ThinkPad
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 1,844
- 236
Naomba Wakristo wanielimishe: kwa nini unaona ukiwa Mkristo una wajibu wa kuisapoti Israeli? Waisraeli ni Jews ambao mnasema ndio waliomwua Yesu, mungu wenu, au mtoto wa mungu wenu. Sasa inakuwaje mnawapenda watu hawa? It does not make sense to me. Could someone educate me?
Hapana si kweli, Wakristo hawapendi kabisa Israel au Nchi yoyote itende mauwaji, ila sasa nashangaa nyinyi mtu au nchi ya uislam ikikosea na kufanya mauwaji its okey kwasababu tu ni Waislam.
Syria imeuwa watu wangapi na Israel imeuwa wangapi? Au Boko imeua watu wangapi?
Hatuwezi kutetea Israel eti kwasababu sisi ni wakristo, Sisi ni wakristo kwasababu ya kupinga mabaya thats all.
Na siwezi kuwa mnafiki kwasababu mimi ni mkristo, unafiki utakuwa wangu kwasababu ya nafsi yangu na nikiwa mnafiki mzandiki ni ujuha maana nimepewa akili ya kupambanua zuri ni lipi na baya ni lipi.
Waisrael na Wapalestina wanapigana haijalishi nanikashindwa ila huo ndio Ukweli wanapigana, Ningeilaani Israel kama ingekuwa inapiga Hamas bila na wao kurushiwa maloketi hapo ningewaraani.