Naomba Wakristo wanielimishe: kwa nini unaona ukiwa Mkristo una wajibu wa kuisapoti Israeli? Waisraeli ni Jews ambao mnasema ndio waliomwua Yesu, mungu wenu, au mtoto wa mungu wenu. Sasa inakuwaje mnawapenda watu hawa? It does not make sense to me. Could someone educate me?
Sijali;
Mbona umekuwa kipofu jamani?? Hivi weye, unashabikia kitu usicho kijua ya nini? Ubaguzi upo kiila mahali. Hata hapa kwetu Tz. upo!! Husikii wakiwaita wengine kuwa ni Wapemba? Wachaga wa chadema? Huoni huo ni ubaguzi au! Call a spade a spade and not a big spoon.
Neno la Mungu lasema, Atakaye ibariki Israeli watabarikiwa. Full stop. Israel hajamwua Yesu ila mimina weye na wale wote waliotenda dhambi ndo walomwua Yesu. Akautoa uhai wake kama dhamana yako weye utoke ndani ya makucha ya dhambi. Jambo hili sio la kusomea darasani au kusikiliza kama hadithi. Ni jambo la kiroho. Mungu ni Mungu, haulizwi mbona umefanya hivi.
Je! Hawezi kutamka, Bikira akachukua mimba bila mbegu ya mwanamme? Adamu alizaliwa na nani? Hawa alizaliwa na nani? Acha ushamba. Mungu hana mpaka kama mtu. Mpango wake unapita mawazo yako Sijali wala hatapoteza mda kukushurutisha uukubali. Amekupa uchaguzi, kuamini kuwa aliyafanya hayo kwa ajili yako au uyakatae ufuate hayo unayo amini. Mbona kuna dini flani flani zinashurutisha watu kufuata imani zao, je huko ni kuamini au kuaminishwa. Acha ushamba