I stand with Israel

I stand with Israel

Eti bless Israel my foot, yani mtu kumuamini ni Mungu ni lazima ai-bless Israel??? Kama namuamini Mungu nasi-bless Israel nakuwa mfuasi wa Lucifer?? Una akili ndogo kuliko mbegu ya haradani!

Kwahiyo yesu huko mbinguni anafurahia yote yanayofanywa na jeshi la Israeli kuua watoto wadogo wasio na hatia?? kwahiyo yesu huko mbinguni anafurahia waafrika walivyobaguliwa na kuteswa na wengine kuuliwa na wayahudi pamoja na polisi wa israeli??? sitaki kukubali yesu analikubali hili!!

Mungu yupi unayemuabudu wewe??? Inawezekana ji-mungu unaloliabudu ni li-mungu linalopenda na kufurahia watoto wadogo wauliwe na jeshi la Israeli, au li-mungu unaloliabudu halina tofauti na li-mungu linalo-ruhusu wauaji wateke Westigate gate ya Kenya na kuua watu ovyo!
quote_icon.png
By YouTube

i am no muslim ni mkristo niliyefunguka, zamani nilikuwa kama wewe ila sasa nimefunguka. nyinyi wakristo ndio wale mnaosherehekea kila baya linalofanywa na israel kiling children na kushangilia....

ni sawa na wale waislam wanaosherekea kila baya linalofanywa na kikundi cha ghasia cha kiislam/kiarabu e.g boko haram, al shabab na kushangilia....

ulivyokuwa chizi unayo internet na kushindwa kugoogle na kueleimika, mtumwa wa fikrwa wewe, ukiambiwa hata the tru jesus alikuwa blacks huwezi kubali.....

many bad things are done in this world with these so called asheknazi jews lakini yote hata ukigoogle na kuyajua huwezi kubali....
Msiba huu
 
Is there any verse in the Quran that talks about Palestine? I think Allah doesn't even know those invaders.

and is there any verse in Bible jésus mention you.... wtf but mentioned Christian and you belong to there so is that like us and am sure he did it
 
and is there any verse in Bible jésus mention you.... wtf but mentioned Christian and you belong to there so is that like us and am sure he did it
Israel is in the Quran but Palestine is not, just tell me why

Hakuna haja ya kumtukania Muhammad. Hapo unaonyesha udhaifu wa dini yako.
 
Mbunge maarufu wa uingereza george galloway ametoa kauli kwamba watalii, na bidhaa yoyote kutoka israel ni marufuku katika jimbo lake huko bradford uingereza, na amesisitiza kwamba ni marufuku kwa raia yoyote wa israel kuingia jimbo hilo.

Good move kwa wapenda haki wote
 
Ujinga na Ubaguzi unamsumbua
Mbunge maarufu wa uingereza george galloway ametoa kauli kwamba watalii, na bidhaa yoyote kutoka israel ni marufuku katika jimbo lake huko bradford uingereza, na amesisitiza kwamba ni marufuku kwa raia yoyote wa israel kuingia jimbo hilo.

Good move kwa wapenda haki wote
 
Ni kwanini dini moja inaona wa dini nyingine wameingia Chaka ?
 
wakuu.. mnaweza kuchukua maneno hapa na jinsi ya matumizi na mahali yanapotumika..
WAKRISTU-ni wafuas wa Yesu lakin kabla UYAHUDI ulikuwepo na ndio hao wanaojadiliwa, naomba tofauti iwepo.. ni hayo tuh.
 
Back
Top Bottom