Bolshevick
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 355
- 247
Hao jamaa wamezidi ndugu. Amani tumeomba tumechoka. Wana misifa sasa
Bolshevick from the Red Army
Bolshevick from the Red Army
Hao jamaa wamezidi ndugu. Amani tumeomba tumechoka. Wana misifa sasa
Bolshevick from the Red Army
Hapana...Huo sio Ukristo ndugu yangu...Yakupasa kuombea amani ktk mataifa hayo..
God is love....
Mathayo5:43 Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako;44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,45 ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.46 Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani? Hata watoza ushuru, je! Nao hawafanyi yayo hayo?47 Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada? Hata watu wa mataifa, je! Nao hawafanyi kama hayo?48 B asi ninyi mtakuwa wakamilifu, kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.Bado wapendeni Wa-Israil wana wanyanyasa Watu Weusi huko kwao.
Mathayo5:43 Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako;44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,45 ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.46 Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani? Hata watoza ushuru, je! Nao hawafanyi yayo hayo?47 Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada? Hata watu wa mataifa, je! Nao hawafanyi kama hayo?48 B asi ninyi mtakuwa wakamilifu, kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.
<!--EndFragm-->

Umenena vyema..... I hope you understand the true meaning of those words
It has to do with everything. In fact, the only infallible book is the Bible.
Me too
I stand with israel
Nchi ya Ahadi
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
I stand with Israel.
I stand for israel.eti wanaua watoto wadogo wasio na hatia?kwani wale binti wa Nigeria walikuwa na hatia?piga kabisa hao.
Kwanini Hamas waliwaua wale vijana wa ki Israel?
Yoyote yule ambae haoni unyama ambao Wapalestina wanawafanyia Waisraeli kila siku ni juha na mnafiki sana!
I support Israel and not those cowards who are using children and women as shield.
Kilimanjaro (Tanzania) stands with ISRAEL. The peak of Africa, its people and its land, loves ISRAEL.
Elizabeth Dominic wewe una-tumia mgongo wa Dini ya kikristo kuhalalaisha ajenda.Nadhani umeona na ku conclude moja kwa moja kuwa nimezolewa na propaganda za waarabu which i fail to understand zinahusiana nini na watu wanaouwawa on the ground. I pray and hope kuwa Mungu atakupa uwezo wa ku rise above huu ujinga ujinga wa Uislamu vs Ukristo au Uarabu vs Uyahudi...... Don't waste your energy on such bullshit
Kwanini ukiwa Muislam unashabikia Waarabu?
Elizabeth Dominic wewe una-tumia mgongo wa Dini ya kikristo kuhalalaisha ajenda.
fahamu pale una-dili na Uislamu na Uyahudi. Na usisahahu atakaye laani kizazi cha Israel atalaanika.Na atakaye kibariki atabarikiwa.Na hiki kipande kipo kwenye ukristo tangu abraham. Waarabu leo hii wanapigika na kusota kwasababu ya kuilaani Israel. Huwezi kujifanya mnafiki ukafanikiwa-hata siku moja.
Downfall ya US tangu mwaka 90 imetokana na kuikandamiza Israel ikubali masharti hewa ya haki za palestine kwenye ardhi ya waisrael.
NB: Koran imesema na Bibilia imesema, na usisahau Judaism pia... inasema ya Kwamba Jerusalem ni eneo maalum kwa wa-Israel.na sio vinginevyo.KAma wewe ni Mkristo na hulioni hili ni mnafiki. Na kumbuka Hakuna dhambi isiyo na malipo: watanzania hawakustahili kupigana vits ya Kagera.Hata unafiki ni dhambi!
mf. Nyerere alikataa kuisaidia Israel isisaidiwe kuokoa watu wake waliotekwa na wapalestina na kupelekwa Uganda, lakini Kenya waliwasaidia Israel kwenye ile operation na ni wazi kuwa Kenya walibarikiwa. Baadaye Nyerere alikuja kukiona cha mtema kuni kutoka kwa Idd Amin. Hakuna dhambi isiyo na malipo . think again: think large!t think huge

Kuna Mkristo yoyote anaye wapenda Waarabu? Wangelikuwa wayahudi ni watu wazuri duniani kwanini walimuuwa Bwana YESU?Mathayo5:43 Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako;44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,45 ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.46 Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani? Hata watoza ushuru, je! Nao hawafanyi yayo hayo?47 Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada? Hata watu wa mataifa, je! Nao hawafanyi kama hayo?48 B asi ninyi mtakuwa wakamilifu, kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.
<!--EndFragm-->