini hata 30% ya faida yake yote kwani imetokana na wizi. Haitokaa ijirudie. Ila hii tabia ya watanzania maskini kuibiwa afu mtu na tumbo lake anaenda ITV kusafisha wezi haina Afya na manufaa kwa taifa.
Je TCRA hawana Technology, mitambo na experts wa kufanya Daily Audits? Kama hawana huo uwezo, je nchi ipo salama kwa kiasi gani kama muekezaji ana uwezo wa kujiamulia cha kufanya muda wowote?
Pia napendekeza Chama cha kukutea Walaji (Consumers' Rights Union/) kiundwe na kipewe nguvu moja kwa moja.