I think am in love with the wrong person

Tatizo lako dharau af unajiona babu kubwa. Hata mie ningekupiga chini kwan kitu gani bhana wanawake wenye adabu wapo kibao af wa ukweli sana!
 
hiyo yote ni kukosa kazi,mngekua bussy na kazi huo muda wa kujibishana upuuzi msingeupata.
 
Hollywopd peke ao nikasema no,ni no. Na move on na mwingine tukikutana tunapiga za kisela


Yaan we kiumbe natamani sana nikuone uso kwa uso maana kila nikikutafakari nashindwa kuupata uhalisia wako.

Ila Asante kwa watu kama nyie.
 
Am not a kid! But why uniambie hivo,maybe una sababu unaweza kuniambia
Mwandiko wako unaonesha hivyo ukijumlisha na unachofanya na huyo mpenzio,
A grown up woman daima huwa ni mrekebishaji wa mahusiano na anafight for her hapiness..
Sasa unahitaji mtu halafu unamfukuza tena?
Bold your thoughts.

love thé love or hâte thé love.....
 
Tunajifunza kutokana na makosa,i know nimekosea inabidi nikubaliane na yote! Nashukuru kwa ushauri wako
 
Dooh!hiko ulichonacho ni kiburi na ujeuri. ..kwa mwendo huo hauta tulia na mmoja
 
I can't regret coz I'm in love with a right person Me too come to testify it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…