I stand with Israel

I stand with Israel

ww si unaenda tu kama mtalii na kurudi,
nenda weka makazi kama hujafukuzwa kama mbwa,
these guys know nothing about humanity
http://t0.gstatic.com/images?
q=tbn:ANd9GcTcpX2H-tWc023ZT9x6bsUsejuc5ISt5yCZjzvPKK6mGWxNFYmUxw

Aisee sasa huyu atakuwa ni Ishmael huyu....ila aliachiwa baadae....ahahahahaha
 
Last edited by a moderator:
Maneno ya Uongo hayo ya Mtume Paulo toka mjini Roma Italy. Uwokovu hauwezi kutokana na mtu kifo chake . Kila mtu atauchukuwa mzigo wake mwenyewe. Kila mtu atabeba Madhambi yake mwenyewe. Kifo cha Bwana YESU hakiwezi kuwa ndio uwokovu wetu sisi sote*. Ni maneno aliyoyatunga Mtume Paulo ni maneno ya uongo.

Mathayo26: 31 Ndipo Yesu akawaambia, Ninyi nyote mtachukizwa kwa ajili yangu usiku huu kwa kuwa imeandikwa, Nitampiga mchungaji, na kondoo wa kundi watatawanyika.32 Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.

Luka 9: 22 akisema, Imempasa Mwana wa Adamu kupata mateso mengi, na kukataliwa na wazee na wakuu wa makuhani na waandishi, na kuuawa na siku ya tatu kufufuka.
marko 8:31

FUMBO LA IMANI
Mathayo26:
26 Nao walipokuwa wakila Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake, akasema, Twaeni, mle; huu ndio mwili wangu27 Akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, akisema, Nyweni nyote katika hiki;28 kwa maana hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi* kwa ondoleo la dhambi.

Yohana12;
22 Naye Yesu akawajibu, akasema, Saa imefika atukuzwe Mwana wa Adamu.23 Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi*.24Yeye aipendaye nafsi yake ataiangamiza; naye aichukiaye nafsi yake katika ulimwengu huu ataisalimisha hata uzima wa milele.25 Mtu akinitumikia, na anifuate; nami nilipo, ndipo na mtumishi wangu atakapokuwapo. Tena mtu akinitumikia, Baba atamheshimu.

yohana 12:
33 Basi mkutano wakamjibu, Sisi tumesikia katika torati ya kwamba Kristo adumu hata milele; nawe wasemaje ya kwamba imempasa Mwana wa Adamu kuinuliwa? Huyu Mwana wa Adamu ni nani?34 Basi Yesu akawaambia, Nuru ingaliko pamoja nanyi muda kidogo. Enendeni maadamu mnayo nuru hiyo, giza lisije likawaweza; maana aendaye gizani hajui aendako.35 Maadamu mnayo nuru, iaminini nuru hiyo, ili mpate kuwa wana wa nuru.

Marko 8:
31 Akaanza kuwafundisha kwamba imempasa Mwana wa Adamu kupatikana na mateso mengi, na kukataliwa na wazee, na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na baada ya siku tatu kufufuka.32 Naye alikuwa akinena neno hilo waziwazi. Petro akamchukua, akaanza kumkemea.33 Akageuka, akawatazama wanafunzi wake, a kamkemea Petro, akasema, Nenda nyuma yangu, Shetani; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.

Yohana 6:
33 Kwa maana chakula cha Mungu ni kile kishukacho kutoka mbinguni na kuupa ulimwengu* uzima.34 Basi wakamwambia, Bwana, sikuzote utupe chakula hiki.35 Yesu akawaambia, Mimi ndimi chakula cha uzima; yeye ajaye kwangu hataona njaa kabisa, naye aniaminiye hataona kiu kamwe.<!--En--><!--En--><!--En--><!--EndF--><!--En--><!----><!----><!----><!---->
 
th
 
Hamas Kills 64 Israeli soldiers and 3 Civilian , Israel kills more than 1900 civilian - its shows professionalism and high morals of Hamas fighters in dealing a blow to Israel despite supports it gets from puppet Egyptian govt
 
Kwanini ukiwa Muislam unashabikia Waarabu?

Apologies, but I have to say this is a very stupid reply coming from a... Hata mtu hafikirii swali kwanza? Umekwenda shule wewe? Nimesema Waisraeli ni Jews waliomwua Mungu wenu. Nashindwa kufahamu kwa nini mnawapenda?
(Hata kama si kweli kila Mwislamu kuwashabikia Waarabu) lakini at least wengi wao ni Waislamu pia . Waisraeli hawana dini moja nanyi. On top of that they hate Christians more than they do Muslims (They hate Muslims for other reasons than religion).
 
Unahangaika kuyaelimisha mazuzu hayo yalishashindikana. Adhabu kali ya MWENYEZI MUNGU inawangoja ila kwa vile uzuzu umewajaa hawalijui hata hilo.
 
Desmond Tutu - ni mkirsto na mtu anaehishimiwa na wote duniani lakini anasapoti wapalestina sababu anajua maafa ya ubaguzi na dhuluma. Huu mgogoro hauna udini ila ni baadhi ya watu wasiofahamu ndio wanazuzuka. Kama mnafatilia udini kuna waarabu wengi ambao wakristo kuliko wayahudi ambao ni wakristo.
 
NmM5YjE1YzM1ZiMvOTBVZzR1bEZWb290MXl6cG9HbHp3MkFFM0tnPS8weDIwNzo1NzUyeDM4MzYvODQweDUzMC9zMy5hbWF6b25hd3MuY29tL3BvbGljeW1pYy1pbWFnZXMvNjQyNDc2NWQ3Mzg2YmU2ZDEyMTNjZGU3YWZhMjYyOTY4ZGY0OWJjNmE5ZGRlMzFhNDg0NWY3OWVmYWViYTMxNC5qcGc=.jpg
 
Ninyi watu mmekaririshwa vibaya hao ni wahamiaji Haramu hata hapa huwa wanakamatwa wakikamatwa ndiyo iwe sababu ya kuilaum Israel????Huwezi kuweka picha hapa ya watu wamewekwa chini ya ulinzi na kutudanganya kuwa Israel inaonea watu lete habari ya picha hiyo yawezekana yakawa Magaidi yametumwa.
AP070820045691.jpg

Na hii ni Photoshop Echolima alafu ukute huyo jamaa ni wewe hapo kati....ful majuto
 
Last edited by a moderator:
Wakristo si watu wa kuburuzwa na kila mmoja ana hiari yake hiari ya TUTU istufanye sisi sote tuwe kama yeye,Tena wakristo si watu wa kukariri kama ninyi,Ninyi mmekaririshwa kuwa Israel,na nchi zote za Magharibi eti ni MASHETANI na wote mmeaminishwa hivyo na mkaamini hivyo ndiyo maana kila anayeandika lazima aseme wayahudi si wakristo hilo sisi tunajua sana lakini haiwezi kuwa sababu ya sisi kuwachukia wayahudi maana sisi hatukaririshwi maneno,Wengine kila wanapoandika wanaanza eti kuna waarabu wengi wakristo huko, hiyo pia si sababu ya sisi kuchukia wengine.
Desmond Tutu - ni mkirsto na mtu anaehishimiwa na wote duniani lakini anasapoti wapalestina sababu anajua maafa ya ubaguzi na dhuluma. Huu mgogoro hauna udini ila ni baadhi ya watu wasiofahamu ndio wanazuzuka. Kama mnafatilia udini kuna waarabu wengi ambao wakristo kuliko wayahudi ambao ni wakristo.
 
Kwa nini wanang`ang`ania nchi ya watu???wahamiaji haram hata hapa kwetu wanapopatikana wanapata joto ya jiwe kama wao waliona Israel ni wakatili kwa nini wasiende nchi za kiarabu???? naamini walienda huko kwa kuwa ni nchi nzuri tatizo hawakufuata utaratibu wengi wao walitokea Eritrea Sudan na kwingineko Swali kwa nini hawaendi nchi za Ki-ARABU????Wanajua watafanyiwa vitendo ambavyo si vya KI-BINADAMU watu wale si wazuri.

source; A year in review: Anti-African racism and asylum seekers in Israel | +972 Magazine
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini wanang`ang`ania nchi ya watu???wahamiaji haram hata hapa kwetu wanapopatikana wanapata joto ya jiwe kama wao waliona Israel ni wakatili kwa nini wasiende nchi za kiarabu???? naamini walienda huko kwa kuwa ni nchi nzuri tatizo hawakufuata utaratibu wengi wao walitokea Eritrea Sudan na kwingineko Swali kwa nini hawaendi nchi za Ki-ARABU????Wanajua watafanyiwa vitendo ambavyo si vya KI-BINADAMU watu wale si wazuri.

Wa israeli wenyewe pia ni wahamiaji halamu
 
Kama wewe unashangaa picha hizo ngoja sasa tukuwekee picha za Operation Tokomeza Uone askari wa Tanzania na Israel wapi wakatili utalia mwenyewe maana TZ wana-adhibiwa mpaka Ng`ombe wanapigwa risasi,Hao ni wahalifu lazima mkono wa sheria ufanye kazi yake.
and this is how Africans are treated in Israeli...

Nitzana03.jpg

Eee Mungu wangu eti ni kweli ili nikuabudu vizuri naambiwa ni-stand with Israel kwa mabaya yoote no matter killing my brothers and sisters???

Nitzana04.jpg

source;Jewish Supremacist Hypocrisy: As Africans Beg to Flee Racist Israel, ADL Demands Open Borders for America - David Duke.com | David Duke.com
 
Back
Top Bottom