Echolima
JF-Expert Member
- Oct 28, 2007
- 3,824
- 2,079
Ili kudhibitisha hiyo ni PHOTOSHOP tuambie hiyo picha inasemaje iwekee maneno ili na sisi tuelewe huyo askari na hao wengine ilikuwaje???
Wa israeli wenyewe pia ni wahamiaji halamu
Hizi ligi huwa sizipendi.....watu wasio na hatia wanapoteza maisha kuwa na conciousness ya Kristo na uangalie zaidi ya mipaka ya kidiniNiambie waisrael wamefanya udhalimu gani???eleza tukusikie.
Hizi ligi huwa sizipendi.....watu wasio na hatia wanapoteza maisha kuwa na conciousness ya Kristo na uangalie zaidi ya mipaka ya kidini
Wewe inaonyesha hujasafiri hata kidogo. Mtu mwenye akili zake timamu hawezi kusema kama unavyosema wewe. Kuwapenda Wa-Israil ni sawa sawa na Mtu kumpenda Mnyama Simba na kumuweka ndani ya nyumba yako iko siku maoja atakutafuna akule nyama yako amka mkuu tembea ujionee mwenyewe Hao Wa-Israil unyama wao ndio maana Adolph Hitler aliwachoma moto kama kuku alijuwa hawa ni watu hatari katika hii dunia.Ninyi watu mmekaririshwa vibaya hao ni wahamiaji Haramu hata hapa huwa wanakamatwa wakikamatwa ndiyo iwe sababu ya kuilaum Israel????Huwezi kuweka picha hapa ya watu wamewekwa chini ya ulinzi na kutudanganya kuwa Israel inaonea watu lete habari ya picha hiyo yawezekana yakawa Magaidi yametumwa.
Wewe inaonyesha hujasafiri hata kidogo. Mtu mwenye akili zake timamu hawezi kusema kama unavyosema wewe. Kuwapenda Wa-Israil ni sawa sawa na Mtu kumpenda Mnyama Simba na kumuweka ndani ya nyumba yako iko siku maoja atakutafuna akule nyama yako amka mkuu tembea ujionee mwenyewe Hao Wa-Israil unyama wao ndio maana Adolph Hitler aliwachoma moto kama kuku alijuwa hawa ni watu hatari katika hii dunia.
Huyu echolima ni udivi. Hivi we umekalilishwa kuwa waisrael ni wema siku zote? Huo ukristo wa kukalili peleka nyumbani kwenu kalimie mihogo.
Bolshevick from the Red Army
Hizi ligi huwa sizipendi.....watu wasio na hatia wanapoteza maisha kuwa na conciousness ya Kristo na uangalie zaidi ya mipaka ya kidini
Ili kudhibitisha hiyo ni PHOTOSHOP tuambie hiyo picha inasemaje iwekee maneno ili na sisi tuelewe huyo askari na hao wengine ilikuwaje???
sema na hii ni ya kutengeneza,
Kuna waafrika wengi tu walifuata utaratibu wanaishi huko na kufanya kazi,hebu jaribu wewe kwenda nchi yeyote ya kiarabu uone kitakachokutokea
hawa ni wayahudi weusi wenzao wa ethiopia wanabaguliwa kama paka,
Hiyo ni Operation Tokomeza ya Israel hata kama ni wa blue kama hawakufuata utaratibu waende kwao,au waende kwenye nchi za kiarabu tena wao wana nchi kubwa sana jiulize kwa nini hawaendi huko?????? wanajua sana unyama wa hao jamaa ndo maana wanalazimisha waende Israel na kwa kuwa nchi yenyewe ni ndogo ni lazima nchi hiyo i-control watu wanaoingia huko na ni haki yao sasa wewe kelele ya nini???
kiziboo mkubwa wewe kubishana na wewe ni kupoteza muda na energy , hujui hata historia ya ethiopia jews au beta israel, unakalia eti ni wahamiaji haramu! wewe Echolima 2013 na Ishmael anaweza kuja jews akakutia kidole mkunduni ukabakia kusema amina, hutaona kosa! ukimpenda mke wako ujue pia na kumkosoa ! done talking to you