I stand with Israel


Mkuu we si unasema lile ni Taifa la mungu, wale ni watu wa mungu? tena hao wakimbizi watakuwa ni wakristo wakiomba "hifadhi dhidi ya vita?Tofautisha uhamiaji haramu na KUOMBA ASYLUM.... watu weusi wanabaguliwa wewe na ni maombi ya ukimbizi....

sasa kama hawabaguliwi kwa rangi yao huyu nae unasemaje?....masikini wanateseka watu weusi huko waonee huruma kidogo....

 

nchi ya Ahadi...kumbe from prison to Prison....
 

wewe jamaa kweli wewe ni kizibo, ouvu ni ouvu tu ufanywe na watanzania au na wamarekani au wakenya , hakunaga double standard au kuhalalisha ouvu kisa sababu ouvu kama huo huo unafanywa ulifanywa na watanzania! wewe jamaa unaweza kunya sebuleni eti kisasa fulani naye aliwahi au anakunyaga sebuleni. jinga sana wewe!
 

ni vema umesema wakristo sio watu wa kuburuzwa sababu i am christian too but i only with humanity side, nitakemea ouvu wowote ule unaofanywa na waislam au wakristo au wayahudi! Hakuna mwenye tatizo na israel na watu wake but pale wakikosea na wewe fungua macho yako sema kweli pale wamefanya vibaya, au na wewe ndio umekaririshwa chochote wanachofanya jews ni sawa mbele ya mungu wako? Una hakika yesu angekuwepo asingekosoa mabaya wanayofanya ndugu zake wayahudi? wewe Echolima 2013 na Ishmael, anaweza akaja jews na qukutia kidole mnduquni mwenu na mtasema amens, hamtaona kosa !
 

NAPITA....nitarudi
 
Kwanza wewe si mkristo kauli zako zinajieleza huwezi kuweka picha hapa na wewe ukazipa maneno kutuaminisha sisi kuwa Wayahudi ni wakatili huo unaoufanya ni uchochezi sasa sisi tukiweka hapa picha za Operation Tokomeza utasemaje??? nani atakuwa katili??? picha zote ulizoweka umezipa wewe maneno wakati si hivyo,Askari kazi yao ni kukamata wahalifu na anayeleta za kuleta anapambana na nguvu ili atii sheria hata hapa Tanzania ipo wewe mwenyewe ukikamatwa ni lazima utii kama hutatii nguvu itatumika.Nakuuliza swali na unijibu Je huko Gaza Israel ilifanya kosa gani??????
 
Nyerere aliwafukuza kwa njaa yake,waarabu waligoma kuuza mafuta kwa nchi zote ambazo zilikuwa na uhusiano wa kibalozi na Israel kwa njaa nyerere aliamua kuwafukuza wayahudi na kipindi hicho kulikuwa na kitu kinaitwa FUEL-CRISS waarabu walitumia mbinu hiyo na nchi nyingi zilivunja uhusiano wa kibalozi na Israel lakini ilikuwa ni kwa sababu ya njaa zetu tu,ninyi watu msiwe mnakariri Nyerere kafanya hivi na ninyi mnamfata,TUT kasema hivi nanyi mnafata mnatakiwa msiwe watu wa kukaririshwa na viongozi wenu,wakiwaambia tumieni na akili zenu kuchunguza ukweli wa hilo jambo.
Nyerere aliwafukuza hao an alikuwa mkristo
 
Wewe hujaona Operation Tokomeza mbona hicho cha mtoto na isitoshe hao ni wahamiaji haramu ni lazima washughlikiwe ipasavyo kama Tanzania ilivyofanya kwenye misitu ya Lunzewe na huko Ngara na Kahama Ubaya uko wapi???
Bado wapendeni Wa-Israil wana wanyanyasa Watu Weusi huko kwao.
 
Wewe hujaona Operation Tokomeza mbona hicho cha mtoto na isitoshe hao ni wahamiaji haramu ni lazima washughlikiwe ipasavyo kama Tanzania ilivyofanya kwenye misitu ya Lunzewe na huko Ngara na Kahama Ubaya uko wapi???
Kila nchi katika dunia yetu kuna Wahamiaji haramu hata Bara la Amerika ,Uingereza na ulaya yote kuna Wahamiaji haramu na hawanyanyaswi hata kidogo. Kwa mfano wewe ukienda Kenya ukinyanyaswa na Wa-Kenya kwa sababu wewe ni M-Tanzania? Je kweli hiyo ni haki? Kama sio Ubaguzi wa Rangi huo? Wayahudi na Wa-Arabu wote ni Wabaguzi wa Rangi haswa ukienda nchini kwao .
 
Maombi hayo si wakristo bali ni ya watoto wa mjakazi,wakristo hawaruhusiwi kulaani kwa hiyo wewe si mkristo lugha yako inakutambulisha.
 
Unapojigamba Hitler kawachoma na Nyerere kawafukuza na Idd Amini kawapa masaa waondoke wote hao unaowasema kwa mfano Nyerere na Idd Amin ni njaa zao tu ndizo zilizosababisha kuwafukuza tena walifanya hivyo kwa shinikizo la nchi za kiarabu nao walikubali kwa lengo la kuuziwa mafuta Maana 1973 KULIKUWA NA fuel-criss waarabu waliungana na kusema hakuna kuuza mafuta kwa nchi yeyote yenye uhusiano wa kibalozi na Israel na nchi nyingi waarabu walizipata kwa njia hiyo
 
Think also about those teens waliotekwa nyara na kuuwawa na Hamas, Think again kuhusu maroketi yanayorushwa kila leo huko Israel, Think again kama kusingekuwa na IRON-DOM ingekuwaje huko Israel???
 
Mweusi kama mkaa!!!! unaichukia ngozi yako????au wewe ni Mwarabu????Mbona unatudharirisha hivyo???
Huko south america ambako kuna wakristo wengi na wamekata uhusiano na israel halafu jitu jeusi kama mkaa linakenua humu I stand with israel, ni ulimbukeni tu unakusumbua mtoa post na wengine wenye ulimbukeni kama wewe wasiotaka kufikiria
 
Watu wengi wameuwawa hapa na Operation Tokomeza uko kimya leo kwa waarabu unabwabwaja ovyo DOUBLESTANDARD kama UN Pole sana.
 
Tanzania tumewarudisha wakimbizi wengi tu wengine walipoteza maisha yao na wengine hawakuruhusiwa hata kuchukua mali zao hawakuonewa huruma,kingine huwezi kulazimisha ukae kwenye nchi ya watu na ni hiari yao kukubali au kukukatalia huwezi kulazimisha wakupokee kwa kisingizio cha nchi ya Ahadi.
 
Wakristo wanajua sana wanachokifanya maana wao si watu wa kuburuzwa wanajua wanachokisimamia wewe hujui.
Waisrael hawaamini ukiristo wala hawamuamn yesu wenu lakini nyinyi hamjielewi yaani nyinyi kwa kifupi mpo against uislam na si vinginevyo na nyinyi ni watu wakusikitiwa mno hamjui pakushika
 
Kuna waafrika wengi tu walifuata utaratibu wanaishi huko na kufanya kazi,hebu jaribu wewe kwenda nchi yeyote ya kiarabu uone kitakachokutokea
ww si unaenda tu kama mtalii na kurudi,
nenda weka makazi kama hujafukuzwa kama mbwa,
these guys know nothing about humanity
 
Tutu,Mandela,Jimmy cater Nyerere Hawawezi kubadiri chochote hizo video unazoziweka haziwezi kubadiri Historia hayo ni mawazo yao na kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake lakini huwezi kuburuza wengine kufuata mawazo yako labda tu iwe watu wenyewe ni wakuburuzwa ndiyo wataburuzika na video vyako.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…